×

Habari

CMSA; Uwekezaji wa Pamoja Waipa Tanzania Mwelekeo Mpya wa Kifedha

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa Kampuni ya Africa Pension Fund...

READ MORE

Dkt. Lazaro Komba Ateuliwa Mgombea CCM Jimbo la Peramiho

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Dkt. Lazaro Komba, kuwa mgombea wa chama...

READ MORE

Dkt. Samia Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu, Zanzibar – Picha

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza...

READ MORE

Mbunge Musukuma ‘Azichapa’ na Mwekezaji, Serikali Yatajwa Kuchukua Hatua – Video

Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya...

READ MORE

ALAF Yazindua Tuzo ya 10 ya Kiswahili ya Safal 2025

ALAF Tanzania imezindua rasmi Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika kwa mwaka wa 2025, ambapo wanaotarajiwa kushiriki...

READ MORE

Stanbic Bank Tanzania Yasaidia Fedha Za Makazi Kupitia Usimamizi Wa Soko La Mitaji

Dar es Salaam, Tanzania: Stanbic Bank Tanzania imethibitisha tena jukumu muhimu la masoko ya mitaji katika kusaidia maendeleo ya muda...

READ MORE

Sakata la Ardhi Karagwe: Watoto wa Marehemu Wadai Kudhulumiwa Ekari 32 – Video

Sakata la familia ya marehemu Cleophace Rutaiga inayoishi Karagwe mkoani Kagera kudai kwamba baba yao mdogo kwa kushirikiana na shangazi...

READ MORE

Kamishna Mwenda: Idara ya Forodha ni Nguzo ya Usalama na Ulinzi wa Taifa

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa...

READ MORE

Serikali Yatangaza Ajira 142 NAOT kwa Fani Mbalimbali

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), anakaribisha maombi...

READ MORE

Fahamu Maisha Ya Manowari Ya Nyuklia Ya Marekani Na Silaha Nzito Inazobeba – Video

 Manowari ya nyuklia ya Marekani si chombo cha kawaida cha baharini. Mbali na kuwa makazi ya muda mrefu kwa...

READ MORE

Kanisa la Mlima wa Moto Laja na Kongamano la Anza Mwaka na Bwana   

KANISA la Mlima wa Moto la Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano la siku nane la kuombea nchi amani...

READ MORE

Mzee Edwin Mtei Aagwa Arusha, Serikali Kuenzi Mchango Wake Kitaifa

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ibada...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yaiahidi ALAF Ushirikiano

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imefanya ziara katika kiwanda cha ALAF limited na kuahidi...

READ MORE

Rais Samia Apongeza Juhudi Za Kampuni Ya Bia Ya Serengeti katika Utunzaji Wa Mazingira

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,ametoa tuzo kwa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)...

READ MORE

Mbowe Aitaka Serikali Kuwaachia Wafungwa wa Kisiasa Ili Kuponya Taifa – Video

Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameitaka Serikali kukiri ukweli na kuwaachia wafungwa wa kisiasa waliopo magerezani ili kuponya...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Atoa Heshima za Mwisho kwa Mwili wa Mzee Edwin Mtei

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Gavana...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Vifaa vya Usafi Mbezi Juu, Yashiriki Zoezi la Usafi wa Mazingira

Meridianbet imeendelea kudhihirisha kuwa ni zaidi ya kampuni ya michezo ya kubahatisha kwa kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii zinazogusa...

READ MORE

Mfahamu Mohammed bin Salman (MBS) Mkombozi wa Saudi Arabia Mpya Mkono wa Chuma – Video

Mohammed bin Salman Al Saud, maarufu kama MBS, ni Mwana Mfalme wa Saudi Arabia na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa zaidi...

READ MORE

Pesa Iko Nje Nje Leo! Odds Kubwa & Machaguo 1000+ – Meridianbet

Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za ligi ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia...

READ MORE

Siri ya Mzee wa Miaka 121 Aliyevuta Sigara Maisha Yake Yote na Kufariki kwa Shambulio la Pumu

Kifo cha Jan Steenberg, raia wa Afrika Kusini aliyedai kuwa na umri wa miaka 121, kimeacha maswali mengi kuliko majibu....

READ MORE

JKT Watangaza Mafunzo ya Kujitolea 2026, Usaili Kuanza Januari 26

Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito wa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea...

