×

Habari

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Yawashika Mkono Wahitimu Waliofaulu Vizuri SUA

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) cha Morogoro...

READ MORE

Korea Kaskazini Yarusha Satelaiti Yake ya Kwanza ya Kijasusi

Korea Kaskazini imesema imefanikiwa kuweka satelaiti yake ya kwanza ya kijasusi kwenye anga ya juu ya dunia Jumanne jioni na...

READ MORE

Mvua Kubwa Kunyesha Kwa Siku Tano TMA Yatoa Tahadhari

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya uwepo mvua kubwa kwa muda wa siku tano kwenye maeneo...

READ MORE

Rais Mteule Liberia Aahidi Mabadiliko

Rais mteule wa Liberia, Joseph Boakai, ambaye ameshinda rais George Weah, katika duru ya pili ya urais wa Novemba 14,...

READ MORE

Video: Kiboko Apindua Mtumbwi Na Kuua Watu Wanne Rufiji – ”Alikuwa Mkorofi, Anafukuza Watu”

Watu wanne wamefariki dunia, wawili wakiwa ni wa familia moja na wengine saba kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria wakitokea...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM Azungumza na Waziri wa Ujenzi na Waziri wa Fedha

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Godfrey Chongololeo Jumanne Novemba 21, 2023 amezungumza na Waziri wa Ujenzi, Innocent...

READ MORE

Wazazi wa Ali Dangote Wasema Wameumia Hakuna Msiba Atazikwa Kimyakimya – Video

Kufuatia kifo cha kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji,...

READ MORE

Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Awasimamisha Kazi Wakurugenzi Wawili

Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewasimamisha Kazi Wakurugenzi wawili, Butamo Nuru Ndalahwa wa Halmashauri ya Wilaya...

READ MORE

Kwa Hiki Nilichomfanyia Mume Wangu, Kamwe Hawezi Kunisaliti Tena

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao...

READ MORE

Mashindano ya Kusaka Vipaji Yaibua Timu 4 Zitakazoshiriki Safari Lager Cup

Timu nne zenye wachezaji 22 kila moja kutoka Mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha na Dar es Salaam, zimetangazwa kushiriki katika...

READ MORE

Benki ya NBC Yashirikiana Taasisi Sita Kuongeza Ukusanyaji Wa Mapato Zanzibar  

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ)...

READ MORE

Kiongozi wa Liberia George Weah Apongezwa Baada ya Kukubali Kushindwa

Rais wa Liberia George Weah amesifiwa kwa hatua yake ya kuonyesha kukubali kushindwa na mpinzani wake katika kinyang’anyiro cha urais...

READ MORE

Dangote Wa Arusha Muuaji Watu, Watu Wajazana Na Mawe Mochwari – Video

Kijana mmoja wa Jijini Arusha maarufu kwa jina la Ally Dangote ambaye kwenye siku za karibuni amekuwa akisakwa hadi picha...

READ MORE

Waziri Wa Maliasili Na Utalii, Angellah Kairuki Akabidhi Mizinga 200 Kwa Wafugaji

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki, Novemba 20, 2021 amekabidhi mizinga takribani 200 kwa wafugaji wa nyuki wa Gairo,...

READ MORE

UN Women Na Tigo Waungana Kuongeza Ujuzi Wa STEM Na Kidijitali Miongoni Mwa Vijana Wa Kike Nchini

Dar es Salaam, Tanzania, Jumanne 21, 2023 – UN Women Tanzania imeshirikiana na Tigo Tanzania, chini ya Kampuni ya Honora...

READ MORE

Mbinu ya Kuwafanya Watoto Wafaulu Vizuri Mitihani na Kuwa Wepesi Kuelewa

Ukweli ni kwamba kila mzazi anapompelekea mtoto wake shule anatarajia kuwa atafanya vizuri katika masomo yake na kufaulu mitihani ili...

READ MORE

Washindi wa Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo Wakabidhiwa Zawadi Zao

Washindi wa Kampeni ya Serengeti, Maokoto Ndani ya Kizibo wanazidi kujizolea zawadi mbalimbali katika droo zinazoendelea kuchezeshwa.

READ MORE

Balozi Kingu Asisitiza Ubora wa Vifaa na Kuongeza Nguvu Katika Miradi ya REA

*Lengo ni kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati* Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu...

READ MORE

Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Rosalyn Carter (96), Afariki

Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96), amefariki dunia. Bi.Carter alifariki kwa amani akiwa...

