×

Kimataifa

Prince Harry, Meghan Wapata Mtoto Wa Kiume

  MWANA-mfalme wa Uingereza, Prince Harry na mkewe Meghan, Duchess of Sussex, wamemtambulisha mtoto wao wa kiume leo kabla ya...

READ MORE

Ndege Yalipuka Urusi, 41 Wafariki Dunia – Video

WATU 41 wamefariki dunia baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Urusi (Aeroflot) kulipuka moto wakati ikitua kwa dharura...

READ MORE

Sudan: Jeshi Lagoma Kukabidhi Utawala kwa Raia, Wananchi Waandamana

OFISA wa ngazi ya juu wa Baraza la Kieshi nchini Sudan, Luteni Jenerali Salah Abdelkhalek,  amesema jeshi hilo halitaruhusu raia...

READ MORE

Mwanamuziki Nguli Mose Fan Fan Afariki Dunia

MWANAMUZIKI maarufu wa DR Congo Mose Fan Fan (75) amefariki dunia kwa mshtuko wa moyo nyumbani kwake karibu na barabara...

READ MORE

Ukikamatwa Unapiga Umbea Faini Tsh 9,200

BINALONAN kijiji kinachopatikana kaskazini mwa mji mkuu wa Ufilipino, Manila, kimepiga marufuku kufanya umbea. Meya wa mji, Ramon Guico, amesema...

READ MORE

Mwanzilishi wa Mtandao wa Wikileaks Ahukumiwa Jela Wiki 50

MWANZILISHI wa mtandao wa Wikileaks, Julian Assange, amehukumiwa hapo jana kwenda jela kwa wiki 50, kwa hatia ya kukiuka amri...

READ MORE

Mfahamu Mwanamke Asiyehisi Maumivu Mwilini!

  JO CAMERON  aligundua kuwa ngozi yake inaungua pale alipohisi  harufu ya kuungua kwa ngozi yake. Mara nyingi mikono yake...

READ MORE

Kiongozi wa Magaidi IS Ajitokeza Hadharani Baada ya Miaka 5

Kundi la kigaidi la Islamic State limesambaza mkanda wa video unaodai kumuonyesha kwa mara ya kwanza, baada ya kupita miaka...

READ MORE

Mwanamitindo wa kiume afariki akiwa jukwaani

  Mwanamitindo wa kiume Tales Soares  miaka 26 amefariki alipokuwa akifanya onyesho la mavazi katika tamasha la mitindo la São...

READ MORE

Mavazi yanayofunika uso marufuku Sri lanka

  Sri Lanka imepiga marufuku watu kujifunika uso hadharani kufuatia mashambulio ya kujitoa mhanga katika sikukuu ya Pasaka yaliosababisha vifo...

READ MORE

Wasoshalisti washinda uchaguzi Hispania

  Waziri mkuu wa Hispania, Pedro Sanchez anayeongoza chama cha Kisoshalisti, ameshinda katika uchaguzi uliofanyika jana Jumapili kwa kupata idadi...

READ MORE

Sheria Mpya Kukamata Walevi Wanaotembea Hadharani

  POLISI nchini Uganda inapania kuzindua mpango wa kuwakamata watembea kwa miguu watakaopatikana wakiwa walevi.   Akitetea mpango huo mpya, ...

READ MORE

Maporomoko ya Udongo Yaua Watu 60

  MAPOROMOKO ya udongo yaliyotokana na mvua kubwa yamesababisha vifo vya watu 60 katika mikoa ya Durban na KwaZulu-Natal nchini...

READ MORE

Kimbunga Chaua 3 Comoro, Chaelekea Msumbiji/Tanzania

  KIMBUNGA Kenneth kinachovuma katika Bahari ya Hindi kusini-mashariki mwa Afrika,  kimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu katika visiwa vya Comoro....

READ MORE

Azinduka baada ya kupoteza fahamu miaka 27!

  MWANAMKE mmoja kutoka Umoja wa falme za Kiarabu (UAE) aliumia katika ajali ya gari iliyotokea mwaka 1991 na kupoteza...

READ MORE

Kimbunga Kupiga Kusini mwa Tanzania, Msumbiji Alhamisi

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetangaza kuwa Kimbunga Kenneth kimeongezeka kasi na kinatarajiwa kufika pwani ya...

READ MORE

SHAMBULIO LA KIGAIDI LAUA 290, HALI YA HATARI YATANGAZWA

RAIS wa Sri Lanka, Maithripala Sirisena, ametangaza hali ya hatari kuanzia saa sita usiku wa jana (Jumatatu) kufuatia shambulizi la...

READ MORE

Comedian Zelensky Ashinda Urais

Mchekeshaji wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Petro Poroshenko, ambaye...

READ MORE

NYOKA WEUSI WAVAMIA IKULU, RAIS AKIMBIA OFISI

MSEMAJI wa Ikulu ya Liberia amesema rais wa nchi hiyo hivi sasa anafanyia kazi nyumbani kwake baada ya nyoka wawili...

READ MORE

NYETI ZA JAMAA ALIZOKATWA KENYA ZAPATIKANA TANZANIA

POLISI  wa Migori, Jimbo la Nyanza Kusini mwa Kenya, wamesema wamepata nyeti za mwanaume aliyejulikana kwa jina la Felix Otieno...

