×

Habari

Aliyekuwa Kiongozi Wa Catalonia Ajisalimisha Kwa Polisi

  Aliyekuwa kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont na waliokuwa washauri wake wanne wamejisalimisha kwa polisi nchini Ubelgiji, kwa mujibu wa...

READ MORE

Kamati Kuu ACT-Wazalendo kutuma wawakilishi polisi

    Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kamati kuu ya chama hicho haitakwenda kuripoti polisi kama ilivyoagizwa bali itawakilishwa na mwenyekiti...

READ MORE

RC WANGABO: WATAKAOWANYANYASA WAANDISHI WA HABARI KUKION

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mh. Joachim Wangabo amewatahadharisha wakuu wa wilaya na wapenda maendeleo wote Mkoani Rukwa wasiwanyanyase waandishi...

READ MORE

KANISA LA KKKT LAADHIMISHA MIAKA 500 YA MATENGENEZO

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), linaungana na waumini wengine wa kanisa la Kilutheri duniani kuadhimisha miaka 500 tangu...

READ MORE

Majina Ya Mikopo Yaliyotolewa na HESLB Awamu ya Tatu 2017/2018

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya Awamu ya Tatu ya wanafunzi 7,901 wa Mwaka...

READ MORE

Tume Ya Uchaguzi Yateua Madiwani 3 Wa Viti Maalum

Tume ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 3 November 2017 imeteua madiwani watatu kujaza nafasi za Udiwani katika Halmashauri...

READ MORE

JUKWAA LA KATIBA KUWASHITAKI POLISI KWA KUZUIA MAANDAMANO

MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Hebron Mwakagenda amesema wameazimia kufungua kesi ya kudai haki ya kufanya maandamano ya...

READ MORE

Twitter Watoa Ufafanuzi Baada Ya Akaunti Ya Trump Kufungwa

Mfanyakazi katika kampuni ya mtandao wa kijamii wa Twitter, ameifunga akaunti ya Rais wa Marekani, Donald Trump, @realdonaldtrump, kitendo ambacho...

READ MORE

Kushuka Kwa Thamani Ya Shilingi Nchini Benki Kuu Yatoa Ufafanuzi

Serikali kupitia Benki Kuu (BoT) imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za kushuka kwa thamani ya shilingi nchini.

READ MORE

Global Tv Online: Usikose Kutazama Tamthilia ya Shevola Leo Saa 12:00 Jioni

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA...

READ MORE

Odinga Awatagazia Wafuasi Wake Kususia Bidhaa Za Kampuni Tatu Kenya

Muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) umetoa wito kwa wafuasi wake kususia bidhaa na huduma kutoka kwa...

READ MORE

Ndugai Atangaza Jimbo la Singida Kaskazini Liko Wazi

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai amemuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mheshimiwa Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kumfahamisha kuwa...

READ MORE

Msimamo wa Nape Nnauye Kuhusu Kuhama CCM

Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema kwamba haamini katika masuala ya kuhama chama...

READ MORE

TRA YAWAFUNGIA MADUKA WANAODURUFU CD ZA WASANII

MAMLAKA ya mapato nchini (TRA) ikishirikiana na kampuni ya Msama Auction Mart ambao ni wasimamizi na wasambazaji wa kazi za...

READ MORE

Mshindi Wa Nyumba Aanika Ya Moyoni

MSHINDI wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba wa Dodoma, ambaye alipokewa kifalme Jumanne iliyopita wakati...

READ MORE

ABB KUMALIZA TATIZO LA UMEME NCHINI

  Mradi mkubwa wa teknolojia ya kisasa ya kuongeza nguvu umeme unatarajiwa kuzinduliwa na kampuni ya kutengeneza tranfomer ya ABB...

READ MORE

MAJABA ALIVYOPOKELEWA KWENYE NYUMBA YAKE BUNJU B JIJINI DAR (Video)

Msafara wa magari ukiongozwa na pikipiki zaidi ya tano ulitokea makao makuu ya Global Group Sinza Mori Dar, huku Mshindi...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji, Mkurugenzi Mkuu Wa Fedha Acacia Wajiuzulu

KAMPUNI ya Acacia imetoa taarifa ya mabadiliko  ya uongozi wake kupitia mtandao wake ambapo Mkurugenzi Mtendaji, Brad Gordon na Mkurugenzi...

