×

Habari

TAXIFY YAZINDUA HUDUMA MPYA YA ‘TAXIFY BOMBA’ JIJINI DAR

Taxify, inayokuwa kwa kasi Ulaya na Afrika katika huduma ya usafirishaji leo Julai, 12 2018 jijini Dar imetambulisha huduma mpya...

READ MORE

Pata Mkopo wa Elimu Chapchap

Wezesha Mzawa Microfinance LTD inakupa fursa wewe Mtanzania binafsi au mtoto wako kupata mkopo kwa ajili ya ada ya masomo....

READ MORE

ROMA, MAN FONGO ‘KUUMIZANA’ DAR LIVE JUMAPILI – PICHAZ

WASANII wa muziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki na mkali wa Singeli, Man Fongo,  leo wamethibitisha kushiriki katika Tamasha la...

READ MORE

Askari Polisi Ajiua kwa Risasi

ASKARI polisi wa kituo cha Polisi Natta,Wilayani Serengeti mkoani Mara, Nelson William,  amejiua kwa kujipiga risasi akiwa kazini jana Jumatano, saa...

READ MORE

Basata Watoa Tozo Mpya Kwa Wasanii

BARAZA la Sanaa la Taifa  (BASATA) limefanya mabadiliko kwa baadhi ya huduma zitolewazo na baraza hilo kuanzia Julai 1, 2018...

READ MORE

Kifo cha Mke wa kibonde, Mtoto Asimulia A-Z – (Video)

Kufuatia Kifo cha mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephrahim Kibonde, Sarah Kibonde kilichotokea usiku wa kuamkia jana katika Hospital...

READ MORE

NMB YADHAMINI TANZANIA TOP 100 MID-SIZED COMPANIES AWARDS KWA USD 50,000

  MSIMU wa nane wa Tuzo za Wafanyabiashara, Kampuni 100 Bora nchini ‘Tanzania Top 100 Mid-Sized Companies Awards,’ umezinduliwa jijini Dar...

READ MORE

PICHA CHAFU MITANDAONI, BABA PATTY ACHARUKA

  DAR ES SALAAM: Baada ya kuvuja kwa picha zake ‘romantic’ akiwa na mwanamke mwingine tofauti na mkewe, mume wa...

READ MORE

KISUTU: RCO, ILALA AULIZWA KAMA ANAPAFAHAMU ANAPOISHI RAIS MAGUFULI

MKUU wa Upelelezi Wilaya ya Ilala (RCO), Davis Msangi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hajawahi kumuhoji Rais Dkt....

READ MORE

Polisi Dar Yakamata Silaha Nzito, Matapeli wa Watalii na Benki – Video

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  KUPATIKANA...

READ MORE

Gari la Kubebea Wagonjwa Lakamatwa na Mirungi

Gari la kubebea wagonjwa (ambulance) la Hospitali ya Wilaya ya Tarime lenye namba za DFPA 2955 limekamatwa likiwa  na kilo...

READ MORE

Tusua Maisha: Meneja Global Aanika Washiriki Wanavyoshinda Pikipiki

  MENEJA Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers,  wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi na...

READ MORE

Mwalimu Asakwa Kwa Kumbaka Mwanafunzi Ngorongoro

NAIBU Waziri wa Elimu,  Sayansi na Teknolojia, William Olenasha, ameagiza kukamatwa kwa mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Loliondo,  Erick...

READ MORE

Watoto wa Wakimbizi Waungana na Wazazi Wao

WAKATI wazazi kadhaa wakimbizi,  wengi wao kutoka Mexico wakiunganishwa na watoto wao waliotenganishwa nao kwenye mpaka wa Marekani na Mexico...

READ MORE

‘Mbwa Mbaya Zaidi Duniani’ Afariki, Mmiliki Amlilia

MBWA wa Kiingereza mwenye umri wa miaka tisa aitwaye Zsa Zsa alifariki jana baada ya kushinda mashindano ya kutafuta mbwa...

READ MORE

Kim Kardashian: Wanawake Wakaguliwe na Wanawake Gerezani

MWANAMITINDO na mtangazaji wa televisheni nchini Marekani, Kim Kardashian West , ametaka ukaguzi magerezani ufanyiwe mabadiliko ili wafungwa wa kike wakaguliwe maungoni...

READ MORE

Ufaransa Yaichapa Ubelgiji, Yatinga Fainali Kombe la Dunia – Video

Timu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Dunia baada ya kuifunga Ubelgiji...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Mtangazaji Kibonde Afariki Dunia

#TANZIA: Mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephrahim Kibonde, Sara Kibonde amefariki dunia usiku huu wa Jumanne, Julai 10, 2018,...

READ MORE

HIVI NDIVYO ‘HAUSIBOI’ ALIVYOMCHINJA MTOTO WA BOSI WAKE

DAR ES SALAAM: “Mwanangu amechinjwa kikatili jamani, kwani kamkosea nini mpaka amuue kikatili, naumia jamani, moyo wangu umejeruhiwa, Prosper sitamuona...