READ MORE

Kijana Aliyeuawa Na Hamas Israel Baba Aelezea, Safari Yake, Kutekwa Na Kifo – Video

Baba mzazi wa kijana wa Kitanzania, Clemence Felix ambaye ameuawa kufuatia mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa...

READ MORE

Naibu Waziri Dkt. Biteko: Serikali Kuendelea kulinda uhuru wa wananchi wa kutoa mawazo na Kuabudu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali itaendelea kulinda kwa nguvu na gharama zote...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Afanya Mazungumzo na Rais wa Kenya William Ruto

Rais Mstaafu was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 19, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na...

READ MORE

Mifugo 303 Yakamatwa Ikisafirishwa Nje Ya Nchi Kwa Njia Za Magendo

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia doria ya pamoja wamefanikiwa kukamata watuhumiwa wawili wakiwa...

READ MORE

REA Yafikisha Umeme Kwenye Vijiji 455 Mkoani Lindi

Jumla ya vijiji 455 kati ya 524 vya Mkoa wa Lindi vimekwishafikishiwa huduma ya umeme na kazi inaendelea katika vijiji...

READ MORE

Agizo La Naibu Waziri Mkuu Kufikisha Huduma Ya Umeme Mtwara Laanza Kutekelezwa

KUPELEKA WAKANDARASI KUFANYA TATHIMINI MADIMBA NA MSIMBATI KABLA TA UTEKELEZAJI WAKALA wa Nishaji Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa maagizo ya...

READ MORE

Britam Insurance Tanzania Yazindua Mpango Wa Ufadhili Wa Masomo Wakati Inaadhimisha Miaka 25 Nchini

Dar es Salaam, Novemba 17, 2023. Mtoa huduma wa bima, Britam iliadhimisha miaka 25 ya shughuli zake nchini Tanzania kwa...

READ MORE

TRA Yatoa Ufafanuzi Utozaji wa Kodi katika Biashara za Kielektroniki kwa Watoa Huduma wasio Wakaazi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu utozaji wa kodi katika biashara za kielektroniki kwa watoa huduma wasio wakaazi....

READ MORE

Kampuni Ya Saruji ‘Holcim Group’ Yajiondoa Soko La Tanzania.

Kampuni kubwa ya Saruji ya Uswizi imetangaza mpango wa kuuza kampuni yake tanzu Pan African Cement, ambayo inashikilia asilimia 65...

READ MORE

Rais Samia Atunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi shahada ya Kijeshi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan ametunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi Kundi...

READ MORE

Ukiijua Siri Hii Moja Lakini Muhimu, Lazima Utafanikiwa Maishani Mwako

Nimekuja kubaini katika maisha unaweza kufanya kazi kwa bidii sana na kujituma lakini ikawa ni vigumu kwa wewe kufanikiwa kwa...

READ MORE

George Weah Akubali Kushindwa katika uchaguzi na kiongozi wa upinzani Joseph Boakai

RAIS wa Liberia George Weah amekubali kushindwa katika uchaguzi na kiongozi wa upinzani Joseph Boakai baada ya ushindani mkali wa...

READ MORE

NSSF Ilifanya Uamuzi Wa Kizalendo Kutoa Fedha Kwa Ajili Ya Ujenzi Daraja La Nyerere, Kigamboni

*Yampongeza Mama Samia kwa kuruhusu matumizi ya bando, yawahamasisha wananchi kutumia mfumo huo   Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi NSSF, NIMR na Mkurugenzi GBT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Yunus Daud Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...

READ MORE

Afrika Kusini yaiomba ICC kuichunguza Israel kuhusu madai ya uhalifu wa kivita huko Gaza

Afrika Kusini imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko The Hague kuchunguza shutuma za uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel...

READ MORE

Mama Mariam Mwinyi Asisitiza Umuhimu Wa Mazoezi Na Lishe Bora

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama...

READ MORE

Sabaya Ameshinda Hukumu Ya 3, Waliomshitaki Wameonekana Waongo Mbele Ya Majaji 3 Atoa Shukrani – Video

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri na kueleza kwamba hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa...

READ MORE

Kesi ya Shambulio la Mwili Kuendelea Kusikilizwa Mwezi Desemba 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili Desemba 7,2023 inayomkabili mfanyakazi wa...

READ MORE

Kampuni Binafsi za Ulinzi Zisizofuata Sheria Kukiona

Wakati Jeshi la Polisi nchini likianza ukaguzi wa Kampuni binafsi za ulinzi, Wadau wameliomba Jeshi hilo kutoa mafunzo kwa walinzi...

READ MORE