×

Habari

DC Morogoro Apokea Vifaa Vya Shule, Chuo Cha FDC Kutoka Nmb

Benki ya NMB imekabidhi vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC)...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris Atua Nchini na Kupokelewa na Dk. Mpango

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Tanzania,...

READ MORE

Jukwa la Wahariri Wampa Tuzo ya Kihistoria Waziri Nape Nnauye

Jukwa la Wahariri Tanzania limempa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye Tuzo kwa Mchango wake mkubwa...

READ MORE

Promosheni mpya Meridianbet rudisha x100 ya dau lako ukichana mkeka?

Sub-Heading: Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link...

READ MORE

Rais Samia Apokea Taarifa Ya CAG Na Takukuru – Ikulu, Dar Es Salaam – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

READ MORE

Baada ya Nigeria Kupigwa Stop, Tanzania, Kenya, Afrika Kusini, Congo Zakaribishwa Dubai

Baada ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kutangaza kuwafungia visa raia wa Nigeria tangu Oktoba, 2022, Bodi ya Utalii...

READ MORE

Shirika la Ndege Nchini (ATCL) Lapata Hasara ya Bilioni 35.2, Reli 31.2 – Video

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), imepata hasara ya Sh bilioni 35.23 katika mwaka wa fedha 2021/22. Ripoti ya Mdhibiti na...

READ MORE

Wanandoa Washangaza Kwa Kukataa Kupata Watoto Kwenye Ndoa Yao…

WANANDOA wawili kutoka huko Orange County California Marekani Taylor Vasu (28) na mume wake Justin (27) wamejikuta waki-trend maeneo mbalimbali...

READ MORE

Video: Mbunge Waitara Amwaga Machozi Kisa Mgogoro wa Ardhi, Awahofia Chadema

Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amezungumza na waandishi wa habari Mkoani Dodoma ambapo ameshindwa kujizuia na kumwaga machozi kufuatia...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Marekani Kutua Nchini leo Katika Ziara ya Kidiplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Jumanne alitembelea kituo kimoja nchini Ghana ambako watumwa walikuwa wanasafirishwa kuelekea kanda ya...

READ MORE

Osam Aliyegongwa Na Basi La Mwendokasi Aruhusiwa, Moi Watoa Taarifa – Video

Majeruhi wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea Februari 22, 2023, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya afya yake...

READ MORE

Rais Samia Aunda Kamati ya Kutathmini Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara...

READ MORE

Dk. Mpango Aipongeza NMB Kampeni ya Upandaji Miti, Shule Zatengewa Mil. 472/-

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Isdor Mpango, ameipongeza Benki ya NMB na kuitaja kuwa...

READ MORE

Catholic Relief Services (CRS) Yajivunia Kutangaza Mwaka Wake Wa 60 Kuwepo Nchini Tanzania

Dar es  Salaam, Tanzania, Machi 2023 – Catholic Relief Services (CRS) inajivunia kutangaza mwaka wake wa 60 wa kuwepo nchini...

READ MORE

GGML, STAMICO wasaini mkataba wa Sh bilioni 55.2 kuchoronga miamba

    KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), imesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Safiri Bure na Chapride Kwenda Uwanja wa Taifa Kuishuhudia Taifa Stars Ikimenyana na Uganda Leo

Kampuni ya Chapride Tanzania ambayo ni ya usafirishaji abiria na huduma nyingine kwa njia ya mtandao, leo imetoa ofa kwa...

READ MORE

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango Kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho Machi 29,  2023 na kupokewa na Makamu wa...

READ MORE

Airtel, Benki Ya Letshego Wazindua Vimba Na Timiza Akiba Ushinde

Dar es Salaam, Jumanne tarehe 28 Machi 2023: KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel kupitia huduma yake ya Airtel money...

READ MORE

Shujaa wa Hoteli ya Rwanda Atua Qatar Baada ya Kuachiliwa Huru

Paul Rusesabagina, ambaye aliigiza kama shujaa katika filamu ya Hollywood Hotel Rwanda, amewasili Qatar baada ya kuachiliwa kutoka jela nchini...

READ MORE

Mshambuliaji Aua Watu 6 katika Shule ya Jimbo la Marekani la Tennessee

Mshambuliaji mwanamke Machi 27, 2023 ameua watoto watatu na watu wazima watatu katika shule ya sekondari ya kikatoliki katika jimbo...

READ MORE

Ghasia Zapamba Moto Kenya Mwanamme Apigwa Risasi Wakati wa Maandamano Kisumu

Mwanamme mmoja ambaye jina lake halija julikana aliuawa kwa kupigwa risasi siku ya Jumatatu wakati wa maandamano katika mji wa...

