×

Habari

Ripoti Kifo cha Kabote, Wafungwa Kutoroka Zatua kwa Lugola

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amepokea ripoti mbili za uchunguzi ikiwemo ya kifo chenye utata cha...

READ MORE

DARAJA LINALOTIKISA KWA MIZIMU NA MASHETANI KUTOKEA!

White Rock Bridge ni Daraja Lililopo Katika Ziwa la White Rock (White Rock Lake) Dallas Texas Kaskazini Mashariki mwa MarekanI,...

READ MORE

BASI LA PREMIER EXPRESS LAPATA AJALI MBEYA

  Basi la Premier lilokuwa likitoka Mbeya kuelekea Mwanza, leo Juni 16, 2019 limepata ajali maeneo Uyole Mbeya baada ya...

READ MORE

Majaliwa Ampa Pole Abbas Tarimba kwa Msiba wa Wanaye

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, kwa kufiwa na watoto wake wawili,...

READ MORE

Polisi Mtwara Wamshikilia Mwanaume Aliyejikata ‘Nyeti Zake’ – Video

Polisi Mtwara wanamshikilia Karimu M. Mshamu (35) ambae video yake inasambaa akiwa ameshikilia kipisi cha sehemu ya uume wake akidai...

READ MORE

KUBWA KULIKO: MAKONDA Agawa Kiwanja Kwa YANGA – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye tamasha maalumu la kuichangia klabu ya Yanga ambalo limefanyika ukumbi...

READ MORE

Polisi Yasitisha Mkutano wa Chadema Morogoro Kesho

JESHI  la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokuwa unatarajiwa kufanyika ...

READ MORE

NMB KULIPA GAWIO LA SH. BILIONI 33

Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha kiasi kilichopendekezwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM), uliofanyika leo jijini Dar es...

READ MORE

Majaliwa Atoa Mwaka 1 kwa Viongozi wa Dar, Morogoro, Njombe, Mbeya… Kisa…. – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa mwaka mmoja kwa viongozi wa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa,...

READ MORE

Shahidi aomba maji mahakamani kesi ya Aveva

SHAHIDI namba tano, Jovin Kalinga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwa, alikuwa anafahamiana na kiongozi wa zamani...

READ MORE

M-BET kuwapeleka mashabiki wa soka Afcon

Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya M-BET itapeleka mashabiki wa soka katika fainali ya Mataifa ya Afrika (Afcon) yaliyopangwa kuanza...

READ MORE

JESHI LA MAGAREZA LAISHUKURU NMB KWA USHIRIKIANO KIMICHEZO

  JESHI la Magereza limekabidhi cheti maalum cha kuishukuru Benki ya NMB kwa msaada wa fulana ambao iliutoa kwa wanamichezo...

READ MORE

JPM: Tshisekedi Naomba Ukashughulikie Shida za Watu wa DRC – Video

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Antoine Tshisekedi,   amemaliza ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini akiwa...

READ MORE

‘HEPI BETHIDEI’ RAIS FELIX TSHISEKEDI

Rais Magufuli akimtumbuiza mgeni wake Rais Tshisekedi akiwa na wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  (kushoto) baada ya...

READ MORE

Mwenyekiti Mpya Bodi ya Airtel Atembelea Makao Makuu

MWENYEKITI mpya wa bodi ya Airtel Tanzania, PLC Dkt Omary Nundu,  leo Juni 14, 2019,  ametembelea makao makuu ya Airtel...

READ MORE

Hotuba Nzima ya Bajeti 2019/2010 Ipo Hapa – Video

I.    UTANGULIZI 1.    Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato...

READ MORE

BREAKING: RAIS TSHISEKEDI AKAGUA BANDARI YA DSM – VIDEO

Rais wa Kongo, Felix Tshisekedi amepongeza ujenzi wa miundo mbinu inayoendelea nchini katika maeneo mbali mbali ikiwemo bandari ya Dar...

READ MORE

Mawakala wa Tigo Pesa wajishindia mamilioni

  Zaidi ya mawakala 2,000 wa huduma ya Tigo Pesa, wamejishindia zawadi za fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 160...

READ MORE

BAJETI KUU YA SERIKALI YAWASILISHWA BUNGENI – VIDEO

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amewasilisha bungeni bajeti kuu ya Serikali ya shilingi Trilioni 33.1 ambapo amesema...