READ MORE

Serikali Yatangaza Nafasi 912 za Ajira kwa Walimu na Walezi wa Watoto

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara na Wakala za Serikali (MDAs) pamoja na Mamlaka...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Meli Mpya Mwanza ina Uwezo wa Kubeba Abiria 1,200

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameizindua rasmi meli ya kisasa ya MV New Mwanza, akisema ni uwekezaji wa kimkakati wa...

READ MORE

Yanga Yapoteza Ugenini Dhidi ya Al Ahly, Bado Yashika Nafasi ya Pili Kundi B

Yanga SC imeonja kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa mabingwa watetezi Al Ahly ya Misri, katika mchezo wa Ligi ya...

READ MORE

Jeneza la Mzee Edwin Mtei Lafunikwa Bendera ya CHADEMA, Lapelekwa Tengeru – Video

Jeneza lililobeba mwili wa mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mwanzilishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),...

READ MORE

Watendaji Kituo Cha Uokozi Mwanza Watakiwa Kutoa Huduma Za Dharura Kwa Saa 24

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza, chenye...

READ MORE

Bima Ya Afya Kwa Wote Shilingi 150,000 Kwa Kaya, Wasio Na Uwezo Kugharamiwa Na Serikali

Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote awamu ya kwanza kwa kundi la wananchi wasio na...

READ MORE

Marekani Yajiondoa Rasmi WHO, Trump Atekeleza Amri ya 2025

Marekani imejiondoa rasmi katika Shirika la Afya Duniani (WHO) jana, Alhamisi, Januari 22, 2026, ikiwa ni utekelezaji wa amri ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Awasili Mwanza, Kuzindua na Kukagua Miradi

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 23, 2026 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi. Katika ziara hiyo, Waziri...

READ MORE

Watendaji Kituo Cha Uokozi  Mwanza Watakiwa  Kutoa Huduma Za Dharura Kwa  Saa  24

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza,...

READ MORE

Nshala: Zuio la Mahakama Dhidi ya CHADEMA Limekoma Kisheria Desemba 10

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa rasmi kwa umma kikieleza kuwa amri ya zuio la Mahakama Kuu iliyokuwa...

READ MORE

Mahafali Ya Code Like A Girl Yafanyika Dar-es-Salaam 

Mtaalamu wa Mafunzo na Vijana wa Vodacom Tanzania Plc, Bw Samwel Komba (wa pili kushoto), akimkabidhi cheti Mwanafunzi Anneth Sianga,...

READ MORE

Prof. Shemdoe Aridhishwa na Mpango Mkakati wa Ujenzi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, leo...

READ MORE

TB Ilitaka Kuyakatisha Maisha Yangu, Hivi Ndivyo Nilivyopona Ndani ya Siku Chache

Nilipoanza kuhisi maumivu makali ya kifua na kichefuchefu kila siku, sikujua kuwa ni ishara ya tatizo kubwa. Mara kwa mara...

READ MORE

Kikosi  Cha 12 Cha Ulinzi  Wa Amani Kutoka Tanzania  Nchini DRC Chatoa Msaada  Wa  Matibabu Kwa  Wananchi  Wa  Kata Ya Nzuma Beni  Maviv

Kikosi cha 12 cha Ulinzi Amani kutoka Tanzania chini ya mwamvuli  Monusco kimetoa huduma ya afya bure kwa wananchi wa...

READ MORE

Bashiri Leo Upate Samsung A26 na Meridianbet

Leo hii una nafasi ya kumiliki simu ya ndoto zako na Meridianbet ambapo kwa kubashiri mechi za mpira wa miguu...

READ MORE

CHADEMA Yalalamikia Kufungiwa Namba ya Michango ya Brenda Rupia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa namba ya simu ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama...

READ MORE

Yas na Mixx Zasherehekea Mwaka Mmoja Kama Mshirika wa Kidijitali na Kifedha kwa Watanzania

23 Januari 2026 | Dar es Salaam – Chapa za Yas na Mixx, leo zimesheherekea mwaka mmoja tangu zilipo jitambulisha...

READ MORE

Waziri wa Viwanda Aridhishwa na Viwango ALAF

Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Judith Kapinga amefanya ziara katika kiwanda cha ALAF Limited, kinachoongoza katika suluhisho mbalimbali za...

READ MORE

Kili International Marathon 2026 yazinduliwa Moshi kwa kishindo

Wakazi na wanariadha wilaya ya Moshi na mkoani Kilimanjaro kwa ujumla wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia uzinduzi wa msimu...

READ MORE