×

Habari

BABA: Dna ya Mtoto wa Diamond Must!

   WAKATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza msanii wa muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’...

READ MORE

Davido: Nampenda Sophia Kinoma!

LICHA ya hivi karibuni kuweka hadharani kuwa anatarajia kupata mtoto wa pili kwa demu wake mpya mwenye asili ya Marekani,...

READ MORE

Matokeo ya Droo ya UEFA Champions League Hatua ya Robo Fainali

Leicester City itakutana na klabu ya Uhispania Atletico Madrid katika robo fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya. Mabingwa hao...

READ MORE

Blac Chyna Ampiga Stop Kylie kwa Mwanaye

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| MAMTONI MWANAMITINDO Blac Chyna amekuwa mkali kwa wifi  yake, Kylie Jenner kwa kumpiga stop...

READ MORE

Tundu Lissu Asomewa Mashtaka 5 Kisutu, Aachiwa kwa Dhamana, Akwea Pipa Kuelekea Arusha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu aliyefikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashtaka matano. Lissu...

READ MORE

Mchungaji Mbaroni kwa Tuhuma ya Ubakaji

DODOMA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste la Ipagala Manispaa ya Dodoma, Joshua Warioba, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Dodoma...

READ MORE

Msemaji wa Jeshi la Polisi Uganda Auawa kwa Kupigwa Risasi

KAMPALA: Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Felix Kaweesi amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana. Taarifa zinasema Bw...

READ MORE

Mwanamke Kutofanikiwa Kupata Ujauzito ‘Female Sterility’

TATIZO hili humfanya mwanamke asifanikiwe kupata ujauzito kwa  wakati anaopenda au asiweze kabisa kupata ujauzito. Kutofanikiwa kupata ujauzito kwa wakati...

READ MORE

Lulu Atoa Povu Uchumba’ake Kuvunjika

Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA IJUMAA| STAR MIX JUZIKATI yaliibuka madai kwamba, uchumba wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael...

READ MORE

Magufuli Afuta Agizo Vyeti vya Kuzaliwa la Mwakyembe

RAIS John  Magufuli amefuta agizo la Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, alilolitoa jana lililotaka wanandoa za kimila...

READ MORE

Riyama Awashambulia Wezi wa Akaunti za Mastaa

MSANII wa Bongo Muvi nchini Riyama Ally, ‘Riyama’, amewafungukia na kuwashambulia wezi wa mtandaoni wanaofanya hivyo kwa kutumia akaunti za...

READ MORE

Ajibu, Mkude, Banda Waipasua Simba

Khadija Mngwai |CHAMPIONI|  Dar es Salaam WAKATI Simba ikiwa imesaliwa na mechi sita kabla ya kumaliza msimu wa Ligi Kuu...

READ MORE

Nani Ana Figa Matata? Amanda Achapa Lapa..

WIKI hii imekuwa mbaya kwa msanii wa Bongo Muvi, Amanda Posh kuchapa lapa. Hadi sasa wamebakia washiriki nane, kinachotakiwa wewe...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili… Leo Ndiyo Leo CCM Mwinjuma

DROO ya pili ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inafanyika leo Ijumaa katika Viwanja vya CCM Mwinjuma,...

READ MORE

Beyonce Kupata Mapacha wa Kiume!

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA|SHOWBIZ MAMTONI IMEBAINIKA kuwa mwanamuziki wa R&B asiyechuja, Beyonce Knowles huenda akajifungua mapacha wa kiume...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo Ijumaa, Machi 17 Nimekuweka Hapa…

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 17, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mwakyembe: Kuanzia Mei Mosi… Marufuku Kufunga Ndoa Bila Cheti cha Kuzaliwa

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuanzia, Mei Mosi mwaka huu ni marufuku watu kufunga ndoa...

READ MORE

Yanga yawafuata rasmi Zanaco

KLABU ya Yanga SC, leo jioni imekwea pipa kuelekea nchini Zambia, kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano wa Ligi...

READ MORE

Rais Magufuli Asisitiza Kuhamia Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Machi, 2017 ametembelea eneo la...

