×

Habari

PICHAZ: Rais Trump Awasili Saudi Arabia, ni Ziara Yake ya Kwanza ya Kimataifa

Rais wa Marekani, Donald Trump amewasili nchini Saudi Arabia ikiwa ni mwanzo wa ziara yake ya siku 9 Barani Asia...

READ MORE

Meya Arusha Aachiwa, Amkomalia RC Gambo

ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amesema kuwa ataelekeza fedha zote za rambirambi kwa wafiwa  badala ya kuzipeleka kwa...

READ MORE

Mwanaheri Nikiwa Nyumbani Huwa Navaa Mavazi 3 Tofauti

NA GLADNESS MALLYA | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME KILA Jumamosi huwa tunakutana katika safu hii ya Mpaka Home mpenzi...

READ MORE

Picha: Rais Magufuli kuongoza Mkutano wa18 wa Wakuu wa EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni...

READ MORE

Mashabiki Wamcharukia Ben Pol Baada ya Kupost Picha Chafu Instagram

Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol ameamua kuachia picha za utata katika akauti yake ya Instagram hivi karibuni baada ya...

READ MORE

Amber Rose Amnasa French Montana

MWANAMITINDO, Amber Rose amemnasa rapa French Montana ambaye pia aliwahi kutoka na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The...

READ MORE

Simba Yaipiga Bao Yanga, Kuchota Mkwanja Mnene

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI |GPL HATA kama itaukosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, hesabu zikienda sawa basi Simba itachota...

READ MORE

Kessy: Manara Ningebaki Simba Ningebeba Wapi Kombe?

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI |GPL BEKI wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy amemtupia kijembe Mkuu wa Kitengo cha Habari...

READ MORE

Wastara Awaburuza Steps Kortini

STORI: HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA | RISASI JUMAMOSI STEPS Entertainments, ambayo ni kampuni ya kusambaza filamu Tanzania, imepelekwa mahakamani...

READ MORE

MWANZA: Polisi Waua Majambazi Watatu -(Video)

MWANZA: Polisi mkoani Mwanza wamewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi baada ya majibizano ya risasi kati yao na askari wa jeshi...

READ MORE

BREAKING NEWS: Majambazi Wanne Wauawa na Polisi Kariakoo (Pichaz)

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi limewaua watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakati wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey...

READ MORE

Leo Ndiyo Leo Nay wa Mitego, Barnaba Kukinukisha Dar Live

BAADA ya kuliamsha dude katika shoo ya bure jana ndani ya Viwanja vya Karume jijini Dar, Mkali wa Ngoma ya...

READ MORE

Wengi Wanapishana na Ndoa, Tengeneza Njia kwa Muda Sahihi!

NA Erick Evarist | RISASI JUMAMOSI| MAISHA RAHA ya uhusiano wa mapenzi, ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka....

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Mei 20, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 20, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Wema Sepetu Aibua Ishu Kwa Mume wa Mtu!

STORI: HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA| RISASI JUMAMOSI | HABARI DAR ES SALAAM: Kuna ishu! Ndivyo wasemavyo wapenda ubuyu kufuatia...

READ MORE

PICHAZ: Dogo Mfaume Alivyozikwa Dar

JUZI JUMATANO, Mei 17, 2017 tasnia ya muziki wa Bongo ilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kuondokewa na msanii Mfaume...

READ MORE

Video: Miss Ustawi wa Jamii, 2017 Kwenye Ukumbi wa King Solomon, Dar

KINYANG’ANYIRO cha kumtafuta Miss Ustawi wa Jamii, 2017 muda huu kwenye Ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga jijini hapa huku...

READ MORE

VIDEO: Nay wa Mitego Agonga Shoo ya Bure Karume, Kesho Kukinukisha Dar LIVE

RAPA mbishi Bongo, Mkali wa Ngoma ya Wapo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ leo amegonga shoo ya bure ndani ya...

