×

Habari

Waziri Mkuu Anadi Sababu 10 Za Kuwekeza Tanzania

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa sababu 10 zinazoweza kumfaya mfanyabiashara yeyote kutoka Marekani avutiwe kuwekeza nchini. Amezitaja sababu hizo kuwa...

READ MORE

Mikoa, Halmashauri Zaagizwa Kushiriki Maonesho Ya Viwanda

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza mikoa na hamlashauri zote nchini kuhakikisha viwanda vilivyo katika...

READ MORE

Mbunge Janeth Mahawanga Alivyowaongezea Maarifa Wanawake wa Tai Group Kata ya Pugu, Dar

Dar es Salaam, 27 Septemba 2024: Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Mahawanga leo alizindua vikundi...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda Atembelea Msumbiji

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda amefanya ziara ya kikazi nchini Msumbiji kuanzia tarehe 23 hadi...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azindua Shule Ya Wasichana Namtumbo Na Kusalimia Wananchi Na Wanafunzi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Asomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan asomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru,...

READ MORE

Kampuni ya Sun king Yafungua Maduka Dar na Mtambo Wenye Uwezo Mkubwa wa Matumizi ya Umeme Jua

Kampuni ya Sun King imefungua maduka matatu ya kisasa ya vifaa na mtambo  mpya wenye uwezo mkubwa wa kuwezesha matumizi...

READ MORE

Majaliwa: Huduma Jumuishi Za Kifedha Ni Muhimu Kwa Ukuaji Wa Uchumi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa maendeleo washirikiane kikamilifu na nchi zinazoendelea katika kusaidia utekelezaji wa mifumo...

READ MORE

Mgombea urais wa Republican, Donald Trump kukutana na Zelensky

Mgombea huyo wa urais wa chama cha Republican, Donald Trump amesema atakutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini New...

READ MORE

Taasisi ya Lalji Yakabidhi Madawati 100 Kwa Shule za Wilaya Kisarawe

Taasisi isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION imetoa msaada wa madawati 100 kwa shule za msingi 2 Wilayani Kisarawe ikiwa...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Biteko Awasifia Wazalishaji wa Vifaa vya Ujenzi

Naibu Waziri Mkuu Mh. Dk Dotto Biteko ameelezea kuridhishwa na huduma na bidhaa za ALAF Limited Tanzania na kuitaka kampuni...

READ MORE

Mrisho Gambo Kugawa Majiko 5,000 ya Gesi kwa Walimu Jiji la Arusha

MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe Mrisho Mshaka Gambo ameendelea kuonesha kuyajali makundi mbalimbali katika jimbo lake na sasa...

READ MORE

Viongozi Wa Dini Wahimizwa Kusimamia Ulinzi Wa Amani Nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza viongozi wa Dini nchini kuendelea kusimamia misingi ya malezi...

READ MORE

Rais Samia Aonya Wananchi Kuchoma Misitu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonya wananchi kuacha tabia ya kuchoma misitu bali...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lamjibu Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi Kuzuia maandamano ya vyama vya siasa

Jeshi la Polisi nchini kupitia msemaji wake David Misime, limetolea ufafanuzi wa maoni ya baadhi ya watu na makundi mbalimbali...

READ MORE

Stesheni za Treni Uingereza Zapigwa na Shambulio la Kimtandao

Stesheni 19 za reli nchini Uingereza, zikiwemo 10 katika Jiji la London, zimepata athari baada ya kupigwa na shambulio kubwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atinga Namtumbo, Azungumza na Wananchi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo Septemba 26, 2024 amewasalimia Wananchi wa Rwinga-Namtumbo...

READ MORE

Asota Gerezani Miaka 46 Akisubiri Kunyongwa kwa Makosa Ambayo Hakuyafanya

Unaujua msemo unaosema sheria duniani haki mbinguni? Iwao Hakamada, mwanaume mwenye umri wa miaka 88 kutoka nchini Japan, ameweka historia...

READ MORE

Biteko Azitaka Wizara, Taasisi Na Wakala Serikalini Kutenga Bejeti Ya Kutosha – Video

Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi...

READ MORE

Benin yawakamata watu watatu wanaoshukiwa kupanga mapinduzi

Wengine wawili wanaotuhumiwa jaribio hilo la mapinduzi ni waziri wa zamani wa michezo na mfanyabiashara aliye karibu na Rais Patrice...

