×

Habari

Jambazi Auawa Mwanza, Alikuwa Akijibizana Risasi na Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Molisi Ahmed Msangi. MWANZA: Mtu mmoja anayedhaniwa kuwa jambazi ameuawa...

READ MORE

Muswaada wa Mahakama ya Mafisadi Watua Bungeni Leo

SERIKALI kupitia Wizara ya Katiba na Sheria leo imewasilisha bungeni Muswaada wa uanzishwaji wa Mahakama ya Mafisadi nchini ili ujadiliwe....

READ MORE

Watuhumiwa wa Ubakaji, Udhalilishaji Wanyimwa Dhamana Moro

Morogoro: Washtakiwa sita wanaokabiliwa na makosa tofauti yakiwemo ya kubaka, kulawiti na kusambaza picha chafu na za ngono wameendelea kusota...

READ MORE

Mahiga: Watanzania 408 Wamefungwa kwa Madawa ya Kulevya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga Dodoma: Watanzania 408 wanatumikia vifungo...

READ MORE

Vodacom, Global wawasogeza wasanii kwa mashabiki wao

  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya Staa...

READ MORE

Kenya: Asilimia 80 ya Shisha ina Coacaine

Wizara ya Afya imesema asilimia 80 ya Shisha inayovutwa nchini humo ina chembechembe za Madawa ya Kulevya aina ya Cocaine....

READ MORE

Hii Ndiyo Safu Mpya ya Bodi ya Wakurugenzi TANESCO

TAARIFA KWA UMMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Dkt. Alex L. Kyaruzi kuwa...

READ MORE

Hii Ndiyo Sababu ya Wanafunzi 7802 UDOM Kurudishwa Nyumbani

JUMUIYA ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) imesema kilichotokea si walimu kugoma kufundisha programu ya Stashahada Maalumu ya...

READ MORE

Hatimaye Siwema wa Nay Atoka Gerezani!

Mzazi mwenzake Nay wa Mitego, Siwema Edson. Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO HABARI njema! Mzazi mwenzake na msanii wa Bongo...

READ MORE

JPM: Serikali Itakomesha Watumishi, Wanafunzi Hewa

Rais John Magufuli. RAIS John Magufuli (pichani) amesema Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kumaliza makosa yote yaliyojitokeza huko nyuma...

READ MORE

Watu 8 Wakusanywa Kwa Mwenyekiti na Kuchinjwa Kinyama

MAUAJI ya Watanzania kwa njia ya kuchinjwa yanaendelea kushika kasi baada ya usiku wa kuamkia jana wakazi wanane wa kitongoji...

READ MORE

Kama Dakika Moja Inabadili Maisha, Siku 29 Je?

Na Ojuku Abraham, Risasi Mchanganyiko ZIMEBAKI siku 29 tu kabla historia haijaandikwa. Siku hiyo ndiyo ambayo itashuhudia droo kubwa kuwahi...

READ MORE

Kitilya na wenzake wazidi kusota Mahakama ya Rufaa Dar

Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya akienda kupanda gari litakalompeleka rumande. Sioi Sumari akiwa na...

READ MORE

Sekretarieti ya ajira yaelezea mafanikio ya Tehama

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, Riziki Abraham (kushoto) akiwa...

READ MORE

Wapinzani Wasusia Bunge, Wadai Kutokuwa na Imani na Naibu Spika

Wabunge wa vyama vya upinzani leo wametoka nje kwa mara nyingine kupinga Naibu Spika Dk. Tulia Ackson kuendesha vikao vya...

READ MORE

Dada wa Msuya Kuchinjwa… Mchezo ni Huu

Jeneza lenye mwili wa marehemu. Na Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Bado habari ni moto! Majonzi yanaendelea kutawala kwenye...

READ MORE

Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Wagoma

Wanafunzi wa chuo kikuu cha cha Dar es salaam mpaka sasa wamegoma wakiishinikiza bodi ya mikopo kutoa fedha kwa ajili...

READ MORE

Kama Haina Budi, Turudi Nyuma Kujifunza

MFULULIZO wa mauaji yanayotokea kila siku nchini, mengine yakiwa ya kutisha mno, yamenifanya nimkumbuke aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani...

READ MORE

Wabunge 7 Wasimamishwa Kwa Kufanya Vurugu Bungeni

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge limepitisha azimio la  kuwasimamisha...