READ MORE

TUSUA MAISHA NA GLOBAL: Washindi Droo ya Tatu Waanikwa – Video

KAMA kawaida kila Jumanne ya wiki, droo ya tatu ya Shindano la Tusua Maisha na Global imefanyika tena leo Julai...

READ MORE

CCM Yamteua Chiza Kuwania Ubunge Buyungu

Taarifa kwa Umma kuhusu kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

READ MORE

Sababu Saba Za Kusafiri Kwa Raha na Dreamliner

NDEGE iliyotengenezwa na kampuni ya Boeing 787 ya Marekani ambayo ni moja ya ndege zilizonunuliwa na serikali ya Tanzania,  ni...

READ MORE

MASHINDANO YA ‘TULIA TRUST’ KUKUTANISHA MIKOA BARA, VISIWANI

    TULIA Trust waandaaji wa mashindano ya ngoma za jadi nchini yenye kauli-mbiu ya “Tuuenzi Utamaduni Wetu” wanatarajia kuanza...

READ MORE

Aua Wanafunzi Tisa Kwa Kisasi China, Ahukumiwa Kifo

ZHAO ZEWEI raia wa China anayesemekana ana umri wa miaka itapayo 28 amehukumiwa kifo na Mahakama ya Jiji la Yulin...

READ MORE

Zacharia Aongezewa Kesi ya Uhujumu Uchumi, Kumiliki Bunduki Bila Kibali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Musoma hii leo Jumanne, Julai 10, 2018 imempa dhamana mfanyabiashara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria,...

READ MORE

Trump Amteua Brett Kavanaugh Jaji Mahakama Kuu

  RAIS Trump wa Marekani amemteua Brett Kavanaugh kuwa Jaji wa Mahakama Kuu nchini humo kuziba nafasi iliyoachwa na Jaji Kennedy....

READ MORE

Dereva Amshtaki Trump kwa Kutompandisha Mshahara

ALIYEKUWA dereva wa Rais Trump wa Marekani, aitwaye Noel Cintron, anadai marupurupu mengi  yakiwemo kuongezwa mshahara, kulipwa kwa kazi za muda...

READ MORE

MWIGULU AKABIDHI OFISI KWA LUGOLA – PICHAZ

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba amemkabidhi ofisi Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Kangi Lugola katika...

READ MORE

MWAMUZI WA FIFA MKENYA ALIVYOREKODIWA AKIPOKEA RUSHWA – VIDEO

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limemfungia maisha mwamuzi wa Kenya, Aden Marwa baada ya kugundulika amepokea hongo (rushwa)...

READ MORE

Mrundi Simba Ataja Kinachommaliza Wawa

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Masoud Djuma, raia wa Burundi, ametaja sababu za beki Muavory Coast, Pascal Serge Wawa kutokuwa...

READ MORE

SIRI YA LULU KUTOMZIKA PATRICK YAFICHUKA!

    BAADA ya mazishi ya mtoto wa muigizaji Rose Alphonce ‘Muna’, Patrick kufanyika kisha rafiki yake kipenzi, muigizaji Elizabeth...

READ MORE

Taasisi ya Mo Dewji yatoa msaada wa Mil. 125 kutibu watoto wenye saratani

    Taasisi ya Mo Dewji imetoa msaada wa Tsh. 125 Milioni kwa kituo cha Tumaini la Maisha kilichopo katika...

READ MORE

INASIKITISHA!! Bibi Abomolewa Nyumba Kwa Nguvu- Video

Bibi Mkazi wa Kijiji cha Mahindu wilayani Misungwi amejikuta akitolewa kwa nguvu katika nyumba yake ili kupisha upanuzi wa barabara...

READ MORE

Matukio 8 Yaliyotikisa Msiba wa Patrick

JUMANNE ya Julai 3, 2018, staa wa filamu kutoka Bongo Movies, Rose Alfonce ‘Muna’ alipata pigo baada ya kufiwa na...

READ MORE

Mashindano Wanaume Kubeba Wake Zao; Vicheko Mtupu

Mashindano ya Dunia ya Wanaume kuwabeba wake zao yamefanyika nchini Finland ikiwa ni kwa mwaka wa 23 mfululizo.   Mashindano...

READ MORE

Saa 24 Baada ya Hierro Kusepa, Enrique Atangazwa Kocha Hispania

ALIYEKUWA kocha wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Luis Enrique, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hispania baada ya...

READ MORE

NISHA AKIPIGWA DENDA BABU WA KIZUNGU – VIDEO

STAA wa filamu na muziki Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kwa sasa amebadili mtazamo na kuamua kuwa na mpenzi anayemzidi...

READ MORE

BENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA TAWI LAKE JIPYA MBAGALA

    BENKI ya KCB Tanzania imefanya uzinduzi wa tawi lake la 14 lililopo Mbagala jijini Dar es Salaam, tawi...

READ MORE

Njemba Azama Baada ya Lami Kuyeyuka Barabarani

KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 24, nchini Uingereza amewashangaza wengi baada ya kuzama kwenye lami iliyokuwa imeyeyuka barabarani eneo...

READ MORE