×

Habari

Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025

Mwaka 2025 umeendelea kuonesha kwa nini Afrika Kusini ni moja ya nguzo kubwa za muziki barani Afrika. Kuanzia vilabu vya...

READ MORE

RC Mwassa Aongoza Dua ya Kuliombea Taifa Kata ya Katoro, Kagera

Dua maalum ya kuliombea Taifa iliandaliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Farisi Buruhani,...

READ MORE

Watu 10 Wafariki, 18 Wajeruhiwa kwa Ajali mikese Morogoro

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso, katika...

READ MORE

Serikali Yaandaa Tume ya Maridhiano Kuimarisha Umoja wa Kitaifa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali imeanza maandalizi ya kuunda Tume ya...

READ MORE

Wawili Washikiliwa na Polisi Kufuatia Kifo cha Mtanzania Uturuki – Video

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha Mtanzania aliyefariki dunia baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 nchini Uturuki, umeibuka mjadala...

READ MORE

Januari Ilinipokea kwa Hofu ya Ada za Watoto, Hizi Ndizo Mbinu Nilizozitumia

Januari ilipofika, nilikuwa na wasiwasi mzito moyoni. Shule zilikuwa zinafunguliwa, lakini mfukoni sikuwa na kitu cha maana. Sikukuu zilinimaliza kifedha,...

READ MORE

Ukraine Yakanusha Shambulio la Droni Dhidi ya Makazi ya Putin, Urusi Yazidi Kudai

Serikali ya Ukraine Jumanne imekanusha vikali madai ya Urusi kuwa ilihusika na shambulio la droni lililolenga moja ya makazi ya...

READ MORE

Akina Mama Sinza Watabasamu Kupitia Msaada wa Meridianbet Hospitali ya Palestina

Tabasamu na hisia za shukrani zilitawala katika Hospitali ya Palestina, Sinza jijini Dar es Salaam, baada ya Meridianbet kutoa msaada...

READ MORE

Uzinduzi Rasmi Wa Jukwaa Jipya La Mauzo Mtandaoni La ‘Samsungstore.Tz’

Mshirika wa Samsung Tanzania,  Mars Communication Limited, imezindua rasmi jukwaa lake jipya la mauzo mtandaoni, hatua muhimu inayowarahisisha wateja kote...

READ MORE

Taifa Stars Yaweka Rekodi, Kuvaana na Morocco 16 Bora AFCON 2025

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepangwa kuvaana na Morocco katika hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Kombe...

READ MORE

Mtanzania Aliyetoroka Oman Afichua Mazito ‘Nilikuwa Napewa Sambusa, Mshahara Hakuna’” – Video

Mwanadada Farida Hamadi ni miongoni mwa wanawake waliokuwa wanaishi nchini Oman 🇴🇲, ambako walikwenda kufanya kazi za ndani lakini baadaye...

READ MORE

United, Chelsea Wabanwa Nyumbani, Arsenal Yaizamisha Aston Villa 4–1

Ligi Kuu ya England iliendelea kwa hamasa kubwa, na matokeo ya mwisho ya mechi za jana yanaonyesha wazi kwamba msimu...

READ MORE

Mwaka Mpya Ulinikuta Nikiwa na Hofu ya Kodi na Ada, Hivi Ndivyo Nilivyojipanga

Mwaka mpya ulipofika, sikuhisi furaha niliyotarajia. Nilikuwa na mzigo wa kodi ya nyumba, ada ya shule, na madeni madogo yaliyokuwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 31, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NMB Yajivunia Ushiriki, Udhamini wa Matukio Sherehe za Mapinduzi Z’bar

WAKATI Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikiitunukia Cheti cha Shukrani na Pongezi kwa kufadhili, kudhamini na kushiriki Siku ya Kitaifa...

READ MORE

Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Yatangaza Ajira 4 za Mwandishi Mwendeha Ofisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba ajira za nafasi nne (04) baada ya...

READ MORE

Niliuanza Mwaka Nikiwa Naandamwa na Madeni Kibao na Mkwamo wa Kiuchumi

Mwaka mpya ulipofika, nilikuwa sina chochote cha kusherehekea. Hakukuwa na akiba, hakuna mpango wa wazi, na madeni machache yalikuwa yananikumbusha...

