×

Habari

Katavi: Jela Miaka 23 kwa Wizi wa Cheti cha Kidato cha Nne

Mahakama  ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kwenda jela miaka 23 mkazi wa Kijiji cha Kalovye, Osward Mpalasinge (26)...

READ MORE

Yanga: Uhakika Mbaraka Yusuph Anatua Jangwani

Sweetbert Lukonge na Musa Mateja | CHAMPIONI YANGA imesema ina uhakika wa kumsajili mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yusuph na...

READ MORE

GlobalCelebUpdates: Halle Berry Anasa Ujauzito Japo Ana Miaka 50

Beverly Hills, Marekani MUIGIZAJI mkongwe, Halle Maria Berry ‘Halle Berry’ pamoja ya kuwa na umri wa miaka 50 ambao wengi...

READ MORE

Sasha Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema

STORI: HAMIDA HASSAN | RISASI JUMAMOSI MWA­NA­MITINDO, Sasha Kas­sim ameibuka na kusema kuwa hapendi sauti yake kufananishwa na ya Wema...

READ MORE

Mlela Anavyozidi Kuingiza Mkwanja Nje ya Bongo

Stori: Gladness Mallya | RISASI JUMAMOSI BAADA ya mwaka jana kula shavu la ku­cheza tamthiliya nchini Kenya kwa mwaka mmoja...

READ MORE

Mwambusi: Yanga Haikuwa Na Bahati Katika Sportpesa Super Cup

Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema timu yake haikuwa na bahati kwenye michuano ya SportPesa Super Cup baada ya...

READ MORE

Samatta: Taifa Stars Ushindi Uhakika Leo

Ibrahim Mussa | CHAMPIONI | Dar es Salaam NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amesema kwa maandalizi waliyofanya wana uhakika...

READ MORE

Ni Mashemeji Derby Kesho Fainali SportPesa Super Cup

Wilbert Molandi | CHAMPIONI| Dar es Salaam FAINALI ya michuano ya SportPesa Super Cup inatarajiwa kuchezwa kesho Jumapili kwa Gor...

READ MORE

Hapa Mr Blue Kule Zanzibar Stars, Dar Live

Na Mwandishi wetu| RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu HII ikufikie kwa wewe mpenda burudani kuwa Sikukuu ya Idd kutakuwa hakutoshi...

READ MORE

Bill Nas Apiga Chini Muziki

STORI: Boniphace Ngumije | RISASI JUMAMOSI MSANII wa Bongo Fleva, Bill Nas amefunguka kuwa kwa sasa ameamua kuupiga chini muziki...

READ MORE

Aunt Lulu, Isabela Watia Aibu Msibani Kwa Balozi Sisco

STORI: GLADNESS MALLYA NA HAMIDA HASSAN, RISASI JUMAMOSI, HABARI MASTAA wasioisha vituko vya aibu mjini, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ na...

READ MORE

Chid Benz Aibuka, Afunguka Mazito …Baada ya Kuacha Kutumia Madawa ya Kulevya

 STORI: BONIPHACE NGUMIJE, RISASI JUMAMOSI, HABARI DAR ES SALAAM: HUYU HAPA! BAADA ya Mwanamuziki Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kupotea kwa...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi June 10, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 10, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Ndama Ahukumiwa Jela Miaka 5 kwa Kutakatisha Zaidi ya Tsh. Bil. 1.2

DARR ES SALAAM: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh200 milioni mfanyabiashara,...

READ MORE

Messi, Cristiano Ronaldo Wanatesa Kwa Mikoko

Bugatti Veyron GSV. MASTAA wa soka katika nchi zilizoendelea ni kawaida kuwa na mishahara mikubwa, hali ambayo inawafanya baadhi yao...

READ MORE

Kitambi Afunguka Alivyoondoka Azam, Sasa Ndiye Bosi Wa AFC Leopards

Na Ibrahim Mussa | Championi Ijumaa | Habari KOCHA wa zamani wa Ndanda FC na Azam FC, Mtanzania, Denis Kitambi...

READ MORE

Simba Yafanya Kufuru Kumsajili Emmanuel Okwi Kwa Dau la Dola 50,000

Na Mwandishi Wetu | Championi Ijumaa | Habari AKITUA tu nchini na kumalizana na Simba, mshambuliaji mwenye kasi na mwendo...

