×

Habari

Exclusive: Hananja Ajibu Kuteuliwa Na Rais Samia Kuwa Mkuu Wa Wilaya, Atangaza Kuwa Rais Wa Bodaboda – Video

Ni mwendelezo wa mahojiano na MchungajiMstaafu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Richard Hananja , hii ikiwa ni...

READ MORE

Nasa Yamtaja Mwanamke wa Kwanza na Mtu Mweusi Kwenda Kwenye Mwezi

Shirika la anga za juu la Marekani Nasa limewataja wanaanga wanne ambao watarudisha shughuli za binadamu kwenye Mwezi, baada ya...

READ MORE

GGML Yaunga Mkono Jitihada Kupanda Miti Halmashauri ya Mbogwe

WAKATI Tanzania ikiadhimisha Siku ya Upandaji Miti Kitaifa tarehe 1 Aprili 2023, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi...

READ MORE

Rais Samia Amhamishia Polepole Cuba Kuwa Balozi, Bakari Apelekwa Uturuki…

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya vituo kwa mabalozi wawili na kumteua balozi mmoja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Mwanablogu Mashuhuri wa Kijeshi wa Urusi Auawa katika Mgahawa huko St Petersburg

Mlipuko katika mgahawa wa St Petersburg umemuua mwanablogu mashuhuri wa kijeshi wa Urusi Vladlen Tatarsky, Wizara ya Mambo ya Ndani...

READ MORE

Raila Odinga Atangaza Kusitisha Maandamano Atoa Nafasi ya Mashauriano

Hatimaye kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga wa chama cha ODM amesitisha maamndamano yaliopangwa kufanyika Jumatatu kama iliyokuwa ikitarajiwa....

READ MORE

#Exclusive Video: Mtanzania Anayemiliki Kampuni Ya Ndege ‘Precision’ Afunguka Safari Yake Ya Mafanikio…

Mashirika ya ndege katika baadhi ya nchi za Afrika yamekuwa yakikabiliwa na changamoto mbalimbali za uendeshaji shughuli zake. Ungana na...

READ MORE

Raia wa Marekani aliyejiunga na ISIS nchini Syria apewa kifungo cha miaka 20 jela

Raia mmoja wa Marekani aliyehamia Syria pamoja na familia yake ili kujiunga la kundi la kigaidi la Islamic State amehukumiwa...

READ MORE

Binti Wa Nabii Geordavie Ahubiri Kwa Ujasiri Mbele Ya Baba Yake – Video

Binti WaMtumishi wa Mungu Nabii Gerodavie wa Arusha leo amesimama madabahuni katika kanisa linalosimamiwa na baba yake na kuhubiri kwa...

READ MORE

Khosi Aibuka Mshindi wa Big Brother Titans, Aondoka na Donge Nono la Milioni 233

Mashindano ya Big Brother Titans yamefikia mwisho usiku wa leo, Aprili 2, 2023 huku mwanadada Khosi kutoka Afrika Kusini akitangazwa...

READ MORE

Mashindano ya Kitaifa ya UCMAS 2023 Kuwajengea Wanafunzi Uwezo wa Hesabu Yatingisha

  KAMPUNI ya UCMAS inayosimamia Program ya Jumla ya Mfumo wa Hesabu za Akili, kwa mara ya pili leo imefanikisha...

READ MORE

Urusi Yatwaa Urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Ukraine Watoa Tamko

Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua...

READ MORE

CCM Yaitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Waliotajwa Kwenye Ripoti Ya CAG,Takukuru Kufuja Mali Za Umma

Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya...

READ MORE

Safiri Bure na Chapride Twende Tukamuabudu Mungu!

Fanya safari kwenda au kutoka kanisani, kwa safari isiyozidi shilingi 10,000, mlipe dereva na Chapride itakurudishia pesa yako kikamilifu. NB:...

READ MORE

Tamasha la Pasaka Latarajiwa Kuwa Na Ubora Wa Hali Ya Juu Mwaka Huu

Dar er Salaam: 1 Aprili 2023. Kuelekea Tamasha kubwa la Pasaka linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni...

READ MORE

PASS Trust Yaelimisha Wadau Kuhusu Uhamasishaji Wa Ajenda Ya Ukuaji Wa Kijani Shirikishi Nchini

Singida, Machi 29.03.2023: Taasisi ya Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS Trust) leo imefanya mkutano wa mashauriano na wadau mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko Baraza la Mawaziri, Simbachawene, Mhagama Wabadilishana Wizara

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu,...

READ MORE

Wahitimu Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia ‘FBTC  Tanzania’Kulinda Maadili

Zaidi ya wahitimu 90 Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia (FBTC  Tanzania ) wametakiwa kuwa chachu ya maendeleo katika kuhakikisha...

READ MORE

Oscar Pistorius Arudishwa Gerezani Baada ya Kuomba Kuachiliwa

Bingwa wa Olimpiki ya Walemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius hakupewa msahama siku ya Ijumaa baada ya kuomba kuachiliwa mapema...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Awatega Musonda, Mayele Atoa Maagizo

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ametoa angalizo kubwa kwa mabeki wa timu hiyo kwa kuhakikisha wanaongeza umakini mkubwa...