READ MORE

Wakili Hashim Rungwe… Aishauri Serikali Mambo Mazito-2

WIKI iliyopita Wakili Hashim Spunda Rungwe alishauri mambo mengi ambayo anaona yanafaa serikali iyafanye ili kupiga hatua mbele za kimaendeleo...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Kupandishwa Kortini

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa, Dadi Faki Dadi Na Mwandishi Wetu, UWAZI ZANZIBAR: Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini...

READ MORE

Mauaji haya, serikali sasa itoe tamko

Mwezi huu wa tano tayari kuna matukio zaidi ya matano ya mauaji ya kikatili ya watu kuchinjwa au kukatwakatwa kwa...

READ MORE

Mke wa Trafiki Kinyogori Adaiwa Kukiri Kumuua Mumewe

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro MKE wa askari polisi wa kikosi cha usalama...

READ MORE

Majonzi Tupu Kuangwa Dada wa Bilionea Msuya

Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Anathe Msuya Dada wa marehemu wakiaga mwili wa ndugu yao. M toto wa marehemu Anathe,...

READ MORE

Rais JPM Amteua Makinda Kuwa Mwenyekiti Bodi ya NHIF

Mhe. Anne Semamba Makinda. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Sakata la Wanafunzi UDOM… Wapinzani Wasusia Tena Bunge!

DODOMA: Wabunge wa vyama vya upinzani wamesusia tena kikao cha bunge na kutoka nje ya ukumbi wa bunge jioni hii...

READ MORE

Airtel Yatoa Msaada wa Kompyuta 30 kwa Chuo Cha Taifa cha Utalii

Meneja wa huduma za jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (Kulia) akizungumza na vyombo vya habari wakati wa hafla ya makabidhiano...

READ MORE

Ajali: Lori la Dawasco Laparamia Kituo cha Mabasi Dar

Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalomilikiwa na DAWASCO likiwa limeparamia kituo cha mabasi baada ya gari hilo...

READ MORE

Wilaya ya Mpwapwa Kufanya Harambee ya Kupata Madawati Dar

 Mkuu wa Wilaya  ya Mpwawa iliyopo mkoani Dodoma, Mohamed Utaly (wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...

READ MORE

Mwanahabari Makongoro Oging’ Azikwa Tarime

Mke wa Makongoro, Naza Oging’ akimuaga mumewe kwa simanzi nzito. Mama mzazi wa marehemu aitwaye Magreth Oging’ akimuaga mwanaye kwa...

READ MORE

Watanzania Waifagilia Intaneti ya 4G ya Vodacom

MAPINDUZI katika teknolojia yaliyofanywa na Kampuni ya Vodacom Tanzania kwa kuanza kutoa huduma ya intaneti yenye kasi kubwa ya 4G...

READ MORE

TANCDA Yapima Afya za Wabunge Dodoma

Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang’ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge...

READ MORE

Sirro Atinga Mtaani Kutoa Elimu ya Ulinzi na Usalama

   Kamishna wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza na wanachi wa maeneo ya Manzese, wakati...

READ MORE

Symbion Kuiburuza Tanesco Kortini

Licha ya Rais John Magufuli kuisisitiza TANESCO kuepukana na mikataba ya “ajabu ajabu” na kulitia Taifa na shirika hasara, bado...

READ MORE

Uvuvi Haramu… Bwawa la Nyumba ya Mungu Lafungwa

Wavuvi katika Bwawa la Numba ya Mungu. Mwanga: Serikali imesitisha kwa mwaka mmoja shughuli za uvuvi katika Bwawa la Nyumba...

READ MORE

Harambee ya Mwanafunzi Aliyepoteza Uono Akiwa Chuo Kufanyika leo

Bernadetha Msigwa. Dar es Salaam: Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Mzumbe leo itafanya harambee chuoni hapo ya kumchangia mwanafunzi Bernadetha...

READ MORE

Mwili wa Makongoro Wawasili Kijijini Marasibora Tarime, Kuzikwa leo

Mama wa marehemu, Makongoro Oging’, Bi. Magreth Oging’ akilia kwa uchungu mara baada ya mwili wa mwanaye kuwasili nyumbani.Jeneza lenye...

READ MORE

Kumbe House girl Alitoweka Mchana, Dada’ke Msuya Akauawa Usiku

Marehemu Aneth Msuya. Siku moja baada ya kifo cha dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth imebainika kuwa msaidizi wa ndani...

READ MORE