MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephen Kebwe, amesema imepatikana miili ya watu 60 waliokufa kutokana na malipuko wa moto...
READ MORERais Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu zaidi ya 60 na majeruhi takribani 70...
READ MOREMKURUGENZI wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, na Msemaji wa Chama...
READ MORELORI la mafuta limelipuka asubuhi hii Agosti 10, 2019, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua watu zaidi ya 57...
READ MOREIKIWA imesalia saa chache kabla ya Yanga kushuka uwanjani kukipiga mechi ya kimataifa, kuna habari njema kwa mashabiki wa timu...
READ MOREWAJUMBE wa Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) wametapa nafasi ya kutembelea viwanda...
READ MOREMchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (Takukuru), Cosmas Batanyita (44), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
READ MOREBASI la kampuni ya Abood linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Mwanza limepata ajali mapema leo Agosti...
READ MORE“MUME wangu kama nimekukosea nisamehe,” mwanamke mmoja, Pendo Patrick (30) mkazi wa Kijiji cha Kakola, Kata ya Bulyanhulu, wilayani Kahama,...
READ MOREMANCHESTER United imekwama katika harakati za kutaka kumsajili staa wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen. Dili hilo limekwama kutokana na kitendo...
READ MOREBAADA ya Yanga kuwasili Zanzibar na kuweka kambi ya muda mfupi kuelekea mchezo wao wa kimataifa, kocha mkuu wa timu...
READ MOREMAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu, leo Agosti 8, 2019 ametembelea mabanda ya maonyesho katika...
READ MOREKAMPUNI ya uwindaji ya Green Miles Safari Company leo Alhamisi, Agosti 8, 2019, imeongea na wanahabari katika hoteli ya Wanyama...
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, leo Agosti 08, anafunga rasmi...
READ MOREKAMPUNI ya ABB leo imetangaza kwamba Hitachi, Ltd. (TSE: 6501, “Hitachi”) imetoa maombi ya kupatiwa mfumo wa ABB Ability™ Network...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameagiza kuzuiwa kwa mali zote za kampuni ya Green Miles hadi itakapolipa deni...
READ MORE(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
READ MOREWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi jana Jumatano Agosti 7, 2019, aliwasimamisha kazi watumishi 183...
READ MOREMSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi, Agosti 7, 2019 ametembelea Maonyesho ya Wiki ya Viwanda kutoka nchi wanachama wa Jumuiya...
READ MOREKIUNGO mpya wa Yanga, Balama Mapinduzi ameonekana kushangazwa na namna ambavyo Kocha Mwinyi Zahera anawanoa. Balama alijiunga na Yanga hivi...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amepanga kuitumia michezo miwili ambayo wataicheza visiwani Zanzibar kama moja ya sehemu za kutafuta...
READ MOREKAMPUNI ya GSM iliyo chini ya Mkurugenzi, Gharib Mohamed, juzi imeshusha mzigo mpya wa jezi za Yanga nchini baada ya...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo amemtembelea kijana aitwaye Hamza Ashiraf ambaye hivi karibuni alimsaidia kwa...
READ MOREWASOMAJI wa Gazeti la BETIKA katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, wameonekana kuwa walikuwa na shauku kubwa...
READ MORESHIRIKA la ndege la Uingereza, British Airways, leo Agosti 7, 2019 limefuta safari za ndege 100 na nyingine 300 kukaa...
READ MOREKAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (kulia) akimvalisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo, kuwa Kamishina Msaidizi wa...
READ MORESERIKALI za Tanzania na Uganda zinatekeleza ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa maji wa Kikagati-Murongo, uliopo kwenye mto Kagera...
READ MOREMIONGONI mwa kesi zenye msisimko wa aina yake na simulizi ya kutisha ni ile ya mauaji inayomkabili aliyekuwa mfanyakazi wa...
READ MORERAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amelazwa hospitalini nchini Singapore, amesema Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa, katika taarifa aliyotoa...
READ MORENDEGE ndogo ya abiria (5H-NOW) iliyokuwa inatokea Zanzibar-Dar es Salaam kisha kwenda Mafia imeanguka na kuwaka moto maeneo ya...
READ MORESIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na...
READ MOREMTOTO wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kasobi Shida ( 26), aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...
READ MOREMASTAA wa Yanga, straika Juma Balinya na kiungo Papy Tshishimbi, jana walishangiliwa kwa shangwe nyingi zaidi wakati majina yao yakitajwa...
READ MOREMTI aina ya ‘Terminalia Catappa’, unaodaiwa kuwa wa mikosi, umezua kizaazaa upya baada ya watu mbalimbali kuendelea kuukata katika maeneo...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amefungua maonesho ya wiki ya viwanda kwa nchi wanachama wa...
READ MOREMASHARTI ya kumuona bosi mpya wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki ambaye amechukua mikoba ya aliyekuwa kiongozi kabla...
READ MOREJAJI Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Projestus Aloyce Rugazia (pichani), amefariki dunia Agosti 04, 2019 akiwa anapatiwa matibabu katika...
READ MOREMWANDISHI wa habari Tanzania Erick Kabendera leo, Agosti 5, 2019, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka mapya ya kosa la kimtandao baada...
READ MOREMWANAMUZIKI wa nchini Uganda, Ziggy Wine, ambaye alikuwa chini ya usimamizi wa ‘Lebo’ ya mwanamuziki/mwanasiasa Bobi Wine, amefariki dunia usiku...
READ MORE