×

Habari

MWALIMU ACHOMWA VISU NA KUFA MBELE YA WANAFUNZI WAKE

MWALIMU mkuu wa shule moja ya sekondari  Jumapili iliyopita alivamiwa na kundi la watu sita akiwa darasani akachomwa na kukatwakatwa...

READ MORE

KIMENUKA KULANGWA-TEGETA ‘A’, WANANCHI WAMLILIA LUKUVI

WAKAZI wa Tegeta A, eneo la Kulangwa lililopo Goba jijini Dar es Salaam wamepatwa na taharuki kubwa na kulazimika kuingia...

READ MORE

Safari ya Kwenda Kutibiwa India, Hawa Nitarejea Akwama Airport

MSANII wa Bongo Fleva Hawa wa Nitarejea, amejikuta akirudishwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es...

READ MORE

HATIMAYE MWAKASEGE AFUNGUKA KIFO CHA MWANAYE

HATIMAYE Mchungaji Mwalimu Christopher Mwakasege amefunguka kuhusu kifo cha mwanaye wa kiume Joshua ambaye alifarikiAlhamisi iliyopita, majira ya saa 2,...

READ MORE

Breaking News: Zuberi Kuchauka Wa CCM Ashinda Ubunge Liwale

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Liwale kupitia CCM, Zuberi Kuchauka amefanikiwa kupata ushindi wa kura 34,582 sawa na asilimia 85.81%, kabla...

READ MORE

Ahadi ya Rais Magufuli Kwa Mama Maria Nyerere – Video

RAIS  John  Magufuli amesema serikali ya awamu ya tano itaendelea kumuenzi Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius  Nyerere kwa kuhakikisha...

READ MORE

Mesen Selekta, Gutta wapagawisha Tigo Fiesta -Vibe Kama Lote Mtwara

    Msanii Jerry Boniface maarufu kama Mesen  Selekta akishirikiana na mdogo wake Gutta waliweza kuwapagawisha mashabiki kwa mtindo wao...

READ MORE

Breaking News: Mzee Yusuf Afiwa na Mama Yake, Azikwa Unguja

ALIYEKUWA mwanamuziki wa nyimbo za taarab nchini, Mzee Yusuph, amefiwa na mama yake mzazi, Mwajuma Mzee. Taarifa kutoka kwa dada...

READ MORE

Rais Magufuli na Mkewe Wamtembelea Maria Nyerere

RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamemtembelea mke wa hayati Mwalimu Julius Nyerere, Maria Nyerere,  nyumbani kwake Msasani...

READ MORE

Mbunge wa Chadema Babati Mjini Ajivua Ubunge, Atimukia CCM

Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa...

READ MORE

OFM YAFUMUA SOKO LA GONGO DAR!

WAKATI Rais Dk. John Magufuli akisisitiza juu ya Watanzania kufanya kazi kwa bidii, bado kuna baadhi ya watu wanaonekana kuweka...

READ MORE

HIVI NDIYO ULINZI NYUMBANI KWA MO DWEWJI ULIVYOIMARISHWA!

GUMZO kubwa kwa sasa ni tukio la kutekwa kwa bilionea mkubwa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ ambapo utekaji huo umesababisha ulinzi...

READ MORE

SKENDO YA NGONO KANISANI

SKENDO ya ngono kuingia kwenye nyumba ya Mungu haipendezi; lakini kwa kuwa shetani yu kazini imedaiwa kufika ndani ya Kanisa...

READ MORE

WAHITIMU WA CHUO CHA NIT WATEMBELEA GLOBAL

Stori: Mwandishi Wetu WAHITIMU wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) ambao wameanisha kampuni yao ubunifu na usanifu iitwayo ILUS,...

READ MORE

Madai: Khashoggi Aliuawa Ndani ya Ubalozi wa Saudia

MWANDISHI wa habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi,  huenda alirekodi tukio la kifo chake kwenye saa yake aina ya Apple...

READ MORE

TAIFA STARS KUFUNGWA NA CAPE VERDE, ZITTO AMTAJA MO DEWJI

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) na mdau wa soka nchini, Zitto Kabwe, amewatetea wachezaji wa Timu ya Taifa ya...

READ MORE

Maporomoko ya ardhi yawaua zaidi ya 50 Uganda

ZAIDI watu 50 wamepoteza maisha kutokana na maporoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha mashariki mwa...

READ MORE

Sakata la Mo, Manara Akamatwa na Polisi

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amekamatwa na polisi kutokana na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’....

READ MORE

Je! Unataka Kusoma Chuo Nje Ya Nchi? Bonyeza Hapa

KAMPUNI ya Global Education Link  inaendelea kupokea wanafunzi waliokosa udahili wa vyuo ndani ya nchi na wenye sifa au wanaohitaji...

