MWILI wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe na muasisi wa taifa hilo, Robert Gabriel Mugabe, umeagwa leo Alhamisi, Septemba 12, 2019...
READ MOREMWILI wa aliyekuwa kiongozi wa Zimbabwe, Robert Mugabe, umewasili katika uwanja mkuu wa ndege nchini humo ambapo siku ya mazishi...
READ MOREMSANII wa muziki wa Hip Hop nchini Kenya, Jackson Makini, almaarufu kwa jina la Prezzo, ametangaza rasmi kuingia kwenye siasa...
READ MORESHANGHAI (Reuters) — Mwenyekiti na mwaznilishi wa Makampuni ya China yaa Alibaba Group, Jack Ma, ameachia ngazi katika kampuni hilo...
READ MOREMCHUNGAJI Brighton Samajomba wa Kanisa la Heaven Is My Home la nchini Zambia, amefarki dunia siku ya 20 baada ya...
READ MOREMKE wa rais wa zamani wa Honduras, Porfirio Lobo, aitwaye Rosa Elena Bonilla (52) amehukumiwa kwenda jela miaka 58 mara...
READ MOREMaduka ya wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Nigeria yalivamiwa jana ikiwa ni hatua ya kujibu, mashambulizi ya hivi karibuni katika...
READ MORERUBANI mwanafunzi nchini Australia ameitua ndege salama baada mwalimu wake kuzirai akiwa angani. Max Sylvester, mkazi wa magharibi mwa Australia...
READ MOREMOTO wa msitu wa Amazon umeanza kusababisha matatizo ya kupumua kwa wananchi wa Brazil, huku Shirika la Kulinda Mazingira Duniani, ...
READ MOREKIONGOZI wa umoja wa Wanyarwanda waishio nchini Msumbiji (diaspora), Louis Baziga, mepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa nchi...
READ MOREBRAZIL imekataa msaada wa fedha wa dola milioni 20 wa kusaidia kuzima moto katika msitu wa Amazon kutoka kundi la...
READ MOREBILIONEA mmoja nchini Saudi Arabia amenunua ndege mbili aina ya Airbus A350-1000 kwa bahati mbaya wakati akitafuta zawadi ya ‘birthday’...
READ MORERAIS Félix Tshisekedi ametangaza baraza jipya la mawaziri katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo baada ya kusubiriwa kufanya hivyo kwa...
READ MORERAIA mmoja wa Colombia ambaye jina lake halikutajwa, ameshikwa na polisi wa Hispania akiwa na video 555 zenye kuonyesha sehemu...
READ MOREKOREA Kaskazini imesema haioni manufaa ya majadiliano kati yake na Marekani, hadi Marekani isitishe kile ilichokiita hatua za uhasama za...
READ MOREPOLISI nchini Uingereza wametaka kila mtu kupakua programu-tumishi ya simu ya mkononi wakidai kuwa programu hiyo imeshaokoa baadhi ya maisha...
READ MOREWANASAYANSI nchini Uingereza na Malaysia wanasema kuwa wamegundua mti mrefu zaidi duniani wenye urefu wa zaidi ya mita 100. ...
READ MOREUpande wa mashitaka katika kesi ya ufisadi inayomkabili rais wa zamani wa Sudan, Omar al-Bashir, umeiambia mahakama mjini Khartoum leo...
READ MORELICHA ya mvua kali iliyokuwa ikinyesha Hong Kong, umati wa watu, wakiwamo wazee, walijiunga na wanaharakati vijana na watu wengine...
READ MOREMLIPUKO wa lori la mafuta nchini Uganda umesababisha vifo vya watu tisa na wengine kadhaa kujeruhiwa. Tukio hilo limetokea...
READ MOREWATU wapatao 63 wameuawa na wengine 182 kujeruhiwa baada mtu asiyefahamika, aliyekuwa na bomu kujitoa mhanga, jana Jumapili Agosti 18,...
READ MOREMOTO mkubwa ulioibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Agosti 19, 2019, umeteketeza Soko la Githurai 45, lililopo Nairobi nchini Kenya...
READ MORESERIKALI ya Kenya imemkamata mchungaji mmoja nchini humo aliyemleta Yesu bandia na kuwadanganya waumini wake kuwa Yesu karudi. Yesu huyo...
READ MOREMAOFISA wa Marekani na Israel wamesema wamefanikiwa kufanya majaribio ya makombora ya ulinzi huko Alaska, Marekani. Waziri Mkuu wa Israel,...
READ MOREBONDIA raia wa Urusi, Maxim Dadashev, amefariki dunia baada ya pambano lake dhidi ya mpinzani wake, Subriel Matias, kumsababishia majeraha...
READ MOREIsrael imeanza kubomoa makazi kadhaa ya Wapalestina ambayo inasema yalijengwa kinyume cha sheria, karibu sana na eneo linalougawa Ukingo wa...
READ MOREWaziri wa Fedha nchini Kenya, Henry Rotich, amejisalimisha kwa maofisa wa upelelezi leo, muda mfupi baada ya mkurugenzi wa mashtaka...
READ MOREWATU zaidi ya 23 wamefariki leo (Alhamisi) katika studio ya kurekodi matangazo na kuchapisha vitabu na majarida mbalimbali katika vyombo...
READ MOREMWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, Beyonce, amefichua nyimbo zilizomo kwenye albamu yake mpya itakayoambatana na filamu mpya ya The Lion King...
READ MOREBARAZA tawala la kijeshi na viongozi wa upinzani nchini Sudan, wamesaini makubaliano ya kugawana uongozi baada ya mazungumzo ya usiku...
READ MORENI kishindo cha aina yake! Nabii mwanamke, Dk Lucy Natasha ambaye ametinga Bongo kufanya huduma katika makanisa mbalimbali, ameibua gumzo...
READ MOREJOGOO mmoja ambaye mmiliki wake amempatia jina la Maurice, amekuwa kero kwa majirani kwa kuwika kila alfajiri na hivyo kufikishwa...
READ MOREMWANAUME mmoja aliyefahamika kwa jina moja tu la Davy amefariki wakati akiwa kwenye mashindano ya kufanya mapenzi na mwanamke aitwaye...
READ MOREMITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya...
READ MOREMFANYABIASHARA raia wa Kenya, Raphael Ongagi, aliyedaiwa kupotea tangu wiki iliyopita akiwa Tanzania, amepatikana leo Jumanne, Julai 2, 2019, jijini...
READ MOREMTU mmoja ambaye anaaminika ameanguka na kufariki kutoka kwenye ndege iliyokuwa juu ya anga la jiji la London, Uingereza, mwili...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles Jaguar, amefikishwa mahamani kwa tuhuma za uchochezi. Jaguar ambaye pia ni mwanamuziki...
READ MOREKENYA: Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Njagua ‘Jaguar’, amesema hataki kuwaona wafanyabiashara kutoka China, Tanzania na Uganda kwenye jimbo...
READ MOREMwanasisa maarufu wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Jean pierre Bembe amerejea rasmi nyumbani baada ya kukaa miezi...
READ MOREKWA mujibu wa takwimu zilizotolewa juzi na Shirika la Umoja wa Mataifa katika kitengo cha takwimu za ongezeko la watu...
READ MORE