READ MORE

Rais Mwinyi: SMZ Kujenga Uwanja Mpya Wenye Viwango Vya FIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajipanga kujenga...

READ MORE

JKT Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Mafunzo ya Kujitolea, Matapeli Waonywa!

  JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujitolea kwa mwaka 2024 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa vijana...

READ MORE

Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi mbalimbali

Rais Samia amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali ambapo amemteua David Chimbi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la...

READ MORE

Mihayo: Akili Mnemba Mimi Naiita ‘Akili Kasuku’

Makamu Rais na Meneja Mikakati wa Kampuni ya Airpay Tanzania, Mihayo Wilmore amesema kuwa Akili Mnemba (AI) yeye anaweza kuhiita...

READ MORE

Kihenzile “Ukamilika Ujenzi wa Bandari Ya Mbambabay Itapunguza Msongamano Katika Bandari ya Dar

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Bandari ya Mbambabay mkoani Ruvuma 25 Septemba 2024....

READ MORE

Mfumo wa Kidigitali wa Airpay na ZEEA Kuwarahisishia Wajasirimali Kupata Mikopo kwa Urahisi

KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na...

READ MORE

Madaktari wa JKCI waitwa zambia kufanya upasuaji wa Moyo

Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya afya umeendelea kuipaisha Tanzania ambapo sasa madakati bingwa wanne...

READ MORE

Raia Samia Atembelea Kituo Cha Ununuzi wa Mahindi Soko Kuu Mbinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo...

READ MORE

Katimba: Daraja La Jangwani Suluhisho La Mafuriko Dar Es Salaam

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Kituo Cha Manunuzi Ya Mahindi NFRA Makita, Ruvuma – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitembelea kituo cha Manunuzi ya Mahindi NFRA Matika Mbinga...

READ MORE

Waziri Mkuu Ateta Na Mwenyekiti Wa Bodi Ya Citibank

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imekuwa inafanya kazi na benki ya Citibank ya Marekani kwa zaidi ya miaka 35...

READ MORE

Waziri Mkuu Aungana Na Wakuu Wa Nchi Na Serikali Ufunguzi Wa Mkutano Wa UNGA 79

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa Septemba 24, 2024 ameungana na wakuu wa nchi na Serikali katika ufunguzi wa Mkutano wa 79...

READ MORE

Rais Samia Atikisa Nyasa, Azindua Mradi na Kuanzisha Mwingine

Maelfu ya wananchi wa Mji wa Mbamba Bay, Wilaya ya Nyasa, walijitokeza kumlaki na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Shule ya Sekondari Kikaro Yapokea Msaada wa Vifaa vya Elimu Kutoka Stanbic Bank

Benki ya Stanbic imetoa madawati, viti, matangi ya maji, miche ya miti na kukarabati madarasa katika Shule ya Sekondari Kikaro,...

READ MORE

Rais mpya wa Sri Lanka avunja bunge na kumteua waziri mkuu mwanamke

Rais mpya wa Sri Lanka Anura Kumara Dissanayake alilivunja bunge Jumanne na kuitisha uchaguzi wa bunge ndani ya chini ya...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atembelea Kanisa La Katoliki Abesia Ya Peramiho Mkoani Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitembeleakanisa katoliki Abesia Ya Paramiho Mkoani Ruvuma, Septemba 24,...

READ MORE

Jinsi Nilivyopata Zabuni ya Mamilioni Kutoka Serikalini Kwa Urahisi Kabisa

Jina langu ni Raya, Leila, mmiliki na wakala wa kampuni ya usafi ambayo pia huwaunganisha waajiri na wafanyikazi wa majumbani...

READ MORE

Bibi Wa Miaka 74 Auawa Kikatili Kwa Mapanga – Mbunge Shigongo Afika Kutoa Pole Kwa Familia

Sarah Petro (74) mkazi wa Kijiji cha Magulukwenda kitongoji cha Mizorozoro Kata ya Kalebezo wilayani Sengerema Sengerema Mkoa wa Mwanza...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yazindua Vituo vya Huduma za Matengenezo kwa Wateja Wake 

Dar es Salaam – 25 th September 2024: Vodacom Tanzania Plc imezindua vituo vya huduma za matengenezo kwa ushirikiano na...

READ MORE

Mstahiki Meya Songoro Mnyonge Apokea Madawati 1000 Shule ya Msingi Msisiri B

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, na Diwani wa Kata ya Mwananyama, Bw. Songoro Mnyonge amesema msaada wa madawati 1000...

READ MORE