×

Habari

Breaking: Kimenuka! Kubenea, Komu Wavuliwa Uongozi – Video

WABUNGE wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini), wamevuliwa nyadhifa zao...

READ MORE

BAADA YA KUONDOKA SIMBA, MASOUD DJUMA APATA TIMU LIGI KUU

ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba, Masoud Djuma amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha AS Kigali inayocheza Ligi Kuu...

READ MORE

Diwani wa Magomeni, Mmliki Shule za Green Acres, Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo,  amefariki...

READ MORE

DC Hai Afunga Maduka ya Mwenyekiti Chadema, Aagiza Achunguzwe – Video

Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo kuyafunga maduka ya Mwenyekiti wa...

READ MORE

Vigogo ACACIA Wafikishwa Kortini, Wasomewa Mashitaka 39

ALIYEKUWA Makamu wa Rais wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia, Deo Mwanyika na  Mshauri wa Serikali ndani ya Kampuni...

READ MORE

BIBI NUSURA AFE AKIMLILIA LUKUVI

Bibi mmoja aliye­fahamika kwa jina la Rehema Shabani mkazi wa Kulangwa, Tegeta ‘A’ jijini Dar, hivi karibu­ni nusura afariki dunia...

READ MORE

HALOTEL YAADHIMISHA MIAKA MITATU YA KUANZISHWA KWAKE

    Napenda kuwakaribisha nyote katika Mkutano huu muhimu tunapoadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa huduma za Kampuni yetu ya...

READ MORE

WAKATI MO AKISAKWA ALIYETEKWA SIKU 14 A IBUKA KANISANI

WAKATI mfanyabi­ashara ambaye ni bilionea maarufu Bongo, Mohammed Dewji akisakwa kila kona bila mafanikio, kijana Chris­topher Stambuli (pichani) ambaye alitekwa...

READ MORE

DONGE LA BILIONI MOJA LA MO LAIBUA KIZAAZAA

TUKIO la mfanyabiashara Mohammed Dewji (pichani) aliyetekwa hivi karibuni na watu wasiojulikana limekuwa likichukua sura mpya kila siku ambapo baada...

READ MORE

CHADEMA Wanunua Magari Mapya ya Kazi Maalum – Pichaz

Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, leo Jumatano, Oktober 17, 2018 kimeyaonyesha hadarani magari yake aina ya Ford Ranger ambayo...

READ MORE

HESLB Yawapangia Mikopo Wanafunzi 25,532 Awamu ya Kwanza

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019...

READ MORE

WAZIRI Mkuu Ethiopia Ameteua Baraza la Mawaziri, Aweka Rekodi Hii

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameteua baraza la mawaziri 20, ambapo 10 kati yao ni wanawake. Kwa mara ya...

READ MORE

Maonyesho ya Utalii Yafunika Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kwamba maonyesho ya Utalii yanayofanyika Zanzibar...

READ MORE

Breaking: Watoto 6 Wafariki kwa Radi, 25 Wajeruhiwa Geita

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza wanafunzi sita wa Shule ya Msingi ya Emaco Vision English Medium ya mjini Geita wamefariki dunia leo...

READ MORE

Makamu wa Rais Acacia, Mwanyika na Lugendo Watiwa Mbaroni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewakamata aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia,...

READ MORE

UTURUKI: Mwili wa Khashoggi Ulikatwakatwa Vipande Kuficha Ushahidi

KWA mujibu wa ofisa mmoja wa serikali ya Uturuki asema mwili wa mwanahabari, Jamal Khashoggi, ulicharangwa vipande baada ya kuawa...

READ MORE

Lowassa Ashiriki Kuaga Mwili wa Mtoto wa Mwakasege

WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa jana Jumanne, Oktoba 16, 2018 aliungana na...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mh. January Henry...

READ MORE

Maneno ya Mwakasege Wakati wa Kuaga Mwili wa Mwanaye

MCHUNGAJI Mwalimu Christopher Mwakasege jana Jumanne Oktoba 16, 2018 aliongoza maombi ya ibada ya kuaga mwili wa mwanaye wa pekee...

READ MORE

BREAKING: Ishu ya MO Dewji, Serikali Yamjibu LEMA – Video

Serikali imesema inao uwezo wa kuchunguza uhalifu wa aina yoyote nchini kwa kutumia vyombo vyake vya ndani ikiwemo Jeshi la...

