×

Habari

Iran Yaanzisha Mashambulizi ya Makombora Dhidi ya Israel – Video

Katika tukio la kushtua dunia, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha makombora mawili kuelekea Israel alfajiri ya Jumatano, Juni 18,...

READ MORE

Puma Energy Tanzania Yashiriki Kongamano Kukuza Ushirikishwaji Watanzania Sekta ya Madini.

Mwanza, Juni 18, 2025: Puma Energy Tanzania imethibitisha dhamira yake ya kuiunga mkono sekta ya madini nchini kwa kushiriki katika...

READ MORE

Serikali Kufanya Mapitio Maelekezo ya Sheria Sekta ya Ulinzi Binafsi Nchini

Dodoma, 19 Juni 2025: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, bado ipo katika mchakato wa kupitia maelekezo ya sheria...

READ MORE

Newta Yazinduliwa Dar, Kuleta Mageuzi Katika Sekta ya Ujenzi

Kampuni ya Maweni Limestone (MLL-Tanzania), ambayo ni kampuni tanzu ya Mama ya Huaxin Group, imepiga hatua kubwa kibiashara  kwa kuzindua...

READ MORE

Kauli ya Rais Trump Kuhusu Anga la Iran Yazua Taharuki ya Kimataifa – Video

Washington D.C. – Dunia imeingiwa na wasiwasi mkubwa kufuatia kauli ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald J. Trump, aliyodai kuwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe La Msingi Kwa Niaba Ya Shule Zote 103 Za Sekondari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Juni 18, 2025 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Na Wajumbe Wa Misheni Maalum Ya Kutathmini Maandalizi Ya Uchaguzi Mkuu

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa jana Juni 17, 2025 amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya...

READ MORE

Baba Atoa Kauli Nzito Kifo cha Wanandoa, Kuzikwa leo Wilaya ya Mwanga – Video

Evagli Ally, Baba mkubwa wa marehemu Antony Ngaboli aliyeuawa kikatili akiwa na mkewe, amezungumza na Global TV na kueleza kuwa...

READ MORE

Watanzania Waboreshewa Maisha kwa Gari aina ya Mahindra Zitumiazo Umeme na Gesi

Balozi wa India nchini Tanzania, Bishwadip Dey amesema Tanzania iko katika hatua za mwisho kutengeneza magari yanayotumia Umeme na Gesi...

READ MORE

TAA Yawahakikishia Wananchi Uaminifu Katika Usimamizi wa Viwanja 61 vya Ndege Nchini

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini ( TAA) imetoa wito kwa wananchi kuendelea kuiamini mamlaka hiyo katika usimamizi na uendelezaji...

READ MORE

NBC, Jubilee Allianz Waungana Kuwajengea Uwezo Wakandarasi Zanzibar, Serikali Yapongeza

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohamed (katikati) akijadili jambo na Mkuu wa Madeni na Masoko...

READ MORE

SMZ Yaipongeza NMB Kwa Kudhamini, Kushiriki Kongamano la Uwekezaji Z’bar

  SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Mamlaka yake ya Uwekezaji (ZIPA), imeishukuru, kuipongeza kuitunukia Cheti Maalum Benki ya...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Mkutano Wa Hadhara Wilaya Ya Meatu Mkoa Simiyu (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilya ya Meatu Mkoa wa...

READ MORE

Meridianbet Yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uchangiaji Damu kwa Kuendeleza Mila ya Kimataifa ya Uwajibikaji wa Kijamii (CSR)

Ikiwa ni mshirika wa Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), Meridianbet kwa mara nyingine tena imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wachangia...

READ MORE

Rais Samia Awatembelea Majeruhi wa Ajali Meatu – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Juni 2025, ametembelea majeruhi wa ajali...

READ MORE

Kamanda wa Polisi Dodoma Ahamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura amefanya uhamisho wa Makamanda watatu, Waliohamishwa ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi...

READ MORE

Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Kilele Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya TET

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka...

READ MORE

Gachagua Aonya Vijana Kuhusu Maandamano ya Kumbukumbu Juni 25

Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ametoa tahadhari kali kwa vijana wa taifa hilo kutojitokeza katika maandamano ya kumbukumbu...

READ MORE

CCM: Atakaepandikiza Ukabila, Udini na Ubaguzi asiachwe atambe

Chama Cha Mapinduzi kusisitiza kwakuwa Sheria halali za nchi zipo, zitamkabili mtu yoyote , kikundi na watu wenye ndoto za...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya wa Viongozi Serikalini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo vya...

READ MORE

Kamenge Atimiza Ahadi Yake Kwa Kanisa La KKKT Bwanjai

Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Bwanjai, Missenyi, wamempongeza Evance Kamenge kwa kutimiza ahadi yake...

