×

Habari

Waziri Kombo na Prof. Kabudi Wakabidhi Bendera ya Taifa kwa Taifa Stars Cairo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Athari Kwenye Jengo La Ofisi Ya Kituo Cha Forodha Kwa Pamoja Kasumulu

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amekagua Jengo la Ofisi ya Kituo cha Forodha kwa Pamoja-Kasumulu ambacho...

READ MORE

Je, Unajua Tufaha (Apple) Linaweza Kulinda Moyo Wako? Soma Faida Zake Hapa

Kula tufaha (Apple) moja kila siku kunaweza kusaidia kuboresha afya ya moyo kwa kutanua mishipa ya damu, kupunguza uvimbe, kulinda...

READ MORE

Prof Shemdoe: Wakuu wa Shule Msiwe Kikwazo Cha Utendaji Kazi wa Walimu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka...

READ MORE

Airtel Africa na SpaceX Waingia ubia wa Kimkakati Kuunganisha Satelaiti kwa Simu (Starlink Direct to Cell) Barani Afrika

Huduma hii inaleta mawasiliano kwa mara ya kwanza barani Afrika kutoka kwenye setilaiti hadi kwenye simu za kiganjani kwa mamilioni...

READ MORE

Waziri Sangu Aagiza Hatua Kali kwa Waajiri Wanaokwepa Kuwasilisha Michango NSSF*

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amewaagiza viongozi wa Mfuko wa...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wafadhiliwa Shahada ya Uzamili na ALAF

Jumatano 17 Desemba 2025: ALAF Limited leo imetangaza ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watatu wanaofanya Programu ya Shahada ya Uzamili...

READ MORE

Serikali Yaahidi Mazungumzo na Marekani Kufuatia Vikwazo vya Viza

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Kwa Nini Mazoezi ya Kila Siku Ni Muhimu kwa Afya, Mwongozo Kamili Upo Hapa

Mazoezi ya mwili ni nguzo muhimu ya afya njema kwa binadamu. Licha ya watu wengi kuyachukulia kama jambo la hiari,...

READ MORE

Airtel Yaja na Airtel VoLTE, Wateja Sasa Kuperuzi na Kuongea ‘Live Bila Chenga’

Dar es Salaam, December 17, 2025: KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi teknolojia mpya ya Voice over LTE (Airtel...

READ MORE

Meridianbet Yasimama na Jamii Kuelekea Sikukuu Ya Mwisho Wa Mwaka

Katika kuendeleza moyo wa mshikamano na upendo wa kijamii unaoambatana na msimu wa Sikukuu ya Krismasi, Meridianbet, kampuni inayoongoza katika...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Atoa Amri Kali Tunduma, Akagua Uharibifu wa Miundombinu – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17, 2025 akizungumza na wakazi wa eneo la Tunduma mkoani Songwe ambapo yupo...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaendelea Kugawa Makapu Ya Zawadi Kwa Wateja Wao

Meneja wa Mauzo Mwandamizi wa  Vodacom Tanzania kanda ya Dar es Salaam na Pwani George Nyanda (wa Kwanza kushoto), Meneja...

READ MORE

Mahakama Kuu Yakataa Pingamizi, Kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini Kuendelea

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imeamua kuendelea na Shauri la Uchaguzi Namba 28949 la Mwaka 2025, baada...

READ MORE

TRA Yakamata Madumu 23,755 Ya Mafuta Ya Kupikia Ya Magendo Dar – Video

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo imekamata Shehena kubwa ya Mafuta ya kupikia ya Magendo, jumla ya Madumu 23,755, yaliyokuwa...

READ MORE

Video: Dkt. Mwigulu Akagua Uharibifu Mizani Ya Magari Mpemba, Songwe

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17,2025 amekagua uharibifu uliofanyika katika mizani ya magari iliyopo Mpemba, mkoani Songwe, uharibifu...

READ MORE

Nmb Yaja na Maboresho ya Huduma Kwa Makandarasi wa Zanzibar

Katika kuendelea kuimarisha sekta ya ujenzi visiwani Zanzibar, Benki ya NMB imezindua maboresho ya masuluhisho mbalimbali maalum kwa ajili ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Aongoza Mazishi ya Jenista Mhagama Ruanda – Mbinga (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jam huri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Ashiriki Mazishi Ya Jenista Mhagama, Atoa Maagizo Kwa Mkandarasi Wa Barabara Ya Kitai–Ruanda (Picha +Video)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Desemba 16, 2025 ameshiriki katika Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho,...

