×


Ijumaa
PROF JAY AMPA HESHIMA MONDI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, juzikati alivutiwa na ngoma mpya…

SOMA ZAIDI
ZARI KUITIKISA MBAGALA KESHO

DAR ES SALAAM: Mambo ni faya! Wakati saga lake na mzazi mwenzake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari…

SOMA ZAIDI

NEEMA NABII ASIYEKUBALIKA

KWELI? Mwongozaji na mwigizaji wa Bongo Muvi, Neema Ndepanya amefunguka kuwa kwa kipindi kirefu alikuwa ni kama nabii asiyekubalika kwao kwani kila mtu hakumwelewa.  …

SOMA ZAIDI

NELLY ANATAKA KUZAA LAKINI…

WANAUME mpo? Mwanamitindo maarufu Bongo, Nelly Kamwelu amefunguka kuwa anataka sana kuwa na mtoto kwa kipindi hiki, lakini amejifunza kuwa mtoto bila malezi ya baba…

SOMA ZAIDI

MTOTO MIAKA 5 KUONDOLEWA KIZAZI!

DAR ES SALAAM: EE Mungu! Ndiyo kauli unayoweza kuiotoa kumuonea huruma mtoto wa miaka 5 ambaye madaktari wamemtaka afanyiwe upasuaji wa kumuondoa kizazi ili kunusuru…

SOMA ZAIDI


DIAMOND APEWA MTIHANI KWA BABA’KE

MOJA kati ya matukio yaliyotikisa ndani ya wiki iliyopita ni lile la kupatana kwa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na baba yake Abdul Jumaa ambapo…

SOMA ZAIDI


UWOYA KWELI KAFUNGA VIOO

HATAKI shobo! Mwanamama sexy kunako kiwanda cha filamu za Kibongo ambaye ni mkali wa kupigilia pamba za bei mbaya kila kukicha, Irene Pancras Uwoya amesisitiza…

SOMA ZAIDI


Wolper Kasahau Maumivu ya Mapenzi

KWELI au anazuga? Mkali wa sinema za Kibongo ambaye amegeukia kwenye ubunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe amesema kuwa sasa hivi amesahau maumivu ya mapenzi….

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online