READ MORE

Maagizo Mapya ya Makamu wa Rais kwa Wizara ya Ardhi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameagiza kufanyika...

READ MORE

Makamu wa Rais Atoa Onyo kwa Makatibu Mahsusi Wanaotoa Siri za Serikali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewaagiza Makatibu Mahsusi nchini kufanya kazi kwa...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Aanika Maisha Yake

Makala: Brighton Masalu | IJUMAA HIVI karibuni gazeti hili namba moja kwa kuchimbua undani wa maisha ya watu maarufu, lilipiga...

READ MORE

Ma – Young na Ma – Dogo Mpaka Lini

1993 rapa mdogo machachari kutoka Unyamwezini, Shad Moss alipewa jina la Lil Bow Wow na mkongwe wa Hip Hop, Snoop...

READ MORE

Wema kwa Hili la Mihela, wa Kukuoa….

NA OJUKU ABRAHAM | IJUMAA| ZA CHEMBE WEMA Sepetu, kwangu ni miongoni mwa wasanii waigizaji wa kike wanaojua nini wanafanya...

READ MORE

GABONI: CAF Wamfanyia Vipimo Serengeti Boy Aliyeichapa Angola Iwapo Anatumia Dawa

GABON: Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana,...

READ MORE

PICHAZ: Taswira ya Msiba wa Dogo Mfaume Nyumbani Kwao Chanika – Dar

  KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi...

READ MORE

Kessy: Nimefuata Makombe Yanga

 MUSA MATEJA NA SAID ALLY | CHAMPIONI IJUMAA | MAKALA NI mwaka mmoja na siku 10 zimekatika tangu aliyekuwa beki...

READ MORE

Kiemba: Nimeamua Kuachana na Stand Baada ya…

NA MUSA MATEJA  | CHAMPIONI IJUMAA | MAKALA KIUNGO mkongwe wa Stand United ya Shinyanga, Amri Kiemba anatambulika katika soka...

READ MORE

Baada ya Agizo la Mwigulu… Huu ni Msimamo wa Jeshi la Polisi Kuhusu PF3

Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa kuanzia...

READ MORE

Shinda Nyumba Yawavutia Wananchi wa Vijijini

BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa, Championi,...

READ MORE

Zantel Yazindua Vifurushi vya Bure Kwa Mitandao Yote ya Kijamii

Meneja wa Data na Vifaa vya intaneti Zantel, Hamza Zuheri (kulia) na Meneja wa Muziki na uendeshaji Mdundo.com, Prisna Nicholaus...

READ MORE

Marekani: Mtoto Doreen Amemaliza Kufanyiwa Upasuaji wa Uti wa Mgongo

Taarifa ya Mbunge Lazaro Nyalandu Latest UPDATE: Mei 18, Alhamisi Saa 4:30 Usiku (Masaa ya Afrika Mashariki) Habari za HIVI...

READ MORE

Ijumaa Figa Bomba Girl 2017: Sanchi, Wema Watifuana Kwa Kura

HALI imezidi kuwa tete ambapo wiki hii modo, Sanchi ametifuana vilivyo na Wema Sepetu. Kwa mujibu wa kura mlizopiga zimepelekea...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Ijumaa Mei, 19

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii katika Mkutano wa...

READ MORE

Nay Kufanya Shoo ya Bure Karume Leo!

STAA wa Ngoma ya Wapo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anatarajiwa kufanya shoo ya bure leo (Mei, 19) katika Viwanja...

READ MORE

Aliyetobolewa Macho na Scorpion… Asimulia Yakukutoa Machozi!

STORI: BRIGHTON MASALU NA ANDREW CARLOS | GAZETI LA IJUMAA DAR ES SALAAM: Majanga upya! Unaweza sema hivyo kwa maana...

READ MORE

Unachezea Bahati wenzako Wanaitamani

NI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha kwenye ukurasa huu, ni matumaini yangu kwamba umzima wa afya na unaendelea vizuri na majukumu yako...

READ MORE