×

Habari

Mwanzilishi wa CHADEMA na GAVANA wa Kwanza BOT Afariki Dunia

Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edwin Mtei...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yatoa Kapu La Vifaa Vya Shule Tabora

Afisa wa Vodacom Tabora Christian Mushanga ( kulia), akikabidhi Kapu la Voda kwa mzazi Modester Kashindye  (kushoto) na Mwanafunzi Samwel...

READ MORE

NBC Yaahidi Kuimarisha Ushirikiano Na Wadau, Yasisitiza Mwelekeo Wake Utoaji Huduma Jumuishi Za Kifedha

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana kwa ukaribu na wadau mbalimbali wakiwemo Serikali,...

READ MORE

Bruce Melodie agonga kolabo na Diamond Platnumz

Na MWANDISHI WETU MSANII wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ametoa kibao kikali kinachokwenda kwa jina la POM POM. Katika...

READ MORE

Ulaya Yakataa Vitisho vya Ushuru wa Trump Kuhusu Greenland

Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen, amesema kuwa Ulaya haitakuwa chini ya shinikizo la vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Rais...

READ MORE

Lecturer Alitaka Nitembee Naye Vinginevyo Atanifelisha, Hiki Ndicho Nilichokifanya

Nilipojiunga na chuo, nilikuwa na ndoto kubwa. Nilijua masomo yangekuwa magumu, lakini sikuwa tayari kukutana na jaribio ambalo lingeweka maadili...

READ MORE

Kutokwa na Damu Nyingi Wakati wa Hedhi – Sababu na Suluhisho Soma Hapa

Hedhi ni sehemu ya kawaida ya mzunguko wa uzazi wa mwanamke, lakini kutokwa na damu kunapokuwa kupita kiasi, kunaweza kuingilia...

READ MORE

Butiku Aeleza Mtazamo wa Haki Kwenye Mgogoro wa CHADEMA

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Jumatatu Januari 19, 2026, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu...

READ MORE

Kanisa la Mlima wa Moto Kufanya Maombezi Maalum ya Kuliombea Taifa

  Mjumbe wa kamati ya Maandalizi ya Kongamano Mchungaji Samwel Hillary akizungumza na Waandishi wa habari katika Kanisa la Mlima...

READ MORE

Serikali Yatenga Bilioni 25, Maeneo Maalum Ya Uwekezaji Viwanda Vya Dawa

Serikali imetenga maeneo maalum la uwekezaji wa viwanda vya bidhaa za afya pamoja na kutenga kiasi cha zaidi ya Bilioni...

READ MORE

Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Yakamilisha Ujenzi Jengo Jipya

…Shule ya sekondari ya amali Mwambasha nayo yakamilika. …Halmashauri ya Wilaya Shinyanga yampongeza Rais Samia kwa bilioni tatu HALMASHAURI ya...

READ MORE

Askari Polisi 7 Wauawa Baada ya Kushambuliwa na Wahalifu – Video

Maafisa saba wa polisi wamepoteza maisha baada ya magenge ya uhalifu kufanya mashambulizi ya kuratibiwa dhidi ya vikosi vya usalama...

READ MORE

Basi na Lori Zagongana na Kuua Wanafunzi 13 – Video

Wanafunzi 13 wamefariki dunia nchini Afrika Kusini baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kugongana na lori kusini mwa jiji la...

READ MORE

CAF Wamfungulia Kesi ya Kinidhamu Kocha Mkuu wa Senegal – Video

  CAF imefungua rasmi kesi za kinidhamu dhidi ya kocha mkuu wa Senegal Pape Thiaw. Kocha huyo wa Senegal sasa...

READ MORE

Mzee Butiku Afunguka Kuhusu Alipo Polepole – Video

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Waryoba Butiku amezungumza na waandishi wa habari Leo Januari...

READ MORE

Kwagilwa Atoa Siku 30 Kukamilisha Ujenzi Kiutu – Video

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Netanyahu Ampinga Trump, Akosoa Bodi ya Amani Gaza

Kiongozi wa Israel, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ameongoza mkutano wa dharura na washauri wake wakuu wa kisiasa na kiusalama kujadili...

READ MORE

Treni za Mwendokasi Zagongana na Kuua Watu 21, Hispania

Takribani watu 21 wamefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya treni za mwendokasi iliyotokea kusini mwa Hispania, huku mamlaka za nchi...

READ MORE

Mzee Butiku Azungumzia Utekaji na Mauaji – Video

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Waryoba Butiku amezungumza na waandishi wa habari Leo Januari...

