Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) cha Morogoro...
READ MOREKorea Kaskazini imesema imefanikiwa kuweka satelaiti yake ya kwanza ya kijasusi kwenye anga ya juu ya dunia Jumanne jioni na...
READ MOREMamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya uwepo mvua kubwa kwa muda wa siku tano kwenye maeneo...
READ MORERais mteule wa Liberia, Joseph Boakai, ambaye ameshinda rais George Weah, katika duru ya pili ya urais wa Novemba 14,...
READ MOREWatu wanne wamefariki dunia, wawili wakiwa ni wa familia moja na wengine saba kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria wakitokea...
READ MOREKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Godfrey Chongololeo Jumanne Novemba 21, 2023 amezungumza na Waziri wa Ujenzi, Innocent...
READ MOREKufuatia kifo cha kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji,...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu...
READ MOREWaziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewasimamisha Kazi Wakurugenzi wawili, Butamo Nuru Ndalahwa wa Halmashauri ya Wilaya...
READ MOREUkweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao...
READ MORETimu nne zenye wachezaji 22 kila moja kutoka Mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha na Dar es Salaam, zimetangazwa kushiriki katika...
READ MOREBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ)...
READ MORERais wa Liberia George Weah amesifiwa kwa hatua yake ya kuonyesha kukubali kushindwa na mpinzani wake katika kinyang’anyiro cha urais...
READ MOREKijana mmoja wa Jijini Arusha maarufu kwa jina la Ally Dangote ambaye kwenye siku za karibuni amekuwa akisakwa hadi picha...
READ MOREWaziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki, Novemba 20, 2021 amekabidhi mizinga takribani 200 kwa wafugaji wa nyuki wa Gairo,...
READ MOREDar es Salaam, Tanzania, Jumanne 21, 2023 – UN Women Tanzania imeshirikiana na Tigo Tanzania, chini ya Kampuni ya Honora...
READ MOREUkweli ni kwamba kila mzazi anapompelekea mtoto wake shule anatarajia kuwa atafanya vizuri katika masomo yake na kufaulu mitihani ili...
READ MOREWashindi wa Kampeni ya Serengeti, Maokoto Ndani ya Kizibo wanazidi kujizolea zawadi mbalimbali katika droo zinazoendelea kuchezeshwa.
READ MORE*Lengo ni kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati* Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu...
READ MOREMke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96), amefariki dunia. Bi.Carter alifariki kwa amani akiwa...
READ MOREBaba mzazi wa kijana wa Kitanzania, Clemence Felix ambaye ameuawa kufuatia mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa...
READ MORENaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali itaendelea kulinda kwa nguvu na gharama zote...
READ MORERais Mstaafu was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 19, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na...
READ MOREJeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia doria ya pamoja wamefanikiwa kukamata watuhumiwa wawili wakiwa...
READ MOREJumla ya vijiji 455 kati ya 524 vya Mkoa wa Lindi vimekwishafikishiwa huduma ya umeme na kazi inaendelea katika vijiji...
READ MOREKUPELEKA WAKANDARASI KUFANYA TATHIMINI MADIMBA NA MSIMBATI KABLA TA UTEKELEZAJI WAKALA wa Nishaji Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa maagizo ya...
READ MOREDar es Salaam, Novemba 17, 2023. Mtoa huduma wa bima, Britam iliadhimisha miaka 25 ya shughuli zake nchini Tanzania kwa...
READ MOREMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu utozaji wa kodi katika biashara za kielektroniki kwa watoa huduma wasio wakaazi....
READ MOREKampuni kubwa ya Saruji ya Uswizi imetangaza mpango wa kuuza kampuni yake tanzu Pan African Cement, ambayo inashikilia asilimia 65...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan ametunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi Kundi...
READ MORENimekuja kubaini katika maisha unaweza kufanya kazi kwa bidii sana na kujituma lakini ikawa ni vigumu kwa wewe kufanikiwa kwa...
READ MORERAIS wa Liberia George Weah amekubali kushindwa katika uchaguzi na kiongozi wa upinzani Joseph Boakai baada ya ushindani mkali wa...
READ MORE*Yampongeza Mama Samia kwa kuruhusu matumizi ya bando, yawahamasisha wananchi kutumia mfumo huo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Yunus Daud Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
READ MOREAfrika Kusini imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko The Hague kuchunguza shutuma za uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel...
READ MOREMke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama...
READ MOREMahakama ya Rufani imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri na kueleza kwamba hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili Desemba 7,2023 inayomkabili mfanyakazi wa...
READ MOREWakati Jeshi la Polisi nchini likianza ukaguzi wa Kampuni binafsi za ulinzi, Wadau wameliomba Jeshi hilo kutoa mafunzo kwa walinzi...
READ MORE