×

Habari

NOMA SANA… SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI

Kikosi cha Timu ya Simba kimeendelea na mazoezi yake katika kambi maalum waliyoweka nchini Uturuki. Chini ya Kocha Mbelgiji, Patrick...

READ MORE

BREAKING: SANGA ATANGAZA RASMI KUACHIA NGAZI YANGA

Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake katika klabu hiyo. Sanga amejiuzulu wadhifa huo kutokana na...

READ MORE

NMB Bank Yazindua Klabu ya kibiashara Mkoani Songwe

BANK ya NMB imezindua rasmi Klabu ya kibiashara maalumu kwa wafanyabiashara wa Tunduma katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.  ...

READ MORE

SINGIDA YANYOOSHA MIKONO KWA FEI TOTO

Uongozi wa klabu ya Singida United, umekubali kumuacha kiungo Fei Toto kujiunga na Yanga. Uamuzi wa Singida United unatokana na...

READ MORE

Tanga: Mbunge wa CUF Avuliwa Udiwani kwa Kutofika Vikaoni

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imemuondoa kwenye nafasi yake, Diwani wa Kata ya Ngamiani Kusini, Mussa Mbarouk,  ambaye pia ni...

READ MORE

OFISA TRA ANAYETUHUMIWA KUMILIKI MAGARI 19, ALIANZA KAZI AKIWA NAYO

Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi ( wa pili mbele) anayetuhumiwa  kumiliki magari 19 yenye...

READ MORE

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA BIASHARA LA KOREA NA TANZANIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea,  Lee Nak- yon akihutubia  katika  Kongamano la Pili la Biashara  na Uwekezaji Kati ya...

READ MORE

KAMANDA WA TRAFIKI AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUZUIA AJALI

KAMANDA Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu, jana aliwaongoza waumini wa Msikiti wa Madinah uliopo Mbagala-Majimatitu eneo...

READ MORE

Breaking: Wauaji wa Bilionea Msuya Wahukumiwa Kunyongwa Hadi kufa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha, imewahukumu kunyongwa hadi kufa washitakiwa watano baada ya kukutwa na hatia ya kumuua...

READ MORE

JALADA KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA MIKONONI MWA DPP

UPANDE wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili mke wa bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (41) na mfanyabishara, Revocatus Muyella ...

READ MORE

Binti wa Miaka 15 Afungwa Kwa Kutoa Mimba Aliyobakwa na Kaka’ke

BINTI wa miaka 15 nchini Indonesia amefungwa miezi sita kwa kutoa mimba aliyoipata baada ya kubakwa mara nane na kaka...

READ MORE

Nafasi za Kazi Global Publishers, Mkuu wa Idara ya Usambazaji

Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa magazeti, ina nafasi za kazi za Maofisa Usambazaji wa Magazeti...

READ MORE

Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge,  amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Madiwani 30 wa CCM Wapita Bila Kupingwa – Video

TUME ya taifa ya uchaguzi, NEC wamesema wagombea wa udiwani 3O kutoka CCM wamepita bila kupingwa baada ya wagombea wa...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, JULAI 23, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Julai 23, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

JPM KUHUDHURIA UTIAJI SAINI DARAJA LA SALANDER KESHO

  Rais John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea Lee Nak-yeon kesho watashuhudia utiaji saini wa mkataba...

READ MORE

MAZUNGUMZO YA MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA, KOREA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo rasmi ya kiserikali na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee...

READ MORE

WAGOMBEA UDIWANI KATA 30 WAPITA BILA KUPINGWA

Wagombea 30 wa Udiwani katika uchaguzi Mdogo wa kata 77 utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu, wamepita bila kupingwa.   Akizungumza...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Mkurugenzi wa PSSSF

Rais John Magufuli amemteua Eliud Sanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma.

READ MORE

MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAFUNGWA RASMI

    Katika  mafunzo ya siku tano ambayo yalihitimishwa Julai 20 mwaka huu, Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Bakari Kimwanga...

READ MORE

 Simba Kufikia Kambi ya Kishua Uturuki

JUMLA ya wachezaji 26 wa kikosi cha Simba, wanatarajiwa kuondoka kesho Alfajiri kuelekea Uturuki kuweka kambi ya takribani wiki mbili...