READ MORE

Makamu wa Rais Aitaka Kampasi ya UDSM Kagera Kukuza Ujuzi na Ujasiriamali wa Vijana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Chuo Kikuu cha Dar...

READ MORE

Ukiokota Chaja ya Simu ya Aina Hii Umekwisha! Ukichomeka Kwenye Simu, Unadukuliwa

Wahenga chali, cha kuokota siyo cha kuiba tena! Unaokota halafu unaibiwa! Vuta picha upo kwenye mishe zako mara unaona ‘charger’...

READ MORE

M23 Watangaza Kujiondoa Uvira kwa Masharti, Wadokeza Shinikizo la Marekani

Kundi la waasi la M23 limetangaza kujiondoa katika Mji wa Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa...

READ MORE

Watumishi Wawili Wasimamishwa Kazi Mafia Kufuatia Dosari Za Usimamizi Wa Fedha Za Miradi

Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali...

READ MORE

Rais Samia: JWTZ Jiepusheni na Mashinikizo ya Kisiasa, Bakini Jeshi la Wananchi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Wananchi wa...

READ MORE

Dkt. Rugemeleza Nshala Atimiza Miaka 30 ya Uwakili, Aeleza Safari Yake

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, Jumatatu Desemba 15, 2025 ametimiza miaka 30...

READ MORE

Nmb Yakabidhi Vifaa Tiba Vyenye Thamani ya Mil 15 Kituo Cha Afya Makole Dodoma

Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba na mahitaji mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 15 kwa Kituo cha Afya Makole...

READ MORE

Maafisa Wasimamishwa Kazi Kilolo Kwa Kushindwa Kukamilisha Mradi Wa Shilingi Bilioni 4.7

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, akizungumza...

READ MORE

Airtel Yapanua WiGo wa Mawasiliano kwa Kuongeza Minara

Kanda ya Ziwa 15 Disemba, 2025. KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua rasmi zaidi ya minara 6 katika mikoa ya kanda...

READ MORE

Airtel Yaja na Airtel VoLTE, Wateja Sasa Kuperuzi na Kuongea LIVE BILA CHENGA

Airtel yaja na Airtel VoLTE, wateja sasa kuperuzi na kuongea LIVE BILA CHENGA

READ MORE

Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia Afungua Mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi Tanga – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Shule ya Kijeshi...

READ MORE

Elon Musk Atambulisha XChat – App Mpya ya Faragha na Ukomo wa Mazungumzo

Elon Musk, mmiliki wa jukwaa la X (zamani Twitter), ametambulisha rasmi XChat, mfumo mpya wa mawasiliano ulioundwa kuboresha faragha, kasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Nchemba Awali Songea Kushiriki Ibada ya Heshima za Mwisho Jenista Mhagama Peramiho

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15, 2025 amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za...

READ MORE

SBL Na Bolt Washirikiana Kusaidia Watanzania Kusherehekea Kwa Usalama Msimu Wa Sikukuu

Dar es Salaam, Tanzania, 17 Disemba 2025: Pale Tanzania inavyoingia katika msimu wa sikukuu, ambapo safari huongezeka na sherehe kudumu...

READ MORE

Mh.Balozi Dkt.Nchimbi Mgeni Rasmi Uwekaji Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa Kampasi Ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Kagera

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba...

READ MORE

Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu 

Ahimiza matumizi ya mbolea na mbegu za mazao ya muda mfupi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba...

READ MORE

Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...

READ MORE

Mtangazaji wa Global TV Irene Kilango Afunga Ndoa, Ashukuru Mungu na Wadau

Aliyekuwa mtangazaji wa michezo wa Global TV Online na kwa sasa mtangazaji wa BONGO FM, Irene Kilango, wikiendi hii amefanikiwa...

READ MORE

Asahi Group Kununua Hisa Za Diageo Katika EABL

Nairobi, Disemba 17, 2025: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake...

READ MORE

Buckreef Gold Yaimarisha Ushirikiano Na Jamii Kupitia Upya Wa Makubaliano Ya Uwajibikaji Kwa Jamii

Kampuni ya Buckreef Gold imezidi kuimarisha ushirikiano wake na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia makubaliano ya Uwajibikaji kwa Jamii...

READ MORE

Katibu wa Bunge Aeleza Chanzo cha Kifo cha Jenista Mhagama – Video

Chanzo cha kifo cha aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Joakim Mhagama, kimetajwa kuwa...

READ MORE