READ MORE

Zari Ataka Kuzichapa Kikao Cha Familia, Kisa Maamuzi ya Kushangaza

STORI: SIFAEL PAUL NA MTANDAO | IJUMAA | HABARI KAMPALA: Watatoana roho Yarabi kwa mali alizoacha marehemu! Wengi walitabiri kuwa,...

READ MORE

Vita Ya Malipo Kiduchu Haijawahi Kumuacha Modo Salama!

Na Andrew Carlos | Ijumaa | Makala AMANDA Swartbooi moja kati ya wauza nyago katika video Afrika akitokea Afrika Kusini....

READ MORE

Rose Muhando, Hii Ni Fedheha Kubwa Kwako!

NI jambo lisilohitaji mjadala, kukubaliana kwamba Rose Muhando, ni mmoja wa watu ambao Muziki wa Injili Tanzania, una damu yake,...

READ MORE

Mastaa Mwezi Huu Kanzu Kama Kawa, Ushungi Kwa Sana, Swaumu Zinapanda?

IKIWA imefika Ramadhani ya 14 Ijumaa ya leo, wapo mastaa ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa sambamba na Waislamu...

READ MORE

Kibiti: Watu Wawili Wapigwa Risasi, Wapelekwa na Wahalifu Kusikojulikana

PWANI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema kuwa, watu wawili wamepigwa risasi katika Kijiji cha Nyamisati, Kibiti,...

READ MORE

Wizi Mpya Helmet za Bodaboda Jijini Dar

STORI NA MWANDISHI WETU | IJUMAA | HABARI WAKATI Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha Usalama Barabarani likisisitiza abiria na...

READ MORE

Anna Mghwira Apinga Kuvuliwa Uenyekiti wa ACT Wazalendo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Elisha Mghwira amepinga uamuzi wa chama hicho...

READ MORE

Mercy Johnson Atamani Kuolewa Tena!

MKONGWE kutoka kiwanda cha filamu, Nollwood, Mercy Johnson ameweka wazi hisia zake kwa mumewe, Prince Okojie kuwa anatamani kuolewa kwa...

READ MORE

Himid Mao: Yanga Leteni Mkwanja Nisaini

Musa Mateja na Wilbert Molandi | CHAMPIONI KIUNGO mkabaji anayesifika kwa kucheza soka la nguvu, Himid Mao ‘Ninja’ ametamka kuwa...

READ MORE

Manji amponza Mkemi, Polisi Wamuokoa Asipigwe

Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi, jana Alhamisi alikumbana na...

READ MORE

Wolper Ajiweka Kando na Wanaume

STORI: MAYASA MARIWATA, IJUMAA, STAR MIX STAA wa filamu Bongo Jacqueline Wolper amesema kuwa, japo wanaume wengi wenye nazo wamekuwa...

READ MORE

Maunda Zorro ‘Abaniwa’ na Familia!

Na Brighton Masalu, Ijumaa, Star Mix MWANAMUZIKI mwenye sauti ya ‘kusahaulisha kero za baba mwenye nyumba’, Maunda Zorro amesema sababu...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa June 9, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 9, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Bajeti: Serikali Yafuta Ushuru wa Gesti, Yapiga Pini Usafirishaji wa Madini

DODOMA   Serikali imetangaza kufuta ushuru wa huduma kwenye nyumba za kulala wageni. Hayo yameelezwa leo (Alhamisi) bungeni na Waziri...

READ MORE

Waziri wa Fedha na Mipango Aifuta Road License

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ametangaza kufutwa rasmi kwa ada ya mwaka ya leseni ya magari. Amesema...

READ MORE

Exclusive; R.O.M.A Mkatoliki Karudi, Makamuzi Yanaendelea, Sasa Yupo Fiti Kupanda Jukwaani (VIDEO)

RAPA kipenzi cha Watanzania, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka kuwa afya yake imeimarika na sasa yupo tayari kupanda jukwaani kukamua...

READ MORE

IKWIRIRI: Mwenyekiti wa Kijiji Atekwa, Mwingine Aokotwa Mtoni Amefariki kwa Risasi

Rufiji/Kibiti: Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kati, Ikwiriri, Athuman Mtoteka anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake. Mwenyekiti...

READ MORE

LIVE Kutoka Bungeni, Uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2017/2018

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, muda huu anasoma hotuba yake kuhusu mwelekeo wa bajeti ya serikali ya...

READ MORE