READ MORE

Kasino ya Mtandaoni Meridianbet Inakupa Mtonyo zaidi!

Sub-heading: Jisajili Meridianbet na upate mizunguko 50 ya bure ya kasino ya mtandaoni! Bonyeza hapa kujisajili https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF   Huenda wewe...

READ MORE

Serikali Yapongeza Program Atamizi ya Biashara ya CBE

  SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa...

READ MORE

Polisi Wazingira Mitaa ya Nairobi Kudhibiti Maandamano Kenya

Askari wa kutuliza ghasia nchini Kenya wako katika mitaa ya mji mkuu, Nairobi, katika jitihada za kuzuia maandamano yaliyoitishwa na...

READ MORE

NALA Yapewa Leseni Ya Mtoa Huduma Za Malipo Na BOT, Yaahidi Kufanya Uwekezaji Wa Zaidi Ya Sh. Bilioni 2

Dar es Salaam, Mar 27, 2023NALA imepokea leseni ya mtoa huduma kwa malipo kutoka Benki Kuu ya Tanzania, ikiwa ni...

READ MORE

Naibu Waziri Mwana FA Aipongeza Benki Ya NBC Kwa Kusaidia Maendeleo Ya Michezo

Dar es Salaam, Tanzania: Machi 27, 2023 – Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma ameipongeza Benki ya...

READ MORE

Mama Janeth Maguful Atunukiwa Tuzo Ya Kimataifa, Mchango Wake Kwa Hayati Magufuli

Mama Janeth Magufuli, mke wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Tuzo ya Heshima...

READ MORE

Manyaunyau Aliyetrendi Kwa Kunywa Damu Ya Paka Afichua Utajiri Wake – ”Nina Nyumba 30” | Mpaka Home – Video

MPAKA HOME ya Global TV imefika hadi nyumbani anakoishi Manyaunyau mtaalam wa tiba za asili mwenye umaarufu mkubwa Bongo, Manyaunyau...

READ MORE

Kimbunga Chaua 23 Usiku wa Kuamkia leo Mississippi Marekani

Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya kimbunga kukumba jimbo la Mississippi nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Watu zaidi...

READ MORE

PASS Trust Yahimiza Kilimo Chenye Tija Katika Mazingira

PASS Trust yahimiza kilimo chenye tija katika mazingira kwenye warsha ya ukuaji wa uchumi wa kijani shirikishi iliyofanyika Kanda ya...

READ MORE

Serikali, Ikishirikiana Vodacom Tanzania, Wazindua Mfumo Wa M-mama Jijini Arusha

Arusha – Machi 24, 2023. Ikiwa ni jitihada za kuongeza kasi ya upatikanaji wa huduma za dharura za afya kwa...

READ MORE

USAID Breakthrough ACTION Launches SPARK Program To Enhance Social And Behavior Change Skills In Tanzania

Dar es Salaam Sunday 26 March 2023: The USAID-funded Breakthrough ACTION has launched the SPARK program, a social and behavior...

READ MORE

Women Food Vendors Get A Short In The Arm From Coca-Cola Kwanza And Oryx Gas.

  Dar es Salaam Sunday 26 March 2023 – More than 300 women food vendors from the Dar es Salaam region...

READ MORE

Wanamuziki Kutoka Nchi 14 Kushiriki Mashindano Ya “The Voice Of Afrika”

KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Airtel Tanzania imetangaza kuzinduliwa kwa mashindano ya The Vioce Afrika yenye lengo...

READ MORE

HUDEFO Ilivyofanya Kitu Cha Kipekee Mtaani Mpaka Makaburini

Dar es Salaam 25 Machi 2023: Asasi isiyo ya kiserikali ya HUDEFO inayojihusisha na usafi na utunzaji mazingira katika kuazimisha...

READ MORE

Rwanda Yatangaza Kumuachia Paul Rusesabagina ’Shujaa wa Hotel Rwanda’

  Serikali ya Rwanda itawaachilia huru kiongozi wa kundi la upinzani la Rwanda Movement for Democratic Change (MRCD) Paul Rusesabagina...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Reflector kwa Polisi Kawe

Kampuni ya Meridianbet kila iitwayo siku hufikiria watafanya nini kwaajili ya kuwaunga mkono wanaanchi ambapo hii leo wamefika eneo la...

READ MORE

Julius Malema: Tutamlinda Putin Dhidi ya ICC Atakapowasili Afrika Kusini

Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru...

READ MORE

Meta Yazuiwa Kuwafukuza Kazi Wasimamizi wa Maudhui wa Facebook Nchini Kenya

Mahakama katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, imeizuia kampuni ya Meta, ambayo ni kampuni mama ya facebook, kuwafuta kazi wasimamizi...

READ MORE