READ MORE

Kisa Marekani, Urusi Sasa Kuuunda INTERNET Yake ya Pekee

Bunge la Urusi limepitisha muswada ambao ukiwa sheria basi Taifa hilo lenye Watu zaidi ya M.140 litaunda INTERNET yake peke...

READ MORE

Ndege kubwa Zaidi duniani yaanza kuruka Marekani

NDEGE kubwa zaidi duniani yenye injini sita aina ya Boeing 747 imeruka kwa majaribio mara ya kwanza mwishoni mwa wiki...

READ MORE

ALIYEJIAJIRI SERIKALINI, HAENDI KAZINI, ANAJILIPA MSHAHARA, AGUNDULIKA

  Mwanafunzi mmoja anayesomea masuala ya TEHAMA nchini Afrika Kusini, Bright Chabota anasakwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

Waziri Aliyeongoza Jeshi Kumng’oa Rais Al-Bashir Ajiuzulu

Waziri wa ulinzi aliyeapishwa Alhamisi kuwa rais wa baraza la mpito la kijeshi Ahmed Awadh Auf amejiuzulu wadhifa huo jana...

READ MORE

PAPA FRANCIS ABUSU MIGUU YA KIIR NA MACHAR

KIONGOZI  wa kanisa Katoliki dunian,i Papa Francis, amefanya tendo la unyenyekevu na ambalo halikutarajiwa baada ya kupiga magoti na kubusu...

READ MORE

Utawala wa miaka 30 wa Al Bashir wa Sudan wang’olewa!

  BAADA ya maandamano makubwa ya wiki kadhaa nchini Sudan yaliyokuwa yakimtaka Rais Omar Al Bashir kujiuzulu, habari zisizothibitishwa zinasema...

READ MORE

Teknolojia yatumika kumnasa chatu mwenye mimba

  HIFADHI moja ya taifa Florida, Marekani,  imemnasa chatu mkubwa mwenye urefu wa futi 17 (mita 5.2) kwa kutumia teknolojia...

READ MORE

MZUNGU AGEUZA KITUO CHA WATOTO YATIMA KUWA DANGURO

UKISHANGAA ya Musa utayaona ya firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Mjerumani, Bernhard Bery Glaser, kukamatwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

VIJANA WAINGREZA WAISHI MSITUNI WAKIWA WATUPU – VIDEO

Vijana wawili kutoka nchini Uingereza wamefanya tukio la kushangaza watu wengi baada ya kuingia msituni na kuishi kwa muda wa...

READ MORE

Mwanamke apambana na wabakaji watatu wa binti yake, amuua mmoja

  NOKUBONGA QAMPI amekuwa akifahamika kama “Simba Mama” nchini Afrika Kusini baada ya kumuua mmoja wa wanaume watatu waliombaka binti...

READ MORE

Watumiaji Wa Mitandao Wamshambulia Raisi Wa Burundi

  Watumiaji wa mtandao wa Twitter wameunga mkono hatua ya wasichana watatu wa shule kwa kuzichora na kuharibu picha za...

READ MORE

Sakata la Brexit: Bunge la Uingereza Lapiga Kura

  BUNGE la Uingereza jana (Ijumaa) lilimepiga kura  kupitisha sehemu ya makubaliano kwa taifa hilo kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya...

READ MORE

Miji 10 Duniani Yenye Gharama Nafuu Kuishi. Bongo?

  NAJUA utakuwa unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni nafuu zaidi na pia ni ipi yenye...

READ MORE

ASINGIZIWA KUMBAKA BINTIYE, AFUNGWA MAISHA, MKE AKOMBA MALI

DUNIA haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mkasa uliomtokea Julius Wambua. Mwanaume huyu anatumikia kifungo cha maisha katika Gereza lenye...

READ MORE

Afikishwa Mahakamani Kwa Kesi ya Kujamba!

  MFANYAKAZI mmoja nchini Australia amefungua mashtaka kwenye mahakama ya rufaa ya nchi hiyo akidai bosi wake alikuwa akimbughudhi ofisini...

READ MORE

Vifo vya kimbunga Idai kusini mwa Afrika vyaongezeka

  IDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na kimbunga Idai kilicholikumba eneo la kusini mwa Afrika zaidi ya juma moja...

READ MORE

Viongozi Wababe Afrika, Wala ‘Bata’ na Wapigaji – Video

ZAMANI tuliamini vijana wana mbio, wazee wanajua njia, tukawapa mamlaka ya kutuongoza tufike salama lakini wakatuingiza msituni, tukapoteana, tukaprove kumbe...

READ MORE

Rwanda yawataka raia mpakani kusitisha biashara na Burundi

  SERIKALI  ya Rwanda imewataka wananchi wake walio karibu na mpaka kati ya nchi hiyo na nchi ya Burundi kusitisha...

READ MORE

KISA KAULI YA UFISADI, AKAUNTI ZA RAIS KENYATTA ZAFUNGWA

  AKAUNTI  za mitandao ya kijamii za Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta,  za  Facebook, na Tweeter,  zimefutwa kwenye mitandao hiyo...

READ MORE