×

Habari

Dkt. Nchimbi Atikisa Kampeni Mwenbe Yanga jijini Dar

  MGOMBEA Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel...

READ MORE

Samia Aahidi Kujenga Barabara ya Kibaha–Morogoro kwa Ubia na Sekta Binafsi – Video

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema iwapo atapewa...

READ MORE

Zari The Bosslady Apata Ajali ya Gari, Range Rover Yake Yaharibika

Mfanyabiashara na staa maarufu wa Afrika, Zari The Bosslady, amethibitisha kuwa amepata ajali ya gari akiwa ndani ya Range Rover...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation Na JKCI Washirikiana Kupanua Huduma Za Moyo Kwa Watoto

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Philip Besiimire akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Heart Team Africa...

READ MORE

Dkt. Samia Aahidi Ujenzi wa Bandari Mpya ya Bagamoyo – Video

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi miradi mikubwa...

READ MORE

Kikwete Awaasa Watanzania Kudumisha Umoja Na Amani – Video

KIBAHA, PWANI – Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia wananchi wa Kibaha katika kampeni, amesisitiza kuwa Tanzania inabaki kuwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 29, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi Maalum la Nmb Tinde Mnadani

BENKI ya NMB imezindua tawi maalum la NMB Tinde Mnadani mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kuzingatia dhamira yake ya...

READ MORE

AICC Yaendelea Kuboresha kumbi Zake, Yawakaribisha Wadau wa Kitaifa na Kimataifa

KITUO cha Kimataifa cha Mikutano (AICC)kimesema kuwa  kinaendelea kuboresha kumbi zake mbalimbali huku kikiwakaribisha  wadau  wa kimataifa na kitaifa kufanya...

READ MORE

Nilikuwa Napoteza Kila Wiki EPL, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Ninishinde Jackpot Ya Mamilioni

Nilikuwa shabiki mkubwa wa soka na kila wiki nilikuwa nabashiri mechi za EPL. Nilihisi najua kila kitu kuhusu ligi hiyo...

READ MORE

Mixx, TCCIA na Yas Business Waungana Kuharakisha Mapinduzi ya Malipo Kijiditali

Dar es Salaam, 26 Septemba 2025. Kampuniyahuduma za kifedhakwanjiayasimu, Mixx imeingia makubaliano ya ushirikiano na Chemba ya Biashara, Viwanda na...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Mbio za Saifee Marathon Jijini Dar es Salaam

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 28, ameshiriki katika mbio za hisani za Saifee Marathon zilizoanzia na kuishia katika viwanja...

READ MORE

Elimu ya Usalama na Afya Kazini Yawafikia Wasioona Pwani na Dar

Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi.Khadija Mwenda, akihitimisha mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi kwa watu wasioona ambao ni...

READ MORE

Tuzo za Serengeti Awards Kufanyika Disemba 19 jijini Arusha

KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Tuzo za Uhifadhi na Utalii maarufu kama Serengeti Awards...

READ MORE

Rais Samia ampongeza Simbu kwa ushindi wa Dunia, Amkabidhi Nyumba jijini Dodoma

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Mwanariadha Alphonse Simbu kwa kuwa Bingwa wa Dunia wa mbio za marathon za Tokyo...

READ MORE

Mgombea Ubunge Buchosa Asisitiza Kuthamini Rasilimali Za Nchi – Video

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM, Eric Shigongo, amesema anajivunia kuwa Mtanzania na kuwataka wananchi wa...

READ MORE

Tanzania Yalaani Matumizi Ya Nguvu Katika Migogoro – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inalaani kuibuka upya kwa ukiukwaji wa...

READ MORE

Pumzi za Moto Wikiendi Hii, Ligi Kuu ya Uingereza na Meridianbet

Ligi Kuu ya Uingereza inageuka kuwa uwanja wa mapigano wikiendi hii, mechi zimejaa mvutano, vita ya kupigania alama tatu na...

READ MORE

Askari Wajengewa Uwezo Kwa Kupatiwa Elimu Ya Uchaguzi

Jeshi la Polisi wilaya ya Arusha kwa kushirikiana na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), limetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa,...

READ MORE

DC Kigamboni Apokea Vifaa Tiba Kutoka Benki ya NMB

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya jana September 26,2025 amepokea vifaa tiba viivyotolewa na benki ya NMB ikiwa ni...