READ MORE

Halotel Yazindua Huduma ya ‘Halostudy’

KAMPUNI Ya simu za mkononi ya Halotel leo imezindua huduma mpya ya kimasomo ijulikanayo kama ‘Halostudy’ itakayowawezesha wanafunzi nchini kusoma...

READ MORE

ULEGA ABAINI MCHEZO MCHAFU WA MADALALI KUTOROSHA MIFUGO TARIME

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka maofisa wa forodha ya Sirari wilayani Tarime kuongeza juhudi katika kulinda...

READ MORE

MSHINDI WA NYUMBA ATIKISA DAR, MAPOKEZI YAKE SI YA KITOTO

GEORGE Majaba, mshindi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili,  Jumanne Oktoba 31, 2017 amewasili jijini Dar es...

READ MORE

Nyalandu: Ujasiri Ukaondoe Roho ya Woga, Upendo Uondoe Chuki

IKIWA ni siku mbili tangu ajiuzulu uanachama wa CCM na nyadhifa zote ndani ya chama hicho na kuomba kujiunga Chadema,...

READ MORE

Mahakama Yapokea Kielelezo cha Ukamataji Mali Nyumbani kwa Wema

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya...

READ MORE

Baada Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Mkoa, Mahakama Yamfutia Kesi Adam Malima

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi ya kushambulia Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, Adam Malima na dereva wake...

READ MORE

Maisha ya Dereva wa Mwalimu Nyerere Yanasikitisha! -Video

Mzee Nassoro Rajabu mwenye umri kati ya miaka 80 mpaka 85 ambaye alikuwa ni Dereva wa kwanza wa Rais wa...

READ MORE

TANZIA: DJ Juice Hatunaye, Azikwa Dar

Msiba! Mchezeshaji maarufu wa muziki nchini, DJ Juice ambaye jina lake halisi ni Hussein Juma Amani Misana, amefariki dunia juzi....

READ MORE

Maombi Yatikisa Nyumbani kwa Lulu

Zikiwa zimesalia siku 12 tu kabla ya hukumu yake kusomwa kufuatia kesi yake ya kuua bila kukusudia inayomkabili, taarifa zinasema...

READ MORE

Makandarasi Kukutana Dar Kwa Majadiliano Novemba 17

  CHAMA cha makandarasi nchini (Contractors Association of Tanzania – CAT) kinatarajiwa kufanya mkutano wa kitaifa kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Zitto: Nimeachiwa Huru, Naisubiri Serikali Mahakamani – Video

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana leo Jumanne jioni baada ya kushikiliwa na polisi tangu alfajiri...

READ MORE

Zitto Akamtwa Tena, Ahamishiwa Kituo Cha Polisi Kamata – Video

KIONGOZI  wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kukamatwa leo asubuhi nyumbani kwake kwenda  kuhojiwa katika kituo cha...

READ MORE

Akil The Brain Alamba Dili Specious Afrika

  MSANII aliyewahi kutamba na vibao vingi kwa staili ya Bhangra, Akil The Brain leo hii amelamba dili katika lebo...

READ MORE

Scorpion Akutwa na Kesi ya Kujibu Mahakamani

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta mshtakiwa Salum Njwete, maarufu kwa jina la ‘Scorpion’ anayekabiliwa na shtaka la unyang’anyi wa...

READ MORE

Ndugai: Sijapata Barua ya Kujiuzulu kwa Nyalandu, Huo ni Umbea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amesema kwamba hana taarifa za kujiuzulu kwa mbunge wa...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Majaba Kuingia Dar Leo

KIBABE! MSHINDI wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba leo anatarajiwa kuingia jijini Dar es Salaam...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Dawa, Atoa Wiki 2 kwa Wasioendeleza Viwanda – Video

RAIS John Magufuli ametoa wiki mbili (siku 14) kuaznia leo kwa wamiliki wa kiwanda cha nguo cha Mwatex cha jijini...

READ MORE