READ MORE

KIPINDI MAALUM: Wamasai Wapandisha Mori Wakati wa Mazishi…

KIPINDI MAALUM: WAMASAI WAPANDISHA MORI WAKATI WA MAZISHI YA MWENZAO ALIYEPIGWA RISASI NA POLISI Facebook @Globalpublishers Twitter @GlobalHabari Instagram @GlobalPublishers...

READ MORE

EXCLUSIVE: Global TV Online Yatunukiwa ‘Silver Play Button’ Na YouTube – (Pichaz)

  CHANNEL ya Global TV Online inayokimbiza Afrika Mashariki kwa stori za Burudani, Habari za Jamii, Kitaifa, Kimataifa, Siasa na...

READ MORE

Kuachika/ Kuachwa si Mwisho wa Maisha

Na DAYNA NYANGE| GAZETI LA AMANI| SINDANO ZA MASTAA BILA shaka mpenzi msomaji uko poa kabisa! Nikukaribishe tena kwenye Sindano...

READ MORE

Simanzi! Maiti ya Mtoto Yafichwa Ndani ya Gari Gereji Dar

Na GABRIEL NG`OSHA & MECKION MATHEW |GAZETI LA AMANI HABARI DAR ES SALAAM: Inauma sana jamani! Mtoto Queen Carlos miaka...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi Ya Kuzuia Uchaguzi TLS

Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Onesmo Mpinzila pamoja na mambo mengine akipinga Kanuni za Uchaguzi...

READ MORE

Manji Wawasilisha Ombi Mahakamani Kuhusu Kesi Yake Kwamba Sio Raia Wa Tanzania

Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji amewasilisha hati ya kuiomba Mahakama Kuu iwaagize maofisa Uhamiaji wamfikishe mahakamani ili kesi yake isikilizwe kwa...

READ MORE

MC Pilipili: Smartphone ni Balaa Kwenye Ndoa Yangu!

Na MWANDISHI| GAZAETI LA AMANI| KIJIWE CHA MC PILIPILI NI Alhamisi nzuri tu leo, Mungu bwana bado anatupenda sana maana...

READ MORE

Mwili wa George Kahama Waagwa Leo Dar

MARAIS wastaafu, Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete waongoza kutoa heshima zao za mwisho Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar wakati wa...

READ MORE

DODOMA: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi

ZIKIWA zimebaki siku mbili ili kufanyika uchaguzi wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) Mbunge wa Singida Mashariki na...

READ MORE

Uwoya Asakwa Kwa Kifo cha Bodaboda

Na IMELDA MTEMA|GAZETI LA AMANI|HABARI DAR ES SALAAM: Ni msala? Nyota wa sinema za Bongo, Irene Uwoya anadaiwa kusakwa na...

READ MORE

#GlobalUpdates: Vanessa Mdee Kuachia Wimbo Mpya Wiki Hii Na Kutumbwiza Kwenye ‘Gidi Fest’ Nigeria

Kwa misukosuko aliyoipitia Vanessa Mdee hivi karibuni sio rahisi kufikiria kuwa msanii huyo ana nguvu ya kuachia kazi mpya kwa...

READ MORE

Hip Hop, Singeli Kubamba Pasaka Hii Dar Live

  Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA KUONESHA kuwa mashabiki wengi wa burudani hususan wa Dar es...

READ MORE

‘Panga’ la Magufuli Latua Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli atengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili… Kesho CCM Mwinjuma

     DROO ya pili ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili itafanyika kesho Ijumaa katika Viwanja vya CCM...

READ MORE

Lulu Diva Aanika Ukweli Ishu ya Madawa

DAR ES SALAAM: NAKIRI! Baada ya jina lake kuwemo katika orodha ya mastaa waliotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya, hatimaye...

READ MORE

Lady Jaydee, Mnigeria Wamwagana

DAR ES SALAAM: KIMENUKA! Miezi michache tu baada ya mkongwe wa Muziki wa Afro Pop Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo Alhamisi, Machi 16, 2017, Udaku, Hardnews na Michezo… Some Hapa

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 16, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

TRA Wazipiga Pini Ofisi za TFF Kisa Madeni

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata pigo la aina yake baada ya kufungiwa kwa ofisi zake zilizopo Karume, Dar na...

READ MORE