×

Habari

Wasomaji: Hatujawahi kulikosa Betika

GAZETI la BETIKA, limeendelea kuwashika wasomaji kila kona kutokana na utofauti ilionao huku likitolewa burekwa watu wenye umri kuanzia miaka...

READ MORE

Shabiki Simba akomba mil 157 za M-Bet

Meneja masoko wa M-Bet, Allen Mushi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi Msafiri Shafii baada ya kushinda. KAMA utani vile shabiki...

READ MORE

TTCL, TOSCI washirikiana kusaidia wakulima kubaini mbegu ‘feki’

      SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeingia makubaliano na Taasisi ya Udhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI), ambapo...

READ MORE

JPM Afanya Uteuzi wa Mwenyeki wa Bodi ya Wakurugenzi TRA

Rais Magufuli amemteua Dkt. Suleiman Magesa Missango kuwa M/Kiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA. Dkt. Missango ni Mkurugenzi wa...

READ MORE

MADAI MAZITO MUME ACHOMA NYUMBA KUPOZA HASIRA!

MWANAUME mmoja aliyefamika kwa jina la ‘Mlawa’ mkazi wa Kizani, Gezaulole jijini Dar amedaiwa kuchoma nyumba yake na kupoza hasira...

READ MORE

UBAKAJI WATIKISA DAR WANAWAKE WACHARUKIA POLISI, WASEMA: TUMECHOKA!

TUMECHOKA! Ndivyo walivyosikika kundi kubwa la wanawake ambao wameandamana kupinga tukio lililowatikisa la ubakaji wa binti wa miaka 16 anayedaiwa...

READ MORE

Amberr Washington Atua Global, Kutoa Fursa Kwa Vijana (Picha + Video)

PRODYUZA ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Tuzo za Hollywood and African Prestigious (HAPA) kutoka Marekani, Amberr Washington,  ametua...

READ MORE

VIDEO: MAMBOSASA Ataja Sababu za Kumkamata Mwandishi

KAMANDA wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa,   leo Jumanne Julai 30, 2019, amezungumza na waandishi...

READ MORE

Amberr Washington Aifagilia Global Group (Picha +Video)

MAKAMU wa Rais wa Tuzo za Hollywood and African Prestigious (HAPA) kutoka Marekani, Amberr Washington, ametua ndani ya mjengo wa...

READ MORE

JPM Afika Kutoa Pole kwa Mbowe Aliyefiwa na Kaka Yake

  RAIS  John  Magufuli leo asubuhi amefika kutoa pole kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ...

READ MORE

VIDEO: Ofisa FEKI Wa Jeshi la Polisi Atiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam linamshikilia Daudi Ramadhani Iddy (23) mkazi wa Tabata Segerea kwa kujifanya ofisa...

READ MORE

VIDEO: WAZIRI KIGWANGALA ASIKILIZA KERO ZA WADAU WA MISITU

Waziri mwenye dhamana ya maliasili na utalii, Dkt Hamis Kigwangala, leo Julai 30, anafanya mkutano na wadau wa Sekta ya...

READ MORE

Bilionea amwaga bilioni 1.3 Yanga

KAMPUNI ya GSM Group Limited inayomilikiwa na bilionea Ghalib Mohammed imefanya kufuru nyingine Yanga, ni baada ya kushinda tenda ya...

READ MORE

JPM Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)

Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Juni 29, 2019 amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

Zahera Atua, Apewa Gari Jipya

  KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera ametua nchini juzi usiku na kimyakimya uongozi ukaenda kumpokea Uwanja wa Ndege...

READ MORE

MSHTUKO MUME ADAI MADAKTARI KUUA MKEWE NA MTOTO

MSHTUKO! Chrispine Mtuta, mkazi wa Mbezi- Kwembe jijini Dar, ameibuka na tuhuma nzito za kushtua kwamba, madaktari wamechangia kifo cha...

READ MORE

Mkataba Ujenzi Daraja la Kigongo Busisi Wasainiwa

  Hatimaye historia imeandikwa nchini Tanzania kwa kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria...

READ MORE

Breaking News: Mkuu wa Wilaya Afariki Dunia

GAVANA wa Kaunti ya Bomet, nchini Kenya, Joyce Laboso,  amefariki  leo Jumatatu Julai 29,  2019, wakati akipata matibabu katika Hospitali...

READ MORE

Wajue Wanawake 5 Wanaoutikisa Ulimwengu wa Sayansi

1. Profesa Jocelyn Bell Burnell wa Ireland Kaskazini. MWANAMKE huyu ni maarufu kwa uvumbuzi wa kwanza wa kidude kidogo cha...

READ MORE

Wasiooga marufuku jijini Dar es Salaam – Makonda

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda,  amepiga marufuku ‘watu wachafu’ kuonekana mitaa ya  jiji hilo...