READ MORE

BI HARUSI ATOWEKA NA MICHANGO!

ARUSHA: Mrembo aliyejulikana kwa jina la Doreen Aloyce, anadaiwa kutoweka na michango ya harusi, hali iliyosababisha wachangiaji kucharuka.   Chanzo makini...

READ MORE

BASI LA NEW FORCE LATUMBUKIA KITONGA, 10 WAJERUHIWA

TAKRIBANI watu kumi wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea Dar es Salaam kutumbukia...

READ MORE

NILICHOKIONA NYUMBANI KWA HAYATI NYERERE

 JUZI Jumapili, Oktoba 14, imetimia miaka 19 tangu kufariki dunia kwa muasisi wa taifa hili na rais wake wa kwanza,...

READ MORE

Hans Poppe Apandishwa Mahakamani Kisutu Dar

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe,  leo amefikishwa mara ya kwanza katika Mahakama ya...

READ MORE

Paul Allen Mwasisi-Mwenza wa Microsoft Afariki

Paul Allen, bilionea aliyekuwa mmoja wa waasisi wa kampuni la Microsoft  na Bill Gates mnamo 1975, amefariki dunia kwa kansa.   Allen ambaye...

READ MORE

HAJI MANARA AACHIWA KWA DHAMANA

MSEMAJI  wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi kwa takribani siku nne. Manara...

READ MORE

Baba wa Vincent Kompany Awa Meya wa Kwanza Mweusi Ubelgiji

UBELGIJI imechagua meya wa kwanza mweusi kwa mara ya kwanza.  Mtu huyo ni baba wa mwanasoka wa kimataifa Vincnt Kompany...

READ MORE

Hans Pope Amekamatwa na TAKUKURU

MWENYEKITI wa zamani wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope,  amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na...

READ MORE

Lema Kuzungumzia Kutekwa Kwa Mo Dewji Leo

  Mbunge wa Chadema Arusha Mjini, Godbless Lema, mbaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, amesema, leo atazungumza na...

READ MORE

Mbunge wa Rorya Aagiza Baba Yake Akamatwe

MARA: Mbunge wa Rorya (CCM), Lameck Airo,  ameliagiza jeshi la polisi kumkamata baba yake mdogo baada ya kutajwa katika mkutano...

READ MORE

LOWASSA ATOA KAULI KWA TAIFA STARS NA TFF

WAZIRI Mkuu wa zamani Edward Lowassa amewataka wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kucheza kama Morani wa...

READ MORE

WAKATI MO AKITAFUTWA, MAMA ATEKWA, AUAWA KIKATILI

WAKATI tukio la kutekwa kwa mfanyabishara bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji ‘MO’ likiwa bado ni la moto na msako...

READ MORE

Mkwasa kurudi India Novemba 6

ALIYEKUWA Katibu wa Yanga, Boni¬face Mkwasa, anatarajia ku¬rudi India kwa mara nyingine tena Novemba 6 kwa ajili ya ku¬fanyiwa vipimo...

READ MORE

RC MAKONDA AAGIZA KUKAMATWA KWA VIGOGO WALIOHUJUMU SOKO LA KARIAKO – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza kukamatwa kwa waliokuwa viongozi wa Soko la Kimataifa Kariakoo kwa...

READ MORE

JPM Awataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kujieleza – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema mwaka jana katika mbio za Mwenge kuna miradi ilizinduliwa lakini katika mbio za mwaka...

READ MORE

JPM Akutana na Wakimbiza Mwenge 2018 Ikulu

RAIS John Magufuli (mbele katikati) akipokea taarifa kutoka kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu...

READ MORE

MKUU WA MAJESHI JWTZ AIPONGEZA NMB KUKUZA MCHEZO WA GOLF

    MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo ameipongeza Benki ya NMB nchini kwa juhudi...

READ MORE

JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma  amefanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe....

READ MORE

BREAKING: FAMILIA YATOA SH. BIL 1 ATAKAYEFANIKISHA KUMPATA MO

FAMILIA  ya mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ aliyetekwa Alhamisi iliyopita na watu wasiojulikana, imetoa zawadi ya Sh. bilioni moja (1,000,000,000) kwa...

READ MORE