×

Habari

Kwagilwa Aagiza Kukamatwa Mkandarasi Na Mhandisi Mshauri Wa Mradi Wa Barabara Ya Kitunda–Kivule–Msongola

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, amemuagiza...

READ MORE

Polisi Waendelea Kuimarisha Ulinzi Nchini Kuelekea Sikukuu – Video

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kuwajulisha wananchi kuwa, leo ni takribani siku ya kumi tangu kutolewa kwa taarifa ya hali...

READ MORE

Wakazi wa Dodoma Wahamasishwa Kuichangamkia Huduma ya Lipa kwa Simu ya Mixx

Dodoma, Tanzania – Kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imewahamasisha wakazi wa Dodoma kuendelea kutumia huduma...

READ MORE

Airtel Kunogesha Msimu wa Sikukuu na “Santa Mizawadi”

Airtel Tanzania inaendelea kuwafikia na kuwasogezea wateja wake kampeni ya sikukuu ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”, ikiwa ni...

READ MORE

AFCON 2025: Morocco Yafungua Pazia, Vigogo Waanza Vita ya Ubingwa

Mashindano ya AFCON yamekuja maalumu kwaajili yako ili uweze kujikwamua kiuchumi. Timu kibao zipo kwaajili yako leo hivyo ingia kwenye...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yakabidhi Kapu La Sikukuu Moshi

Meneja Mauzo wa Vodacom wilaya ya Hai, Gallus Massama (kulia), akikabidhi kapu Vodacom kwa ajili ya sikukuu kwa mkazi wa...

READ MORE

Dkt Mwigulu Aagiza Ziundwe Timu Za Mikoa Za Wakaguzi Wa Miradi – Video

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Waziri wa Nchi (OWM-TAMISEMI) awaandikie barua Wakuu wote wa Mikoa ili waunde timu za...

READ MORE

Airtel Yapanua Wigo wa Huduma za Mawasiliano kwa Kujenga Minara Mitano

24 Desemba 2025: Airtel Tanzania imezindua rasmi minara 5 katika maeneo mbalimbali ikiwemo Mkuranga, Kilimanjaro, Dodoma, Karatu, na Simiyu. Minara...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Amwakilisha Rais Samia Mkutano Wa Dharura Entebbe, Uganda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Waziri Kombo  Aongoza  Ujumbe  Wa  Tanzania  Kushiriki  Katika Mkutano  Wa  Pili Wa Jukwaa  La  Mawaziri  Wa Mambo Ya  Nje Wa  Nchi Za Afrika  Na  Urusi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki...

READ MORE

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Akutana na Kassim Majaliwa – Picha

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi. Mheshimiwa Dkt....

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Maji Lindi-Ruangwa-Nachingwea

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 21, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji Lindi-Ruangwa-...

READ MORE

Daktari Afariki Baada ya Kuanguka Kutoka Ghorofa ya Tano ya Hospitali

Biratnagar, Desemba 21 — Daktari anayefanya mafunzo kwa vitendo (intern), Amit Yadav, amefariki dunia leo Jumapili asubuhi baada ya kuanguka...

READ MORE

CCM Yapeleka Tabasamu Kwa Watoto Wanaolelewa Malaika Kids

3 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)kimepeleka tabasamu kwa watoto wanaolelewa Kituo cha kulea watoto wanaishi katika mazingira magumu cha Malaika Kids...

READ MORE

Hatimaye Katavi Yametimia: Watalii Wa Ndani Na Nje Waanza Kumiminika

Muda mfupi baada ya Uzinduzi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu na TANAPA – Msimu wa pili ndani ya Hifadhi...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Aagiza Kuharakishwa kwa Mradi wa Bandari ya Ngongo Lindi

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Mchemba leo Desemba 21, 2025 amekagua hali ya bandari ya Barazani mkoani Lindi na kuiagiza Mamlaka...

READ MORE

Waziri Simbachawene Awakilisha Waziri Mkuu Katika Ibada Karagwe

Karagwe, Kagera – Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amewasili wilayani Karagwe mkoani Kagera kumuwakilisha Waziri Mkuu...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa Aagwa kwa Heshima Kubwa Ruangwa

Jumamosi Desemba 20, 2025, wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wameandaa hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga aliyekuwa Mbunge...