READ MORE

New York: Mashtaka Dhidi ya Donald Trump Bado Hayajabainishwa Wazi kwa Umma

Jopo la Mahakama huko New York limepiga kura kumshtaki rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kwa shutuma za kihalifu...

READ MORE

Elimu ya Kijinsia Katika Jamii Ni Muhimu Katika Kudhibiti Matukio ya Ukatili

Jinsia ni mtazamo ambao umejengeka katika jamii unaotofautisha majukumu, majukumu hayo na mitazamo hiyo hutengenezwa na jamii husika na mitazamo...

READ MORE

Nmb Bonge La Mpango Yazinduliwa Misungwi, Wateja Kuvuna Mil 180/=

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya kuhamasisha utamaduni wa kuweka pesa Benki ya NMB ‘NMB Bonge la Mpango – Moto...

READ MORE

TCRA Kuanza Kukagua Vifaa vya Mawasiliano Kabla ya Kuingizwa Nchini

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuanzia Mei 23, mwaka huu vifaa vya mawasiliano ya kielektroniki vinavyoingizwa nchini vitatakiwa kukaguliwa...

READ MORE

Wachimba Madini 10 Wafariki Baada ya Mgodi Kuanguka Sudan

Wachimba dhahabu wapatao 10 wamefariki katika ajali iliyotokea kaskazini mwa Sudan, na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Vyombo vya habari...

READ MORE

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS AHITIMISHA ZIARA YAKE TANZANIA-(VIDEO+PICHA)

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris leo Machi 31, 2023 amekamilisha ziara yake ya kikazi nchini Tanzania na kuelekea...

READ MORE

Trump Afunguliwa Mashtaka na Jopo Kuu la Mahakama ya Manhattan New York

Donald Trump amefunguliwa mashtaka na jopo kuu la mahakama ya wilaya ya Manhattan katika jimbo la New York baada ya...

READ MORE

Bilionea GSM Atoa Kauli Ya Kutisha Afrika Akielekea Congo Na Kikosi Cha Yanga

BILIONEA wa Yanga, Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ jana Alhamisi kwa mara ya kwanza alisafiri na kikosi cha timu kwenye safari...

READ MORE

Bunge la Uturuki Laidhinisha Mswaada Unaoiruhusu Finland Kujiunga na NATO

Bunge la Uturuki Alhamisi limeidhinisha mswaada wa sheria ili kuiruhusu Finland kujiunga na NATO, na hivyo kuondoa pingamizi zote kwa...

READ MORE

Mtanzania Aibuka Kinara Tuzo Za Uvumbuzi Kwenye Teknolojia Barani Africa

Mtanzania Deogratius Mosha, ameibuka  mshindi katika kinyang’anyiro cha uvumbuzi kwenye teknalojia kwa wavumbuzi wenye umri chini ya miaka arobaini  kutoka...

READ MORE

Rais Samia Amuandalia Futari Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris Ikulu Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amuandalia Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris...

READ MORE

Marekani Kuipatia Tanzania Msaada wa Dola za Kimarekani Milioni 560

Makamu wa Rais wa Marekani Kamla Harris ametangaza ushirikiano na Tanzania katika maeneo mbali mbali ya kiuchumi kisiasa na kijamii....

READ MORE

Shule 20 Tabora Zakabidhiwa Vifaa Vya TEHAMA Vyenye Thamani Ya Tsh Milioni 150 Na Vodacom

Tabora – Machi 30, 2023. Vodacom Tanzania Foundation imekabidhi msaada wa vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya zaidi ya shilingi...

READ MORE

Kiungo Simba Awataka Raja Casablanca Awaondoa Hofu Mashabiki

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mmalawi Peter Banda amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa amepona na yupo fiti...

READ MORE

Kamala Harris: Marekani Kusaidia Tanzania Upatikanaji wa Huduma ya Intaneti ya Garama Nafuu

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, leo Machi 30, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam amesema Serikali yake kupitia...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Akutana na Balozi Wa Uingereza Hapa Nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mh.David...

READ MORE

Papa Francis Alazwa Hospitalini Akiwa na Maambukizi ya Kupumua

Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis amelazwa hospitali Jumatano kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Mkewe na Kumchoma Kwa Magunia Ya Mkaa Aomba Aachiwe Huru

Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mke wake na kisha kuchoma mwili wake kwa magunia ya Mkaa, aneiomba mahakama imuachie...

READ MORE

Tuzo Ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi, Ubinifu Kufanyika Aprili

  Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es...

READ MORE

Rusesabagina Awasili Marekani Baada ya Rwanda Kumuachilia Huru

Paul Rusesabagina, aliyeachiliwa huru na serikali ya Rwanda wiki iliyopita, amewasili Marekani na kuungana ten ana familia yake baada ya...

READ MORE