READ MORE

JPM Amkaribisha Rais Tshisekedi wa DRC, Ikulu – Dar (Video)

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Antoine Tshisekedi amewasili hapa nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku...

READ MORE

JPM Awajaza Mamilioni Wabunifu wa Mtambo wa Kufua Umeme – Video

Rais John Magufuli ameliijia juu Shirika la umeme nchini (Tanesco) kwa kushindwa kuwaunga mkono wabunifu waliobuni mtambo mdogo wa kufua...

READ MORE

Darasa la 7 Waliozindua Mitambo ya Kufua Umeme Wamkosha JPM – Video

Rais wa Tanzania, John Magufulia amesema wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi aliwahi kumuweka Meneja wa Wakala wa Ufundi...

READ MORE

NMB yatoa misaada S/M Liwiti, Kituo cha Afya Gairo

KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali kuboresha Sekta za Elimu na Afya, Benki ya NMB imekabidhi mabati 180 kwa Shule...

READ MORE

Malengo Matano Ukuaji wa Uchumi 2019/2020 Yaanikwa

Kukua kwa pato halisi la Taifa kufikia asilimia 7.1 mwaka 2019 ikilingaishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2018 ni...

READ MORE

Uchumi wa Taifa 2018, Mpango wa Maendeleo 2019/20 Vyaanikwa

UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa...

READ MORE

KCB TANZANIA KUTOA RUZUKU YA TSHS 85 MILIONI KWA WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI

Benki ya KCB Tanzania leo imezindua awamu ya pili ya programu yake ya 2jiajiri katika warsha iliyofanyika katika makao makuu...

READ MORE

Airtel yaingiza Smartphone ya gharama nafuu Sokoni

Dar-es-Salaam, Jumatano 12, Juni 2019: Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo kwa mara nyingine imeendeleza ushirikiano wake...

READ MORE

JPM Magufuli Awachana Wizara, Tanesco Kutowajibika – Video

Rais Dkt. John Magufuli awakanya viongozi wa Wizara ya Nishati na Tanesco kwa kushindwa kuwasaidia wabunifu wa kufua umeme kutoka...

READ MORE

Kakunda Akabidhi Ofisi kwa Bashungwa

Wizara ya Viwanda na Biashara imesema kuwa kamwe haiwezi kushindwa katika utendaji kazi huku ikitoa mambo muhimu kwa watumishi wake...

READ MORE

SIMANZI! BI HARUSI AFARIKI DUNIA GHAFLA AKISUBIRI NDOA

PANGA maisha uwezavyo, lakini mpangaji mkuu atabaki kuwa Mungu aliyeshika uhai wako kama ambavyo msichana mmoja jijini Dar es Salaam...

READ MORE

DEREVA BAJAJ YAMFIKA MAZITO!

DEREVA wa Bajaj aliyefahamika kwa jina la Noel Razaro (30) kutoka Mtwara yamemfika mazito baada ya kupata ajali mbaya iliyomsababishia...

READ MORE

Ebola Yaua Uganda, Shughuli za Zasitishwa, Tanzania Yatoa Tamko

Serikali ya Uganda imewataka raia wake katika mpaka na DR Congo kusitisha shughuli zote za kijamii zikiwamo masoko, sherehe, mazishi...

READ MORE

Kortini kwa Kumshika Nyeti Mtoto wa Miaka Mitatu

MKAZI wa Mbezi, Vicent Marseli (37), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na shtaka...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Viongozi TTCL, Airtel

RAIS  John Magufuli amemteua Mohammed Abdallah Mtonga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).   Mtonga anachukua...

READ MORE

Rais wa Congo, Felix Tshisekedi Kutua Nchini Kesho

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi anatarajiwa kuwasili nchini kesho Alhamisi, Juni 13 kwa ziara ya siku...

READ MORE

Mwanafunzi Sekondari Afanya Mtihani wa Taifa Akiwa Leba

ALMAZ  DERESE  (21), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari nchini Ethiopia amefanya mitihani (Kiingereza, Amharic na Hisabati) akiwa hospitali dakika 30...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi TTCL na Airtel

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mohammed Abdallah Mtonga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).  ...

READ MORE

Tigo yaunganisha wateja wa Sumbawanga na mtandao wa 4G          

  Kampuni ya Tigo  imezindua mtandao wenye kasi  wa 4G mjini Sumbawanga, utakaowawezesha wateja wake kupata huduma bora ya intanet,...

READ MORE