READ MORE

Sababu Zinazofanya Gari la Rais wa Marekani Liogopewe Duniani – Video

Rais wa Marekani ni kiongozi wa taifa lenye nguvu kubwa zaidi kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani. Kwa nafasi hiyo nyeti,...

READ MORE

Clemence Mwandambo Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Tuhuma za Kijinai – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali Saint Clemence, Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni...

READ MORE

Uhamiaji Watangaza Nafasi Mpya za Kazi, Sifa za Kuomba zipo Hapa

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Soko Na Kituo Cha Mabasi Bunju B – Video

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Bunju B, Jijini Dar es Salaam, alipofanya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 30, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akagua Hali Ya Uzalishaji Na Usambazaji Wa Maji Ruvu Chini (Picha +Video)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 29, 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu...

READ MORE

Airtel Yawazawadia Washindi Saba Siku ya Boxing Kupitia ‘Sikukuu Imenyooka na Santa Mizawadi’

Dar es Salaam, Tanzania – 26 Desemba 2025. Airtel Tanzania imeadhimisha Siku ya Boxing kwa kuwazawadia wateja saba wenye bahati...

READ MORE

Jeshi la Polisi Wamkamata Thadey Kweka Mkoani Kilimanjaro

Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumkamata na kumshikilia Thadey Sabinus Kweka kwa tuhuma za makosa ya jinai ikiwemo uchochezi, likieleza...

READ MORE

Wakazi wa Kyela Ndani na Nje ya Nchi (Kyela IBHASA) Watoa Msaada wa Taulo za Kike

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule 109 za msingi na sekondari, Halmshauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wanalazimika...

READ MORE

Top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Kuanzia SUV hadi minivan, magari ya kutoka nje yaliyotumika yameendelea kuwa chaguo la Watazania wengi mwaka 2025. Orodha hii inatoa...

READ MORE

SMZ Yapongeza Udhamini Mnono wa Nmb Mapinduzi Cup

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa Mashindano ya Mapinduzi...

READ MORE

Video: Serikali yatangaza mageuzi makubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema Serikali imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Askofu Ruwa’ichi Acharuka ‘Waliomshitaki Padre Kitima Ni Wasaliti’ — VIDEO”

Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo la Dar Es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi amesema katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa...

READ MORE

Marekani yafanya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la Islamic State nchini Nigeria – Video

Marekani imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wapiganaji wa Islamic State (ISIS) katika kaskazini-magharibi mwa Nigeria, hatua ambayo Rais Donald...

READ MORE

Dkt Mwigulu: Viongozi Wa Dini Endeleeni Kutoa Elimu Ya Umoja Na Amani

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa elimu ya umoja...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Aadhimisha Krismasi Parokia ya Mt. Petro, Oysterbay

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na waumini mbalimbali katika Adhimisho la...

READ MORE

Watano Wafariki Ajali ya Helikopta Juu ya Mlima Kilimanjaro

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kupitia Kamanda wa Polisi (RPC), Simon Maigwa, limethibitisha vifo vya watu watano waliopoteza maisha katika...

READ MORE

Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema

Mkurugenzi Mtendaji, Uongozi na Wafanyakazi wa Global Publishers Ltd wanawatakia Watanzania kwa ujumla Krismasi Njema yenye upendo na Amani.

READ MORE

Simu Mpya Inakusubiri! Piga *149*10# Jumatano Hii na Uwe Mshindi!

Je unajua kuwa ukipiga *149*10# unaweza ukajishindia Samsung A26?. Mechi kibao za kukupatia pesa zipo hapa huku nafasi ya kushinda...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Asia Mustapha: Aliyepambana na Maradhi ya Figo kwa Miaka 20 (Picha +Video)

Asia Mustapha, ambaye kwa muda wa takribani miaka 20 alikabiliana na changamoto za maradhi ya figo, ameaga dunia na kuhitimisha...

READ MORE

PM Mwigulu Aagiza Watendaji TEMESA Wafutwe Kazi, Wakabiliwe na Sheria – Video

WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Meridiansport Yatoa Msaada Kituo cha Faraja Orphanage Centre Mburahati

Katika kuendeleza dhamira yake ya kuchangia ustawi na maendeleo ya jamii, kampuni ya Meridiansport imegusa mioyo ya wengi kwa kutembelea...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Uboreshaji wa Huduma za Vivuko Kigamboni

Dar es Salaam, Desemba 24, 2025 – Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka mamlaka zinazohusika na usafiri wa vivuko vya...

READ MORE