×

Habari

Bocco Aundiwa Kamati Maalum Simba

Said Ally | Championi Ijumaa | Habari KUTOKANA na rekodi nzuri ya mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco kuitungua Simba...

READ MORE

Amber Lulu: Hata Kichaa Natembea Naye, Kikubwa

Na Hamida Hassan | Gazeti la Ijumaa | Star Mix MODO ‘aliyepinda’ Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa, yeye linapokuja...

READ MORE

Hamida Hassan| Gazeti la Ijuamaa | Star Mix STAA wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga ameibuka na kusema kuwa presha...

READ MORE

Marouane Fellaini Alambwa Redi, Manchester Derby Ngoma Droo (Video)

Baada ya tambo za muda mrefu hatimaye mchezo wa Manchester City na Manchester United umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya April 28

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 28, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Hatimaye Wenye Vyeti Feki Kuangukia Mikononi mwa JPM

Dar es Salaam: Rais John Magufuli, kesho atapokea taarifa ya kazi ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma katika...

READ MORE

VIDEO: Hii Hapa Taarifa ya Spika Bungeni Kuhusu Mauwaji ya Polisi 8 Kibiti Mkuranga

LEO Aprili 27, 2017 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesoma taarifa ya...

READ MORE

VIDEO: Je CCM Wanaruhusiwa Kufanya Vurugu na Kuachiwa? – Peter Lijualikali

LEO Aprili 27, 2017 Mbunge wa Ulanga, Peter Lijualikali (CHADEMA) amemtwanga swali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni kuhusu...

READ MORE

Babu Ally Aitaka TFF Kuacha Ubabaishaji

SHABIKI mkubwa wa timu ya soka ya Kauzi  ya Tandika jijini Dar es Salaam, Ally Mussa Nalyamba ‘Babu Ally amelitaka...

READ MORE

Salum Mkemi wa Yanga Aitwa Mbele ya Kamati ya Nidhamu ya TFF Kama Manara

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi aitwa mbele ya Kamati ya Nidhamu ya TFF kufuatia tuhuma zinazomkabili....

READ MORE

Waziri Kigwangalla Amsifia Ray C Kwa Jitihada Zake

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo Aprill 27 kupitia ukurasa wake...

READ MORE

VIDEO: CUF ya Maalim Seif Yaamua Kumvagaa Lipumba Buguruni

DODOMA: Leo APRILI 27, 2017, wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho  Maalim Seif...

READ MORE

Ray Kigosi Afunguka Mazito Kuhusu Kanumba, Diamond na Freemasons

Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema kuwa baadhi wa Watanzania ni wanafiki na wamekuwa wakikatisha tamaa watu...

READ MORE

Tamasha la Bodaboda Kutikisa Dar, Trafiki na Waendesha Bodaboda Kusakata Soka

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JP Decaus, Elia Richard akizungumza na wanahabari. TAMASHA la Pikipiki maarufu kama Tamasha la Bodaboda...

READ MORE

Kamati ya Forodha ya EAC Yatoa Ripoti ya Maendeleo Utekelezwaji wa Malengo ya Umoja

Kamishna wa Forodha Nchini Uganda, Dickson Kateshumbwa akizungumza jambo katika mkutano huo. KAMATI ya forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki...

READ MORE

Video: Droo Ndogo ya Tatu ya Shinda Nyumba Yatikisa

 Mkazi wa Tanga Bi. Agness Lymo (54) ameibuka mshindi wa pikipiki katika droo ndogo ya tatu ya Shinda Nyumba iliyochezeshwa...

READ MORE

VIDEO: Kumbe Hii Ndiyo Sababu Kuu ya Bongo Movie Kuporomoka Sokoni!

MWIGIZAJI, Muandaaji na Msambazaji wa Filamu Bongo, William Mtitu amekiri kuwa moja kati ya mambo yanayosababisha kushuka kwa soko la...

READ MORE

Rais Magufuli Mgeni Rasmi Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

Afisa Mawasiliano kutoka UN, Stella Vuzo akifafanua jambo. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa...

