×

Habari

Chalamila: Msipotoshwe, Hali ya Usalama Iko Vizuri Jijini Dar – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezungumza na Global TV akitoa tathmini ya hali ya ulinzi na...

READ MORE

Waziri Kairuki Aipongeza Airtel kwa Kuchochea Ujumuishwaji Watu Kidijitali

Dar es Salaam, 10 Desemba 2025. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angelina Kairuki, ameipongeza Airtel Tanzania...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Mzumbe Chatangaza Nafasi za Kazi 21, Habari Njema kwa Wahitimu

Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU) kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki...

READ MORE

Watoto 100 wa Shule Watachiliwa Huru Jimbo la Niger, Nigeria

Serikali ya Nigeria imefanikisha kuachiliwa huru watoto 100 wa shule waliotekwa nyara mwezi uliopita katika Jimbo la Niger. Hayo ni...

READ MORE

MDH Yaibuka Mshindi wa Pili Tuzo za NBAA 2024

MDH imeibuka mshindi wa pili katika Tuzo za NBAA za mwaka 2024 kwa kundi la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs),...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Kaimu Balozi wa Marekani Kuhusu Ushirikiano wa Maendeleo

Dodoma, Desemba 8, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na...

READ MORE

Simbachawene: Hakuna Tishio la Kuzimwa Internet Tanzania, Hali ya Usalama Ni Shwari – Video

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema kuwa hatua ya kuzima mtandao wa intaneti nchini ni chaguo...

READ MORE

Simbachawene Awapa Polisi Maagizo Mapya ya Kukamata Watuhumiwa – Video

George Simbachawene Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, ameagiza jeshi la polisi kuhakikisha kuwa taratibu za ukamataji watuhumiwa zinafanyika...

READ MORE

Video: PM Mwigulu Awasilisha Ujumbe wa Rais Samia Kuhusu Sikukuu ya Uhuru

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha rasmi ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Airtel Divas Wasaidia Wagonjwa wa Saratani ya Matiti

Dar es Salaam, Tanzania. AirtelTanzania, kupitia kikundi cha wafanyakazi wawanawake kinachojulikana kama Airtel Divas, kimetoa msaada muhimu kwa wagonjwa wa...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Mbuga ya Taifa ya Serengeti, Tanzania

Mbuga ya Taifa ya Serengeti ni moja ya vivutio vya kitalii vinavyotambulika kimataifa, si tu kwa wanyama wake wa porini...

READ MORE

Mbunge Mstaafu na Naibu Waziri Benedict Ole Nangoro Afariki Dunia

  Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika Serikali ya Awamu ya Nne, na Mbunge mstaafu...

READ MORE

Sheikh Mkuu wa Tanzania Awataka Watanzania Kuendeleza Uchumi Bila Kuvuruga Amani – Video

Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Bin Zubeir, amewataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi kutumia fursa zilizopo kwa ajili ya...

READ MORE

Vodacom Tanzania Imefika Soko La Machinga Kuwapatia Wateja Wao Zawadi Ya Sikukuu

Katika muendelezo wa kusambaza Kapu la Vodacom kwenye maeneo mbalimbali nchini, timu ya Vodacom Tanzania Plc imefika Soko la Machinga...

READ MORE

Mashirika ya Umma Yasiyofanya Vizuri Kufutwa au Kuunganishwa

Serikali imetoa onyo kwa taasisi na mashirika ya umma yasiyoonesha ufanisi, ikisema yako hatarini kufutwa au kuunganishwa endapo hayatachukua hatua...

READ MORE

CCM Yaonya Watumishi wa Umma Kuhusu Uwajibikaji na Utoaji Huduma kwa Wananchi – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Kihongosi, ametoa wito kwa watumishi wa umma kutekeleza...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yagawa Kapu La Sikukuu Kwa Wateja Wao Jijini Mwanza

Timu ya Vodacom Tanzania Plc  kanda ya Ziwa, wakijiandaa kugawa kapu la Vodacom kwa wateja na wakazi wa Mwanza kwenye...

READ MORE

Mambo ya Kuepuka Kwa Wagonjwa wa Kisukari kwa Udhibiti Bora wa Sukari

Ingawa vyakula vingine vinaweza kusaidia kudhibiti ugonjwa wa kisukari, vingine vinaweza kuharibu usawa wa sukari ya damu na kuongeza hatari...

READ MORE

TRA Yataka Wanachama wa SACCOS Kuhamasisha Ulipaji Kodi na Matumizi Sahihi ya Mikopo

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda akizungumza na wanachama wa TRA SACCOS LTD  wakati akifungua  Mkutano...

READ MORE

Jaji Mkuu, George Masaju Awaasa Mawakili Wapya Kudumisha Uadilifu, Utawala Wa Sheria

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju amewaasa Mawakili wapya kuwiwa kuona haki ikitendeka, huku wao wakiwa mstari wa...

