×

Habari

Waliosoma Lugoba Sekondari Watoa Msaada Kuboresha Hadhi ya Shule hiyo

Ili  kuhakikisha Shule ya Sekondari LUGOBA iliyopo  halmashauri ya wilaya Chalinze mkoani Pwani inarejea katika makali yake kitaaluma, nidhamu na...

READ MORE

Peter Serukamba: Singida Tupo Tayari Kumpokea Rais Samia

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba ameelezea jinsi wananchi wa mkoa huo walivyojipanga kwa mapokezi ya Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Kocha Kiboko Ya Yanga, Apewa Mkono Wa Kwaheri Ihefu Fc

Klabu ya Ihefu ‘Mbogo Maji’ inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC, imempa mkonoo wa kwaheri kocha wake, Zuber Katwila. Katika taarifa...

READ MORE

Waziri Jenista Mhagama Akoshwa na Mshiko Fasta ya NMB

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb) amewataka vijana kuchangamkia fursa ya...

READ MORE

Tanzania Ynajivunia Mtoto wa Kike Kupata Haki katika Ngazi Zote za Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda amesema hayo Oktoba 11, 2023 jijini Dodoma katika maadhimisho ya Siku ya...

READ MORE

TCRA: Wanaotumia VPN Bila Kujisajili Mwisho Oktoba 30, 2023, Ukitumia Kifungo Mwaka 1

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi...

READ MORE

Mfanyabiashara Maarufu Arusha Akutwa Amefariki Kwenye Gari – Akutwa Na Maburungutu Ya Pesa -Video

Mfanyabiashara maarufu wa maduka ya simu Jijini Arusha aliyefahamika kwa jila moja la Mzee Malya amekutwa amefariki kwenye gari yake...

READ MORE

Viongozi Sita wa CCM Wafariki kwa Ajali ya Gari eneo la Ndulamo

Viongozi sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Ndulamo wakati wakitoka kwenye mkutano...

READ MORE

Mwenyekiti wa Wazazi CCM Morogoro Ahimiza Umoja, Atoa Kadi 500 Kila Wilaya

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha...

READ MORE

UN: Israel Yataka Watu Milioni 1.1 Gaza Kuondoka Katika saa 24 Zijazo

Jeshi la Israel limeuambia Umoja wa Mataifa kwamba kila mtu anayeishi kaskazini mwa Wadi Gaza anapaswa kuhamia kusini mwa Gaza...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dhamira Yake Kusaidia Ukuaji TEHAMA Mashuleni

Yatoa Msaada wa Kompyuta Sekondari Makoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuwekeza zaidi kwenye ustawi...

READ MORE

Naibu Spika ataka CBE Iwatafutie Wahitimu Ajira

NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la...

READ MORE

Tanga Yalishukuru Shirika La Amend Baada Ya Kukamilisha Mradi Wa Usalama Barabarani Kupitia Mradi Wa ‘Tanga Yetu’

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga limetoa shukrani kwa Shirika la Amend baada ya kukamilisha mradi wa Usalama Barabarani kupitia Mradi...

READ MORE

Vurugu Nzito Zaibuka Kariakoo -Wafanyabiashara Wakiwasha Laivu Sakata La Moto – Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

White House yataka kufunguliwa kwa njia ya misaada Gaza

White House, imeunga mkono mwito wa misaada ya kibinadamu, na kufunguliwa njia ya kutoka Gaza, wakati Israel, ikongeza mashambulizi yake...

READ MORE

SBL Yashirikiana Na Usalama Barabarani, Polisi Jamii CUP Kukuza Kunywa Kwa Uwajibikaji Na Usalama Barabarani

Dar es salaam, 12 Oktoba – Mwanamasumbwi mwenye tambo nyingi, Karim Mandonga na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Juma...

READ MORE

Mke Wa Aliyekuwa Rais Wa Gabon Afungwa Jela.

Sylvia Bongo Ondimba Mke wa aliyekuwa Rais wa Gabon na kuondolewa madarakani Ali Bongo Odimba amefungwa jela. Sylvia Bongo amekuwa...

READ MORE

Hii Ndo Miradi Anayoendelea Kufanya Rais Samia Mkoni Manyara

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameeleza kuwa kwa kupindi kifupi cha uongozi wa Rais Samia Mkoa wa Manyara...

READ MORE

Korosho Ya Tanzania Iliyobanguliwa Yaondolewa Kodi India

Serikali ya India imekubali kuondoa ushuru wa asilimia 35 kwa korosho iliyobanguliwa kutoka Tanzania iliyokuwa ikitozwa awali kabla ya Rais...