READ MORE

Simbachawene Avutiwa na Huduma za NMB Wiki ya Utumishi wa Umma

 Simbachawene avutiwa na huduma za NMB Wiki ya Utumishi wa Umma Post author:Gabriel Post published:June 17, 2025 Post category:Habari Mchanganyiko...

READ MORE

NHC Yaeleza Rais Samia Alivyofanikisha Kukamilisha Mradi wa Majengo ya Kisasa

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo limeelezea jinsi lilivyokwamuliwa na Utawala wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuliwezesha...

READ MORE

Majaliwa: Wakuu Mikoa Hamasisheni Wananchi Kutumia Huduma Za Msaada Wa Kisheria

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuhakikisha wanaendelea kuhamasisha wananchi kutumia huduma ya...

READ MORE

Kesi ya Uhaini Yazidi Kupamba Moto, Lissu Asema Ananyimwa Haki Gerezani – Video

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa...

READ MORE

Rais Samia: Wasichana Wasome Sayansi kwa Ajili ya Maendeleo ya Taifa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ujenzi wa shule maalum za wasichana kwa...

READ MORE

Mahakama Yaruhusu Lissu Kujitetea Kesi ya Uhaini – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali maombi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kujitetea mwenyewe katika kesi ya uhaini inayomkabili....

READ MORE

TBL na TARI Washirikiana Kuadhimisha Siku ya Wakulima wa Mtama

Dodoma, 20 Juni 2025: Kampuni ya Tanzania Breweries Plc (TBL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI),...

READ MORE

Iran yaangusha ndege ya tatu ya kivita, marubani wawili Waisraeli wakamatwa

Jeshi la Iran (Artesh) limeripoti kuangusha ndege ya tatu ya kivita aina ya F-35 inayomilikiwa na utawala wa Israel, kwa...

READ MORE

Samia Afungua Kiwanda Kitakachoinufaisha Wakulima wa Pamba – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16, 2025, amefungua rasmi kiwanda cha kutengeneza...

READ MORE

Miliki Simu Kali ya Samsung A25 kwa Kucheza Super Heli

Upo tayari kushinda zawadi za kipekee na Meridianbet? Ingia kwenye mchezo wa Super Heli na uwe na nafasi ya kushika...

READ MORE

TAMISEMI Yatangaza Uvunjwaji wa Mabaraza ya Halmashauri Ifikapo 20 Juni 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza kwa Vyombo vya habari kuwa Mabaraza yote ya Halmashauri yanapaswa kuvunjwa...

READ MORE

Dkt. Akinwumi Adesina Amaliza Ziara ya Siku 4 Nchini Tanzania

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Akinwumi Adesina amemaliza ziara yake ya kikazi ya...

READ MORE

Mhandisi Luoga Azindua Kampeni ya “Pika Smart” Kuhamasisha Upishi wa Kielektroniki Tanzania

Dar es Salaam, 13 Juni 2025. Wizara ya Nishati, kwa ushirikiano na Modern Energy Cooking Services (MECS) na UK International...

READ MORE

Global Education Link Kusafirisha Zaidi ya Wanafunzi 200 nje ya Nchi

ZAIDI ya wanafunzi 200 wanatarajiwa kusafiri kwenda masomoni kwenye mataifa mbalimbali kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 hivi karibuni kuanza...

READ MORE

Balozi Nchimbi: Fidia Mifugo Iliyotaifishwa Ihitimishwe

Asema ni muhimu kutekeleza maamuzi ya mahakama Kampeni ya ‘Tutunzane’ itumike pia kwenye siasa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Fedha Sh 510 Milioni Zapatikana Ujenzi Uzio wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Ruvu

•Rais Dr Samia achangia milioni 100 Rais Dk Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh milioni 100 kwa ajili ya...

READ MORE

Shamrashamra Za Mapokezi Ya Rais Dkt. Samia Wilayani Busega, Simiyu – Picha

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Wilayani...

READ MORE

EFTA, GSM Kuwakomboa Wafanyabiashara Wadogo na Kati

Taasisi ya kifedha ya EFTA na GSM  zimesaini mkataba wa makubaliano ya kusaidia wafanyabiasha wadogo na kati kukuza biashara zao...

READ MORE

Mgahawa wa Maarifa Ulivyoibua Mdahalo wa Kijamii Kuhusu Mabadiliko ya Tabia ya Nchi

Shirika lisilo la kiserikali la My Legacy la hapa Tanzania limeungana na wanajamii katika Kata ya Mzinga iliyopo Kitunda Dar...

READ MORE