×


Ijumaa


IYOBO AINGIA MITINI BIRTHDAY YA COOKIE

DAR ES SALAM: Dansa maarufu anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo ‘Moze’, anadaiwa kuingia mitini kuhudhuria birthday ya mwanaye, Cookie aliyezaa na…

SOMA ZAIDI
AMINI: PIGA UA LAZIMA NIZAE NA LINAH

DAR ES SALAAM: MWANAMUZIKI maarufu wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu ameamua kufunguka kuwa, anatamani sana kuzaa na mwanamuziki mwenzake Esterlina Sanga ‘Linah’, ambaye kwa sasa…

SOMA ZAIDIUKIMGUSA KRISH UTAKIONA CHAMTEMA KUNI

ACHA kabisa! Sexy mama kwenye Bongo Muvi, Irene Uwoya amewaonya wanaomsema vibaya mwanaye wa kiume, Krish kutokana na uzuri wake akiwaambia kuwa wakiendelea watakiona cha…

SOMA ZAIDI

FAIZA AMEMRUDIA MUNGU MAZIMA

NDICHO kilichobaki tu! Mwigizaji wa filamu za Kibongo ambaye ni baby mama wa Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu, Faiza Ally ameamua kuacha kila…

SOMA ZAIDI


FUNDI ASIYEONA AIBUA MAPYA YA MENGI

K UMBUKUMBU ya maisha aliyoishi mfanyabiashara bilionea marehemu Dk. Reginald Abrahamu Mengi haijatoka miongoni mwa jamii; fundi mlemavu wa macho aitwaye Abdalah Nyangario (59) ameibuka…

SOMA ZAIDI

 KAMA HUTAKI KUPATA MIMBA; FANYA HAYA

SAFU yetu wiki hii imebeba njia mbalimbali ambazo mwanamke anaweza kutumia ili asipate mimba kama hataki kuwa mjamzito.  Kutokujamiiana ndiyo chaguo mojawapo! Kama hutaki kupata…

SOMA ZAIDI

ZARI AONYESHA JEURI UKWENI!

TUKIO lililotikisa ulimwengu wa mastaa mwishoni mwa wiki iliyopita lilikuwa la ujio wa mwanamama Zarina Hassan ‘Zari’ kutoka Afrika Kusini ambaye mbali na mambo mengine…

SOMA ZAIDI

UTAJIRI WA HARMONIZE TISHIO!

DAR ES SALAAM: WAZUNGU wana msemo usemao; ‘hard work pays’! Msemo huu unaweza kuwa na maana kubwa katika maisha ya bwa’mdogo kutoka Kruu la Wasafi…

SOMA ZAIDI
PROF JAY AMPA HESHIMA MONDI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, juzikati alivutiwa na ngoma mpya…

SOMA ZAIDI
ZARI KUITIKISA MBAGALA KESHO

DAR ES SALAAM: Mambo ni faya! Wakati saga lake na mzazi mwenzake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari…

SOMA ZAIDI

NEEMA NABII ASIYEKUBALIKA

KWELI? Mwongozaji na mwigizaji wa Bongo Muvi, Neema Ndepanya amefunguka kuwa kwa kipindi kirefu alikuwa ni kama nabii asiyekubalika kwao kwani kila mtu hakumwelewa.  …

SOMA ZAIDI

NELLY ANATAKA KUZAA LAKINI…

WANAUME mpo? Mwanamitindo maarufu Bongo, Nelly Kamwelu amefunguka kuwa anataka sana kuwa na mtoto kwa kipindi hiki, lakini amejifunza kuwa mtoto bila malezi ya baba…

SOMA ZAIDI

MTOTO MIAKA 5 KUONDOLEWA KIZAZI!

DAR ES SALAAM: EE Mungu! Ndiyo kauli unayoweza kuiotoa kumuonea huruma mtoto wa miaka 5 ambaye madaktari wamemtaka afanyiwe upasuaji wa kumuondoa kizazi ili kunusuru…

SOMA ZAIDI


DIAMOND APEWA MTIHANI KWA BABA’KE

MOJA kati ya matukio yaliyotikisa ndani ya wiki iliyopita ni lile la kupatana kwa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na baba yake Abdul Jumaa ambapo…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online