READ MORE

Katibu Mkuu: OSHA Ina Nafasi Muhimu ya Kuwezesha Shughuli za Uzalishaji

Wajumbe wa Baraza la OSHA wakifuatilia majadiliano mbalimbali yaliowasilishwa katika kikaocha Tano cha Baraza la Tano la wafanyakazi wa OSHA...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 21, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Airtel Tanzania Yazindua Kampeni ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”

Dar es Salaam, 19 Desemba 2025 :KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua rasmi kampeni ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”,...

READ MORE

Watanzania 8 Wavuna Milioni 12 Droo ya Pili ya ‘Magifti ya Mixx Pesa’

Dar es Salaam, Tanzania – Kampuni inayotua huduma za kifedha kidijitali, Mixx, leo imekabidhi kiasi cha shilingi milioni 12 kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akagua Mradi Unaojegwa Mradi Wa LNG na TPDC, Lindi

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 20, 2025 amekagua maendeleo ya mradi wa shule mpya ya msingi ya Likong’o...

READ MORE

Ofisi za TRA Zipo Wazi Nchi Nzima Kukuhudumia Jumamosi ya Leo, Desemba 20, 2025

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuwa ofisi zake zote nchini zitakuwa wazi leo Jumamosi, Desemba 20, 2025, ikiwa ni...

READ MORE

Usikose! Ajira 514 Zatangazwa Afya, TEHAMA na Ufundi – Deadline Disemba 23

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, MDAs, LGAs, Jeshi...

READ MORE

Stendi Kuu ya Mkoa wa Arusha Ikamilike Ifikapo Mei 30,2026: Prof. Shemdoe

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akagua Maendeleo Ya Mradi Wa Bandari Ya Uvuvi, Kilwa – Video

▪️Asema Rais Dkt. Samia ni kiongozi anayetekeleza miradi inayotoa majawabu ya kero za Watanzania. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Desemba...

READ MORE

Mwanaume Afariki Baada ya Kufuata “tiba” ya Mtandaoni, Familia Yafunguka

Mwanaume mwenye umri wa miaka 47 nchini Vietnam amefariki dunia baada ya kuacha kutumia dawa zake za shinikizo la damu...

READ MORE

Benki  Ya Stanbic Yatajwa  Kuwa Benki Bora Tanzania  Kwa  Mwaka 2025

Mkuu wa Idara ya Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Neemarose Singo, mara baada ya kupokea tuzo ya Benki Bora...

READ MORE

Naibu Waziri aipongeza CBE kwa Kutoa Machapisho148

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, ameipongeza menejimenti ya Chuo cha Elimu ya Biashara CBE kwa uongozi mzuri...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akagua Miradi ya Kimkakati ya Bandari na Barabara Lindi

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Desemba 19, 2025 amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kuelekea mkoani Lindi...

READ MORE

Ujumbe wa Papa Leo XIV Siku ya Amani Duniani 2026, Kuhusu Vita, Silaha na Amani ya Kweli

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amesisitiza kuwa amani si ndoto wala kauli ya kiimani pekee, bali ni haki...

READ MORE

Zelensky Awataka Washirika wa Ulaya Kuonyesha Urusi Vita Vyake Hakuna Manufaa

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amewataka washirika wa Ulaya kuionyesha Urusi kuwa vita inavyoendesha dhidi ya Kyiv havina maana wala...

READ MORE

Kila Mzunguko Kupewa Thamani Kubwa Na Slotopia Ndani ya Meridianbet

Kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino mtandaoni hii ni kwa ajili yenu, Meridianbet wanazidi kuwapendelea na sasa wamekuja na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

MNUAT Yatangaza Ajira Mpya 54, Mwisho wa Maombi Disemba 21, 2025

Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MNUAT) kimetangaza jumla ya nafasi 54 za ajira kwa Watanzania wenye...

READ MORE

Kapinga Azihimiza Kampuni Kuhuisha Taarifa Kwa Msajili Wa Kampuni

Mheshimiwa Judith Kapinga, Waziri wa Viwanda na Biashara amezihimiza  kampuni zinazofanya biashara nchini kuendelea kuhuisha taarifa zao kwa Msajili wa...

READ MORE

Msanii Christian Bella Apewa Uraia wa Tanzania

Staa wa kitambo wa muziki wa dansi au rhumba Bongo, Christian Bella hatimaye amepewa uraia wa Tanzania baada ya kuishi...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Athari Kwenye Majengo Ya Mamlaka Ya Mji Mdogo Kyela

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa...

READ MORE

Waziri Kombo na Prof. Kabudi Wakabidhi Bendera ya Taifa kwa Taifa Stars Cairo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...

READ MORE