READ MORE

Wasira Aungana na Dkt. Nchimbi Katika Mazishi ya Abbas Mwinyi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira ameungana na Mgombea mwenza  wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi na...

READ MORE

Benki Ya Exim Ikishirikiana Na Mind Matters Yaunga Mkono Mafanikio Ya Wanawake Kupitia Mafunzo Ya ‘Mindful Leadership’

Dar es Salaam, 27 Septemba 2025: Benki ya Exim Tanzania, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (Women Empowerment Program...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Vifaa Kinga kwa Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi

Ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii, kampuni ya Meridianbet imeonesha moyo wa huruma kwa kugawa...

READ MORE

Mgogoro Wa Nyumba Msasani: Mjane Aomba Zuio La Muda

Alice Hause ambaye ni Mjane wa marehemu Justice Rugaibula leo September 25,2025 amewasilisha maombi madogo Na.24541/2025 katika Mahakama Kuu, Divisheni...

READ MORE

Rais Samia Na Viongozi Wengine Wamfariji Dkt. Mwinyi Kufuatia Kifo Cha Kaka Yake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea mkono wa pole kufuatia kifo...

READ MORE

Yas na ZTE Wazindua BLADE A36 na A76 Kukuza Matumizi ya Simu za Mkononi na Huduma za Kidigitali

Dar es Salaam – 26 Septemba 2025: Katika jitihada za kuongeza upatikanaji wa simu za mkononi na kukuza matumizi ya...

READ MORE

Rais Mstaafu wa Ufaransa Ahukumiwa Miaka Mitano Gerezani

Paris, Ufaransa – Rais mstaafu wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa...

READ MORE

Mwili wa Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Umeagwa Roma – Italia

Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Vatican, ameadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kumwaga Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa katika Kanisa...

READ MORE

Mwanaridha Simbu Atoboa Siri ya Ushindi Riadha Tokyo, Aelekeza Shukrani NBC Dodoma Mathon

Mwanaridha wa kimataifa wa Tanzania na mshindi wa mbio ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo Alphonce Simbu...

READ MORE

Jenerali Mkunda Ampongeza Sajinitaji Simbu 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amempongeza Sajini Alphonce Simbu kwa ushindi wa medali ya dhahabu katika...

READ MORE

Mtoto wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Ali Mwinyi, Afariki

Mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Hayati Ali Hassan Mwinyi, Ndugu Abbas Ali Mwinyi, ambaye pia ni kaka...

READ MORE

Tshisekedi: DRC Haitauza Rasilimali kwa Bei Rahisi kwa Marekani

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, ametangaza kuwa licha ya msaada wa Marekani katika upatanisho wa...

READ MORE

Mradi wa Liganga na Mchuchuma Utaboresha Sekta ya Viwanda Tanzania

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema mradi wa makaa ya mawe wa Liganga...

READ MORE

Polisi Waanza Uchunguzi wa Video ya Askari Kulala Chini – Video

Jeshi la Polisi nchini limeanza uchunguzi mara moja juu ya video iliyoenea mitandaoni ikimuonyesha askari mmoja amelala chini. Taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Burudani ya Ulaya Usiku Wa Leo, Mechi Kali, Odds Kubwa

Leo mashabiki wa soka Duniani kote watashuhudia mechi za michuano ya Europa League kwa msimu wa 2025/26. Mechi zinazozikutanisha timu...

READ MORE

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Akubali Matokeo ya Uchaguzi, Ampongeza Mpinzani Wake

Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameeleza kuwa amekubaliana na matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Septemba 16, 2025, ambayo yameonyesha...

READ MORE

Jinsi Ya Kujenga Uaminifu Na Kuokoa Ndoa Yako Kutoka Kwa Mitego Ya Mpango Wa Kando

Ndoa yangu ilikuwa karibu kuvunjika vipande vipande. Mume wangu alianza kubadilika ghafla simu yake ilikuwa daima kimya, alirudi nyumbani usiku...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Alivyohitimisha Kampeni Zake Mkoa wa Njombe

Matukio mbalimbali katika picha za mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

TBL Yazindua Ripoti Yake ya Maendeleo Endelevu kwa Mwaka 2025

Dar es Salaam, Septemba 2025; Katika moja ya matukio yaliyosubiriwa kwa hamu mwaka huu, Kampuni ya Tanzania Breweries Plc (TBL),...

READ MORE