READ MORE

DKT BASHIRU AMJIBU LOWASSA PAPO KWA HAPO – VIDEO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemjibu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu...

READ MORE

Lowassa Adai Nchi Ina Hofu, Chuki – Video

WAZIRI Mkuu wa Zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, Edward ngoyai Lowassa amedai...

READ MORE

NMB YAKIFADHILI KITUO CHA VIJANA DON BOSCO KWA MILIONI 15

        BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa vitabu na udhamini wa jezi, mabegi ya michezo na mipira kwa...

READ MORE

WAGONJWA WA MACHO 300 NCHINI WAFANYIWA UPASUAJI NDANI YA SIKU TANO

  Watu wenye matatizo ya macho takribani 700 wamefanyiwa uchunguzi na kati ya hao wagonjwa 300 waliobainika kuwa na matatizo...

READ MORE

MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA DAR, KUZIKWA GAIRO

MASTAA, wadau wa sanaa ya muziki na waombolezaji mbalimbali wamejitokeza leo Ijumaa, Oktoba 12, 2018, kuaga mwili wa aliyekuwa Producer wa...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA UONGOZI WA KLABU YA SIMBA

Uongozi wa Klabu ya Simba unapenda kuwataarifu wanachama, wapenzi na mashabiki wake kuwa mchana wa leo baada ya Sala ya...

READ MORE

SERIKALI YADAKA MATAIRI VIMEO

DAR: Ama kweli Serikali hii haitaki mchezo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia wachapakazi wake kuingia mitaani na kufanya ukaguzi wa...

READ MORE

OFM YANASA VYUO VIKIUZA VYETI KWA WATU BILA KUSOMA

UKISIKIA kuna baadhi ya vyuo vya elimu hapa nchini vinauza vyeti halisi kwa watu bila wao kusomea taaluma yoyote, si...

READ MORE

OMBAOMBA TISHIO KWA WANAWAKE ANASWA!

IRINGA: Ombaomba anayeomba kwa kutumia nguvu ameibuka Iringa hii ikiwa ni mara ya pili kwani huko siku za nyuma tukio...

READ MORE

Taarifa ya Acacia Kuhusu Kushikiliwa kwa Meneja Wake Tanzania

Taarifa kutoka kampuni ya Acacia kuhusu kushikiliwa kwa Meneja wake wa Biashara, Maarten van der Walt.

READ MORE

Pichaz: Hali Ilivyo Nyumbani kwa Mo Dewji – Video

HII ni taswira halisi ya nyumbani kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji (MO) maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam ambaye ametekwa leo...

READ MORE

Updates: Polisi Yasema Mo Dewji Bado Hajapatikana

JESHI la polisi nchini limesema juhudi za kumpata mfanyabiashara Mohammed Dewji (Mo) ambaye anasemekana ametekwa na watu alfajiri ya leo...

READ MORE

NMB WADHAMINI MASHINDANO YA GOLF YA MKUU WA MAJESHI, JWTZ

    BENKI ya NMB imedhamini Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Mkuu wa Majeshi nchini yanayotarajia kufanyika Oktoba 13...

READ MORE

Waziri Kairuki Atembelea Wanafunzi Walemavu Dar

  KATOKA  kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, Waziri wa Madini, Angellah Kairuki, mlezi wa taasisi ya Doris Mollel, awatembelea...

READ MORE

Spoti Xtra Lazidi Kutikisa Kila Kona ya Dar – Pichaz

KIKOSI kazi cha wafanyakazi wa Global Publishers leo Alhamisi, Oktoba 11, 2018, kama kawaida yake, kimeingia tena mitaani kulinadi gazeti...

READ MORE

Wabunge Walia Mo Dewji Kutekwa

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania wameguswa kwa hisia tofauti kufuatia tukio baya la kutekwa kwa mfanyabiashara...

READ MORE

MANARA: Tusizushe Taarifa, MO DEWJI Atapatikana Mzima – Video

MSEMAJI wa KLABU ya Simba, Haji Manara amewaomba wanachama na wapenzi wa Simba watulie na kuacah vyomba vya usalama vifanye...

READ MORE

Mambosasa: Waliomteka MO ni Wazungu, Tumeweka Vizuzi Wasitoke – Video

KUFUATIA habari za kutekwa  kwa mfanyabishara maarufu nchini ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo) alfajiri...

READ MORE

RC Makonda: Tulieni Polisi Wanafanyia Kazi Utekaji wa Mo Dewji

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba wakazi wa Dar es Salaam kutulia wakati huu kuhusu kutekwa...

READ MORE