READ MORE

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Yatoa Ufafanuzi Taarifa Inayosambaa Mtandaoni

  Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imetoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko yaliyotolewa na...

READ MORE

Wawili Wafariki Kwa Kuliwa Na Kiboko, Wanakijiji Wafunguka-“Tuna Mashaka Makubwa Sana”- Video

Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia baada ya kuliwa na mnyama kiboko katika bwawa la milala Manispaa ya Mpanda mkoa wa...

READ MORE

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa apewa saa 72 kuondoka Niger

Watawala wa Niger wamempa saa 72 Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo, wakiushutumu Umoja wa Mataifa kwa...

READ MORE

Mfalme Charles III, Malkia Camilla Kuzuru Kenya Mwezi Huu

Mfalme wa Uingereza Charles III na mkewe Malkia Camilla watafanya ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Kenya kuanzia mwisho...

READ MORE

Unamjua Osman Bey (Burak Ozcivit), Ana Utajiri wa Kiasi Gani?

Burak Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa...

READ MORE

Uwanja Wa Ndege JNIA Terminal 2 Kufungwa Kwa Muda Kupisha Maboresho 2024

Naibu waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema Uongozi wa uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere – Terminal 2...

READ MORE

Waziri Jenista Atembelea Banda la NSSF Katika Maonesho ya Wiki ya Vijana

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama ametembelea banda la NSSF wakati wa...

READ MORE

Mzozo wa Israel na Palestina: Idadi ya Waisraeli waliouawa yafikia 1200

Idadi ya vifo nchini Israel imeongezeka hadi 1200, shirika la utangazaji la umma la Kan limesema. Waathirika walikuwa raia, iliongeza....

READ MORE

UWT Dar, Waanza Safari Ya Kwenda Dodoma Kumpokea Katibu Mkuu Jokate Mwegelo

Dar es Salaam 11 Oktoba 2023: Wanawake kutoka makundi na sehemu mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar, jana...

READ MORE

Rais Biden asema Marekani iko pamoja na Israeli – Video

Rais Joe Biden alisema Jumanne kuwa “ wako pamoja na Israeli,” wakati Washington ikijaribu kupunguza mivutano Mashariki ya Kati baada...

READ MORE

Benki ya NBC, Jubilee Allianz Kutoa Huduma za Bima Kupitia Vituo vya Total Energies

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ushirikiano na Kampuni ya Bima Jubilee Allianz wamezindua kampeni maalum inayofahamika kama ‘Bima...

READ MORE

Hospitali Ya Mloganzila Kuongeza Shepu Na Matiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na...

READ MORE

Ujio wa Gemu Mpya Meridianbet Mkombozi wa Maisha

Expanse Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili...

READ MORE

Benki ya NBC Yasafirisha Wafanyabiashara Kwenda China

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia klabu yake ya biashara ijulikanayo kama NBC B-Club imeratibu safari ya wafanyabiashara 10...

READ MORE

Mwakinyo Afungiwa Mwaka Mmoja na Kamisheni ya ngumi Nchini

Kamisheni ya ngumi za kulipwa Nchini (TPBRC) kupitia Kamati yake ya Nidhamu imetangaza kumfungia Bondia Hassan Mwakinyo kwa kipindi cha...

READ MORE

Pelekeni Taa Uwanja Wa Ndege Arusha Na Iringa Na Maeneo Ya Kiutalii

Naibu Waziri Uchukuzi, David Kihenzile ameitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kupeleka taa za kuongoza ndege katika maeneo...

READ MORE

Eden Hazard Atangaza Kustaafu Soka Akiwa Na Umri Wa Miaka 32.

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Lile, Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri...

READ MORE

DC Mgomi Akabidhi Mashine ya Kutolea Photocopy Shule ya Sekondari Shinji

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekabidhi Mashine ya Photocopy katika Shule ya Sekondari Shinji ambayo imetolewa na Kampuni...

READ MORE

Chongolo Atinga Bandari ya Kasanga Kuona Upanuzi wa Bandari hiyo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akimsikiliza Rodriguez Valentin ambae ni Afisa katika Bandari ya...

READ MORE

Dkt. Biteko Azindua Mpango Mkakati Kutangaza Vivutio Vya Utalii Pangani

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko  amezindua mpango mkakati wa kutangaza fursa  zilizopo Sekta ya Utalii...

READ MORE