READ MORE

TANESCO yazindua mita janja kupunguza changamoto za token

Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi amezindua rasmi mita janja (smart meter) yenye lengo la kuboresha na kumrahisishia mteja kufanya manunuzi...

READ MORE

Serikali Yatoa Majibu Juu ya Hoja za Jumuiya ya Kimataifa Kuhusu Vurugu za Uchaguzi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imepokea na kuzingatia taarifa na maoni ya umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti...

READ MORE

Waziri Mkuu: Dkt. Samia Ni Rais Wa Vitendo, Ametoa Ajira mpya 12,000

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Rais wa vitendo na amethibitisha hayo katika kipindi...

READ MORE

Video: Chalamila Aitaka TANESCO Kuchunguza Kauli ya Padri Kitima

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameielekeza TANESCO kuchukua hatua na kuchunguza kwa kina kauli iliyotolewa na...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akagua Uharibifu Kiwanda Cha Magodoro Cha Banco

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 05, 2025 amekagua Kiwanda cha Magodoro cha Banco kilichopo mkoani Mwanza ambacho kilichoharibiwa...

READ MORE

Video: Polisi Yapiga Marufuku Maandamano ya Desemba 9, Yasifanyike Nchi Nzima

Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa...

READ MORE

Urusi Yapiga Hodi India Wakati Marekani Ikiongeza Ushuru wa Biashara

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, anaanza ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano, hususan katika sekta...

READ MORE

TRA Yaibuka Kidedea Tuzo ya Uandaaji Hesabu Kwa Viwango vya Kimataifa

MAMLAKA ya Mapato tanzania (TRA), imeibuka Mshindi wa kwanza wa jumla katika tuzo ya Uandaaji wa Hesabu za Kifedha zinazozingatia...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Yang’ara Tuzo Za NBAA 

Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Laurent Luswetila ( kulia), akikabidhi tuzo ya mshindi wa pili wa...

READ MORE

Spika Zungu Aonana na Mabalozi wa EU, Mazungumzo Yalenga Kuimarisha Ushirikiano wa Kibunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi...

READ MORE

Watanzania Washauriwa Kuendeleza Utamaduni Kutumia Njia Ya Mazungumzo Wanapokutana Na Changamoto Za Kisiasa, Kijamii Na Kiuchumi 

WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza utamaduni kutumia njia ya mazungumzo pale wanapokutana na changamoto za kisiasa, kijamii na kiuchumi. Ushauri huo umetolewa...

READ MORE

RC Arusha Awakilisha Tanzania Katika Maandalizi ya Mkutano wa Mabunge Duniani

Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA. Amos Gabriel Makalla mapema leo Alhamisi Disemba 04, 2025 ameupokea na kuzungumza na Ujumbe...

READ MORE

Shetta Achaguliwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam

Diwani wa Kata ya Mchikichini, Nurdin Bilal maarufu Shetta, amechaguliwa kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam. Uchaguzi...

READ MORE

Super Unleaded vs Unleaded: Ni Mafuta Gani Yanayofaa gari lako? Soma Hapa

  Katika dunia ya leo ambapo teknolojia ya magari inazidi kukua, madereva wengi wamekuwa wakijiuliza ni mafuta yapi yanafaa zaidi...

READ MORE

Kesi ya Mange Kimambi Yaaahirishwa Hadi Januari 2026 – Sababu Ni Upelelezi Haujakamilika

Kesi ya Uhujumu Uchumi namba 000021172 ya mwaka 2025, inayomkabili Mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa mpaka Januari 28, 2026 baada ya...

READ MORE

Polisi Morogoro Wafuatilia Kutoweka kwa Mtawa Silianus Korongo – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema linafuatilia taarifa za kutoweka kwa Mtawa aliyetambulika kwa jina la Silianus Korongo (49)...

READ MORE

Polisi Tarime Rorya Wakanusha Taarifa za Kutekwa kwa Mkazi wa Gwitiryo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang’era Kemange maarufu British, mkazi...

READ MORE

Bobi Wine Asema Maisha Yake Yako Hatarini, Avaa Koti la Kuzuia Risasi Katika Kampeni

Mgombea Urais wa Uganda, kupitia Chama pinzani cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu kama Bobi Wine, amesema...

READ MORE

Simu Mpya Inakusubiri! Piga *149*10# Jumatano Hii na Uwe Mshindi!

Je unajua kuwa ukipiga *149*10# unaweza ukajishindia Samsung A26?. Mechi kibao za kukupatia pesa zipo hapa huku nafasi ya kushinda...

READ MORE

Airtel Imetangaza Kuendeleza Ushirikiano na UCSAF

Desemba 5, 2025 — Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kwa ushirikiano wake na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kupitia utiwaji...

READ MORE