READ MORE

India Yafungia Mitandao ya Kijamii kwa Muda wa Mwezi Mmoja

Serikali nchini India yaizuia mitandao ya Twitter, Facebook na WhatsApp katika jimbo la Kashmir kwa muda wa mwezi 1 ili...

READ MORE

Burundi Yakataa Msaada wa Chakula Kutoka Rwanda

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza Serikali ya Burundi imesema, imezuia uingizwaji wa chakula cha msaada kutoka Rwanda kwa sababu za...

READ MORE

Rucky Baby Akiri Mapedeshee Kufulia

NA GABRIEL NG’OSHA | AMANI | SHOWBIZ XTRA Sexy lady wa Bongo Fleva, Rukia Jumbe ‘Rucky Baby’ amefunguka kuwa wale...

READ MORE

Usikose Kutazama SpotiHausi Leo Alhamisi, Saa 10:00 Jioni -Global TV Online

  #SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert...

READ MORE

Kitchen Party Ya Koleta Vituko Kibao

NA HAMIDA HASSAN | AMANI | HABARI DAR ES SALAAM: Sherehe ya kitchen party ya msanii wa sinema za Bongo,...

READ MORE

Airtel Yatumia Teknolojia ya Mawasiliano Kuboresha Elimu ya Sekondari

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Lolangulu iliyopo kijiji cha Mbola mkoani Tabora wakisoma kwa kupitia njia ya mtandao baada...

READ MORE

Q-Chillah Anahitaji Msaada wa Kisaikolojia

NA: Boniphace Ngumije | Amani | MAKALA Listi ndefu ya wanamuziki waliolifikisha gemu la Muziki wa Bongo Fleva hapa lilipo...

READ MORE

Hukumu ya Babu Seya, Papii, Mapya Tena

STORI: MWANDISHI WETU | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM Tumaini jipya! Mtoto wa kiume wa mfungwa anayetumikia kifungo...

READ MORE

Kajala Atinga Kortini Kudai Talaka

NA IMELDA MTEMA | AMANI | HABARI DAR ES SALAAM: Nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja anadaiwa kudai talaka...

READ MORE

Fuatilia Yanayojiri Bungeni, Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Aprili 27)

LEO Alhamisi, Aprili 27, 2017 Mkutano wa Bunge Mjini Dodoma ni kujadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi....

READ MORE

Mali za Lugumi Mikononi mwa TRA

Kampuni  ya udalali ya Yono, imefanikiwa kukamata mali za wafanyabiashara wanaodaiwa kodi ya serikali inayofikia zaidi ya Sh bilioni 68.1....

READ MORE

Shilole: Sasa Natamani Kuvaa Shela

IMELDA MTEMA | AMANI | Showbiz Xtra STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, sasa anatamani kuvaa shela...

READ MORE

Jahazi Kulisimamisha Jiji

NA MWANDISHI WETU | SHOW BIZ Bendi ya Jahazi Modern Taarab ikiongozwa na mastaa wake, Leila Rashid, Amigo, Mwasiti Kitolonto,...

READ MORE

MB Dog Amiliki 30% ya Hisa Kampuni ya Oman

GABRIEL NG’OSHA | AMANI | Showbiz Xtra LEGENDARY wa Bongo Fleva, Mohammed Mbwana ‘Mb Dog’ aliyewahi kutamba na Ngoma ya...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 27

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 27, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Bibi Ajinyakulia Pikipiki Droo Ndogo Ya Tatu ya Shinda Nyumba

Mkazi wa Tanga Bi. Agness Lymo (54) ameibuka mshindi wa pikipiki katika droo ndogo iliyochezeshwa leo Jumatano kwenye Viwanja vya...

READ MORE

Maajabu ya Dunia… Binti Darasa la 7 Aota Matiti Manne

STORI: MWANDISHI WETU | RISASI JUMATANO | DAR ES SALAAM Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema...

READ MORE

Mjema Azindua Ujenzi Barabara ya Pugu-Majohe Dar

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, leo amezindua ujenzi wa barabara ya kutoka Pugu mpaka Majohe kwa kiwango cha...

READ MORE