READ MORE

Naibu Meya, Madiwani CHADEMA Wajiuzulu Mbeya

IKIWA ni saa chache baada ya uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Mbeya kupendekeza kuwavua uanachama madiwani...

READ MORE

Mchungaji Mtoto: Mungu Amenituma Kuhubiri, Sitaki Sadaka – Video

MTOTO Ibrahimu mwenye kipawa na karama ya aina yake ya kuhubiri, kuombea watu, na kuwaponya amesema kazi hiyo aliianza akiwa...

READ MORE

JPM ATOA POLE KWA KIKWETE KUFIWA NA BABA MKEWE

  RAIS  John Magufuli na  mkewe Mama Janeth Magufuli, wamefika nyumbani kwa rais mstaafu, Jakaya Kikwete,   kutoa pole kwa kufiwa...

READ MORE

Lugola Aonya Kuhusu Ajali, Ataka Wakimbizi Kurejea Kwao – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema alilivunja Baraza la Usalama Barabarani  kutokana na baraza hilo kukosa...

READ MORE

Lugola: Wafungwa Wajilishe, Simu Marufuku Gerezani – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemtaka Mkuu wa Magereza nchini, Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Martin Kasike, ...

READ MORE

Waziri Kigwangalla Ataka Wavamizi Maeneo Ya Hifadhi Kuondoka

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wananchi waliovamia maeneo ya hifadhi nchini, kujiandaa kuondoka ndani ya miezi...

READ MORE

Mama Afungwa Jela kwa Kuruhusu Wanaume Kumbaka Mwanaye

MWANAMKE Azzie Watson (25) wa Independence, Kansas City, Marekani, ameshitakiwa kwa kuuruhusu wanaume kumbaka mtoto wake wa kike mwenye umri...

READ MORE

Sakata la Lugumi, NIDA: Lugola Ampa Mtihani Sirro – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro ametakiwa kumtafuta mmiliki wa Kampuni ya Lugumi popote pale alipo na...

READ MORE

Maagizo ya Lugola Kwa IGP Kuhusu Mbwa Aliyepotea – VIDEO

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imekubaliana na Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi ili kubaini kilichotokea kwenye kikosi cha...

READ MORE

INASIKITISHA! Mauaji Yenye Utata, Ndugu Waivaa Polisi – Video

Unaweza kufananisha na filamu ya kusisimua lakini hiyo haibadili ukweli, kwamba vijana watatu, Ismail Linyembe, Twahir Said na Idd Said...

READ MORE

Kibali Chamchelewesha Chilunda Hispania

SAFARI ya kinda wa Azam FC, Shaban Chilunda bado haijakamilika kutokana na viongozi wa Klabu ya CD Tenerife ya Hispania...

READ MORE

Man Fongo Atoboa Siri ya Kupendwa na Mavenda

ZIKIWA zimepita siku kadhaa tangu kufanyika kwa bonge moja la tamasha lililojulikana kama Tusua Maisha na Global ndani ya Uwanja...

READ MORE

Viongozi Waungana na Kikwete Mazishi ya Baba Mkwe Wake – Video

MWILI wa mzee Rashid Mkwachu ambaye alikuwa Baba Mkwe wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rashid aliyefariki dunia jana...

READ MORE

Baba Mkwe wa Kikwete Azikwa Makaburi ya Kisutu – Video + Pichaz

MWILI wa Baba Mkwe wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rashid Mkwachu aliyefariki dunia jana Alhamisi umezikwa leo katika...

READ MORE

Lowassa, Sefue Walivyowasili Msibani kwa Kikwete – (Pichaz + Video)

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu Kiongozi Msfaatu, Balozi Ombeni Sefue wamewasili nyumbani wa Rais Mstaafu, Dkt....

READ MORE

Wema Alipa Faini ya Hukumu Yake, Wakili Msando Afunguka – Video

KUFUATIA hukumu iliyomkumba msanii Wema Sepetu ya mwaka mmoja jela au kulipa ya Tsh. Milioni 2, kwa makosa mawili ya...

READ MORE

Breaking News: Wema Ahukumiwa Jela kwa Madawa ya Kulevya – Video

MREMBO na mwigizaji maarufu wa Bongo Movies, Wema Sepetu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Tsh....

READ MORE

BREAKING: WEMA TAYARI AMEWASILI, HUKUMU YAANZA KUSOMWA KISUTU

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Ijumaa, Julai 20, 2018 inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili...

READ MORE