READ MORE

Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko Baada ya Kushinda AFCON – Video

Dakar, Senegal — Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa kufuatia ushindi wa kihistoria wa timu ya...

READ MORE

Kilimo Viwanda Jinsi Elimu Inavyobadilisha Sekta Ya Kilimo Tanzania

Dunia inapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Elimu, mjadala unaelekezwa kwenye nafasi ya elimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania....

READ MORE

Mtoto Nilsa Afariki Dunia Akipatiwa Matibabu – Video

Mtoto Nilsa, ambaye alikuwa akiishi na changamoto ya kiafya tangu kuzaliwa, amefariki dunia leo, Januari 18, 2026. Kifo cha Nilsa...

READ MORE

Stanbic Yaunga Mkono Utoaji Wa Sukuk Ya Ak Barakah Ya Benki Ya CRDB Kama Mratibu Mwenza

Stanbic inaonesha utaalamu wake kama Mshirika mwenza wa Mpango katika kuunga mkono utoaji wa hivi karibuni wa Sukuk ya Al...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Burudani Mpya Ya Sloti Kupitia Slotopia

Meridianbet imechukua hatua nyingine kubwa katika kubadilisha taswira ya kasino mtandaoni kwa kuleta mshirika mpya mwenye nguvu, Slotopia. Huu ni...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Amshutumu Trump kwa Vifo vya Waandamanaji – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, siku ya Jumamosi amemlaumu Rais wa Marekani Donald Trump kwa wiki kadhaa za...

READ MORE

Niffer Athibitisha Kuachana na OG, Aomba Kuheshimiwa

Mfanyabiashara maarufu anayefahamika kwa jina la Niffer amethibitisha rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake, OG Phone and...

READ MORE

Mpenzi Wangu Aliniacha na Kuolewa na Mwanaume Mwingine, Baadaye Alirudi Akilia

Siku niliyopokea ujumbe wake wa mwisho bado unauma hadi leo. Hakukuwa na maelezo marefu, hakukuwa na majibu ya maswali yangu....

READ MORE

Senegal Yatwaa Ubingwa, Sadio Mané Aibuka Mchezaji Bora

Mchezaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mané, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa...

READ MORE

Zambia Yadhibiti Matumizi ya Dola, Kwacha Yapaa Afrika

Kwa sasa, Kwacha ya Zambia inatajwa kuwa miongoni mwa sarafu zinazofanya vizuri zaidi barani Afrika dhidi ya Dola ya Marekani,...

READ MORE

Kwagilwa Atoa Siku 30 Kukamilisha Ujenzi Wa Shule Ya Sekondari

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waangalizi wa EAC Waipongeza Uganda kwa Uchaguzi wa Amani

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeipongeza Serikali na wananchi wa Uganda kwa kuendesha Uchaguzi...

READ MORE

Prof. Shemdoe Aishukuru Nmb Kwa Kutoa Msaada wa Vifaa Tiba Na Vya Elimu Lushoto

  Mbunge wa Jimbo la Lushoto, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru Bank ya NMB kwa kutoa mchango wa vifaa tiba...

READ MORE

Simba Washikwa Shati na Mtibwa Sugar

Na Bakari Mahundu Dakika 90 za mchezo wa kukatana shoka kati ya Simba SC na Mtibwa Sugar zimekamilika kwenye Uwanja...

READ MORE

Kipa wa Taifa Stars Hussein Masalanga Atua Yanga

Klabu Yanga leo Jumapili, Januari 18, 2026 imetangaza kukamilisha usajili wa kipa Hussein Masalanga akitokea klabu ya Singida Black Stars....

READ MORE

Prof. Shemdoe Akemea Tabia ya Wananchi Kutupa Takataka Kwenye Barabara za Manispaa ya Morogoro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Halima Nassor Ulivyofikishwa Nyumbani Kwake, Kigamboni

Na Bakari H. Mahundu Mwili wa Marehemu Halima Idd Nassor ulivyofikishwa nyumbani kwake Kibada, Kigamboni Dar es Salaam kwaajili ya…

READ MORE

Dkt. Mwigulu: Serikali Itaendelea Kushirikiana Na Viongozi Wa Dini

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu...

READ MORE

Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026

Chuo Kikuu cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE), ambacho ni Chuo Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole kwa Familia ya Mbunge Halima Nassor, Maziko Kufanyika Leo Kigamboni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE