×

Habari

Nmb Yakabidhi Vifaa Tiba Vyenye Thamani ya Mil 15 Kituo Cha Afya Makole Dodoma

Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba na mahitaji mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 15 kwa Kituo cha Afya Makole...

READ MORE

Maafisa Wasimamishwa Kazi Kilolo Kwa Kushindwa Kukamilisha Mradi Wa Shilingi Bilioni 4.7

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, akizungumza...

READ MORE

Airtel Yapanua WiGo wa Mawasiliano kwa Kuongeza Minara

Kanda ya Ziwa 15 Disemba, 2025. KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua rasmi zaidi ya minara 6 katika mikoa ya kanda...

READ MORE

Airtel Yaja na Airtel VoLTE, Wateja Sasa Kuperuzi na Kuongea LIVE BILA CHENGA

Airtel yaja na Airtel VoLTE, wateja sasa kuperuzi na kuongea LIVE BILA CHENGA

READ MORE

Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia Afungua Mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi Tanga – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Shule ya Kijeshi...

READ MORE

Elon Musk Atambulisha XChat – App Mpya ya Faragha na Ukomo wa Mazungumzo

Elon Musk, mmiliki wa jukwaa la X (zamani Twitter), ametambulisha rasmi XChat, mfumo mpya wa mawasiliano ulioundwa kuboresha faragha, kasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Nchemba Awali Songea Kushiriki Ibada ya Heshima za Mwisho Jenista Mhagama Peramiho

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15, 2025 amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za...

READ MORE

SBL Na Bolt Washirikiana Kusaidia Watanzania Kusherehekea Kwa Usalama Msimu Wa Sikukuu

Dar es Salaam, Tanzania, 17 Disemba 2025: Pale Tanzania inavyoingia katika msimu wa sikukuu, ambapo safari huongezeka na sherehe kudumu...

READ MORE

Mh.Balozi Dkt.Nchimbi Mgeni Rasmi Uwekaji Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa Kampasi Ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Kagera

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba...

READ MORE

Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu 

Ahimiza matumizi ya mbolea na mbegu za mazao ya muda mfupi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba...

READ MORE

Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...

READ MORE

Mtangazaji wa Global TV Irene Kilango Afunga Ndoa, Ashukuru Mungu na Wadau

Aliyekuwa mtangazaji wa michezo wa Global TV Online na kwa sasa mtangazaji wa BONGO FM, Irene Kilango, wikiendi hii amefanikiwa...

READ MORE

Asahi Group Kununua Hisa Za Diageo Katika EABL

Nairobi, Disemba 17, 2025: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake...

READ MORE

Buckreef Gold Yaimarisha Ushirikiano Na Jamii Kupitia Upya Wa Makubaliano Ya Uwajibikaji Kwa Jamii

Kampuni ya Buckreef Gold imezidi kuimarisha ushirikiano wake na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia makubaliano ya Uwajibikaji kwa Jamii...

READ MORE

Katibu wa Bunge Aeleza Chanzo cha Kifo cha Jenista Mhagama – Video

Chanzo cha kifo cha aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Joakim Mhagama, kimetajwa kuwa...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama Waagwa Dodoma, Mazishi Desemba 16 Peramiho – (Picha +Video)

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Joakim Mhagama, umeagwa rasmi leo Desemba 13, 2025...

READ MORE

Hadithi Nzuri Yaangazia Vijana Wa Tanzania Wasiopewa Msaada Wa Kutosha, Ikitoa Wito Kwa Wahisani Kujitokeza Zaidi

Dar es Salaam, 14 Desemba 2025. Taasisi inayojihusisha na harakati za kijamii inayojulikana kama Hadithi Nzuri, kwa kushirikiana na kampuni...

READ MORE

BASATA Yasitisha Hafla ya TMA 2025 Bila Kutoa Sababu

Leo Disemba 13, 2025 hafla ya utoaji Tuzo za Muziki Tanzania(TMA) 2025 kwa wasanii wa muziki waliofanya vizuri katika maeneo...

READ MORE

Fahamu Maporomoko ya Maji Yanayopatikana Tanzania, Miji Inateseka Kwa Maji – Video

Wakati Tanzania ikiwa na maporomoko mengi ya maji (Water falls) na mito ambayo maji yake huishia baharini, baadhi ya miji...