READ MORE

Polisi Singida Wakamata ‘Luteni Feki’ wa JWTZ

      JESHI la Polisi  mkoani Singida limemkamata mkazi mmoja  wa jijini Arusha, Amieli Stephano (29), kwa tuhuma ya ...

READ MORE

VIDEO: UTATA! KIFO cha MAMA Na MWANAE, Mume, Dada WASIMULIA Mazito!

Ni majonzi na vilio vimetawala kwa familia ya marehemu, Pauline Patrick, aliyefariki saa chache baada ya mwanae kufariki… Global TV...

READ MORE

WhatsApp kuja na huduma ya malipo kwa njia ya ujumbe

KAMPUNI ya WhatsApp inayoendesha huduma  ya mawasiliano ya kutumiana ujumbe ina mpango wa kuzindua huduma yake ya kwanza ya malipo...

READ MORE

NBC yadhamini kongamano la uwekezaji Ruvuma

    Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya amesema Maonesho ya Viwanda na kongamano la uwekezaji...

READ MORE

KIKAPU DAR… KWA MIKAKATI HII MNASTAHILI PONGEZI

NIANZE kwa kutoa pongezi kwa uongozi wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD) kwa kufanikiwa...

READ MORE

Mzungu Simba ampa Kapombe dk 60

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems ameamua kumpa mbinu maalum beki wake Shomary Kapombe ya kurejea katika uwezo wake kwa...

READ MORE

TECNO YAJA NA MOTO WA PHANTOM 9

Hatimaye baada ya kimya kirefu, TECNO Mobile Tanzania yaileta Phantom 9. Huu ukiwa muendelezo wa simu za Phantom zilizoanza kutolewa...

READ MORE

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA VIFAA KUTOKA NMB

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea msaada wa vifaa mbalimbali kutoka benki ya NMB vyenye thamani ya sh. milioni...

READ MORE

Simba Kutua Dar Jumatano Wakitokea Sauzi

KIKOSI cha Simba kinarejea nchini siku Jumatano ya Julai 31,  kutokea Afrika Kusini baada ya kumaliza kambi yake ya wiki...

READ MORE

SIMBA NA ORLANDO PIRATES JUMANNE

  SIMBA itakamilisha ratiba ya mechi za kirafiki za kujipima nchini hapa Afrika Kusini kwa kucheza na vigogo, Orlando Pirates...

READ MORE

BOCCO: TUTAFANYA VIZURI BILA OKWI

UNAPOTAJA washambuliaji wazawa ambao wapo kwenye kasi ya hatari ya kupachika mabao basi kamwe huwezi kuliweka kando jina la John...

READ MORE

Breaking News: Lugola Amuondoa Madarakani RTO Arusha

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amemuondoa madarakani mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha...

READ MORE

SPOTI XTRA YATUA UWANJA WA TAIFA MECHI YA STARS

Timu ya masoko ya @globalpublishers tayari ipo Uwanja wa Taifa Dar, kwenye game ya Taifa Stars vs Kenya, ili kulinadi...

READ MORE

Arsenal Yanasa Bonge la Winga

ARSENAL inaaminika imefikia muafaka wa kumsajili winga hatari wa Lille ya Ufaransa, Nicolas Pepe. Klabu inadaiwa ilikubali jana kulipa ada...

READ MORE

PADRI AONGOZA MISA YA KUMBUKUMBU MAMA WA SHIGONGO

PADRI wa Parokia ya Ilunga, Bagamoyo, Godefroy Masengo, jana Julai 27, 2019 aliongoza misa ya kumbukumbu ya kifo cha mama...

READ MORE

Kigamboni Wayafagilia Magazeti ya Risasi na Championi Jumamosi

Kitengo cha Mauzo cha Global Publishers Julai 27, 2019 kilitembeea wananchi wa Kigamboni na kuwakuta wakijiachia na magazeti ya Risasi...

READ MORE

Kaseja awahakikishia mashabiki Stars

NAHODHA msaidizi wa Taifa Stars, Juma Kaseja amesema kuwa ana imani watafuzu kwenye michuano ya Chan kutokana na maandalizi wanayoyafanya....

READ MORE

Mbelgiji wa Simba Afunga Hesabu Sauzi, Anogewa na Mkongo

  WAKIWA wamefikisha siku 12 kambini nchini Afrika Kusini, Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ametamba kuwa muda ambao...

READ MORE

Zahera: Yondani Hawezi Kugoma Yanga

KOCHA mkuu wa Yanga, Mkongomani Mwinyi Zahera amemtetea beki wake mkongwe, Kelvin Yondani kuwa kamwe hawezi kugoma. Kocha huyo amefunguka...

READ MORE