READ MORE

Mkuu wa Mitihani Korea Ajiuzulu Baada ya Kutunga Mtihani ‘Mgumu’

Seoul, Korea Kusini – Mtihani wa kujiunga na chuo kikuu nchini Korea Kusini, unaojulikana kama Suneung, umekuwa chanzo cha hofu...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama Ulivyowasili Nyumbani Itega, Dodoma

Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama ukiwasili nyumbani kwake Itega Jijini Dodoma Desemba 12, 2025. Marehemu alikuwa Mbunge wa Peramiho kuanzia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 13, 2025

  Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Waziri Mchengerwa: Jenista Mhagama Alianza Kuanguka Wakati Wa Uchaguzi – Video

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameungana na waombolezaji wengine katika kutoa pole nyumbani kwa Jenista Mhagama, kufuatia msiba uliotokea hivi...

READ MORE

Video: Polisi Watoa Ufafanuzi Kuhusu Kukamatwa Kwa Geofrey Mwambe

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia wakazi wa jiji hilo kuwa hali ya usalama inaendelea kuwa...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yakabidhi Kapu La Sikukuu Makambako

Meneja Mauzo wa Vodacom eneo la Makambako mkoani Njombe, Elly Mwambene (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja...

READ MORE

Tasnia ya Filamu Yapoteza Mwigizaji Laisa, Msiba Wathibitishwa – Video

Tasnia ya filamu nchini imepokea taarifa za msiba wa Laisa, ambaye alikuwa mfanyabiashara na muigizaji katika BongoMuvi. Taarifa hizo sasa...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Bulgaria Ajiuzulu Baada ya Maandamano Makubwa

Waziri Mkuu wa Bulgaria, Rosen Zhelyazkov, amewasilisha barua ya kujiuzulu kutoka serikalini, baada ya chini ya mwaka mmoja madarakani. Hatua...

READ MORE

Wananchi Dar ‘Walia’ na Tatizo la Maji, Wadai Bili Zinaendelea Kuwafika Bila Huduma

Wananchi wa Dar es Salaam wameendelea kuonesha malalamiko yao kutokana na ukosefu wa maji safi katika maeneo mbalimbali ya jiji,...

READ MORE

Mazishi ya Jenista Mhagama Kufanyika Desemba 16, Mbinga

Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia...

READ MORE

Sababu Kuu za Maumivu ya Tumbo kwa Wanawake

Maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa wanawake yanaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali mwilini yanayoweza kuwa sehemu yenye maumivu au...

READ MORE

Kiongozi wa wanamgambo Darfur afungwa miaka 20 na ICC

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), imemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan Ali Kushayb kifungo cha miaka 20...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Aomboleza Kifo cha Mbunge Jenista Mhagama

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Video: Mwigulu Ataja Maeneo Yenye Mianya ya Rushwa, Atoa Maagizo Mazito

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe...

READ MORE

Wakili Mwasipu Afungua Maomba ya Kutaka Kupewa Dhamana Ya Geofrey Mwambe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeombwa kutoa amri ya kupewa dhamana ama kufikishwa mahakamani kwa aliyekuwa Waziri...

READ MORE

CEOrt na IUCN Waunganisha Nguvu Kuleta Mapinduzi ya Kijani Sekta ya Utalii

Arusha, Tanzania – Jukwaa la Wakurugenzi wa Makampuni nchini (CEOrt Roundtable), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa...

READ MORE

Mbunge Jenista Mhagama, Afariki Dunia Leo, Dodoma

Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, amefariki dunia leo 11 Desemba 2025 jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa...

READ MORE

Fursa Mpya! Bank Tellers 7 Wenye Uzoefu Wanahitajika Haraka

JUNCTION, kampuni inayoongoza katika usimamizi wa rasilimali watu, imetangaza fursa mpya za ajira kwa watanzania wenye sifa stahiki. Kampuni hiyo...

READ MORE

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatangaza Siku 10 za Mvua

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwenendo wa mvua kwa kipindi cha tarehe 11 hadi 20...

READ MORE

WCF Yapongezwa Kwa Utoaji Huduma Bora Kwa Wananchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa...

READ MORE

AMSONS Yasaini Makubaliano ya Mradi wa Umeme Jua wa Dola Mil. 600 Zambia

Kampuni ya Kitanzania ya Amsons Group, mojawapo ya kampuni kubwa za nishati barani Afrika, imetangaza ushirikiano wa kimkakati na kampuni...

READ MORE