MWANA-mfalme wa Uingereza, Prince Harry na mkewe Meghan, Duchess of Sussex, wamemtambulisha mtoto wao wa kiume leo kabla ya...
READ MOREWATU 41 wamefariki dunia baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Urusi (Aeroflot) kulipuka moto wakati ikitua kwa dharura...
READ MOREOFISA wa ngazi ya juu wa Baraza la Kieshi nchini Sudan, Luteni Jenerali Salah Abdelkhalek, amesema jeshi hilo halitaruhusu raia...
READ MOREMWANAMUZIKI maarufu wa DR Congo Mose Fan Fan (75) amefariki dunia kwa mshtuko wa moyo nyumbani kwake karibu na barabara...
READ MOREBINALONAN kijiji kinachopatikana kaskazini mwa mji mkuu wa Ufilipino, Manila, kimepiga marufuku kufanya umbea. Meya wa mji, Ramon Guico, amesema...
READ MOREMWANZILISHI wa mtandao wa Wikileaks, Julian Assange, amehukumiwa hapo jana kwenda jela kwa wiki 50, kwa hatia ya kukiuka amri...
READ MOREJO CAMERON aligundua kuwa ngozi yake inaungua pale alipohisi harufu ya kuungua kwa ngozi yake. Mara nyingi mikono yake...
READ MOREKundi la kigaidi la Islamic State limesambaza mkanda wa video unaodai kumuonyesha kwa mara ya kwanza, baada ya kupita miaka...
READ MOREMwanamitindo wa kiume Tales Soares miaka 26 amefariki alipokuwa akifanya onyesho la mavazi katika tamasha la mitindo la São...
READ MORESri Lanka imepiga marufuku watu kujifunika uso hadharani kufuatia mashambulio ya kujitoa mhanga katika sikukuu ya Pasaka yaliosababisha vifo...
READ MOREWaziri mkuu wa Hispania, Pedro Sanchez anayeongoza chama cha Kisoshalisti, ameshinda katika uchaguzi uliofanyika jana Jumapili kwa kupata idadi...
READ MOREPOLISI nchini Uganda inapania kuzindua mpango wa kuwakamata watembea kwa miguu watakaopatikana wakiwa walevi. Akitetea mpango huo mpya, ...
READ MOREMAPOROMOKO ya udongo yaliyotokana na mvua kubwa yamesababisha vifo vya watu 60 katika mikoa ya Durban na KwaZulu-Natal nchini...
READ MOREKIMBUNGA Kenneth kinachovuma katika Bahari ya Hindi kusini-mashariki mwa Afrika, kimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu katika visiwa vya Comoro....
READ MOREMWANAMKE mmoja kutoka Umoja wa falme za Kiarabu (UAE) aliumia katika ajali ya gari iliyotokea mwaka 1991 na kupoteza...
READ MOREMAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetangaza kuwa Kimbunga Kenneth kimeongezeka kasi na kinatarajiwa kufika pwani ya...
READ MORERAIS wa Sri Lanka, Maithripala Sirisena, ametangaza hali ya hatari kuanzia saa sita usiku wa jana (Jumatatu) kufuatia shambulizi la...
READ MOREMchekeshaji wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Petro Poroshenko, ambaye...
READ MOREMSEMAJI wa Ikulu ya Liberia amesema rais wa nchi hiyo hivi sasa anafanyia kazi nyumbani kwake baada ya nyoka wawili...
READ MOREPOLISI wa Migori, Jimbo la Nyanza Kusini mwa Kenya, wamesema wamepata nyeti za mwanaume aliyejulikana kwa jina la Felix Otieno...
READ MOREBunge la Urusi limepitisha muswada ambao ukiwa sheria basi Taifa hilo lenye Watu zaidi ya M.140 litaunda INTERNET yake peke...
READ MORENDEGE kubwa zaidi duniani yenye injini sita aina ya Boeing 747 imeruka kwa majaribio mara ya kwanza mwishoni mwa wiki...
READ MOREMwanafunzi mmoja anayesomea masuala ya TEHAMA nchini Afrika Kusini, Bright Chabota anasakwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za...
READ MOREWaziri wa ulinzi aliyeapishwa Alhamisi kuwa rais wa baraza la mpito la kijeshi Ahmed Awadh Auf amejiuzulu wadhifa huo jana...
READ MOREKIONGOZI wa kanisa Katoliki dunian,i Papa Francis, amefanya tendo la unyenyekevu na ambalo halikutarajiwa baada ya kupiga magoti na kubusu...
READ MOREBAADA ya maandamano makubwa ya wiki kadhaa nchini Sudan yaliyokuwa yakimtaka Rais Omar Al Bashir kujiuzulu, habari zisizothibitishwa zinasema...
READ MOREHIFADHI moja ya taifa Florida, Marekani, imemnasa chatu mkubwa mwenye urefu wa futi 17 (mita 5.2) kwa kutumia teknolojia...
READ MOREUKISHANGAA ya Musa utayaona ya firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Mjerumani, Bernhard Bery Glaser, kukamatwa na Jeshi la Polisi...
READ MOREVijana wawili kutoka nchini Uingereza wamefanya tukio la kushangaza watu wengi baada ya kuingia msituni na kuishi kwa muda wa...
READ MORENOKUBONGA QAMPI amekuwa akifahamika kama “Simba Mama” nchini Afrika Kusini baada ya kumuua mmoja wa wanaume watatu waliombaka binti...
READ MOREWatumiaji wa mtandao wa Twitter wameunga mkono hatua ya wasichana watatu wa shule kwa kuzichora na kuharibu picha za...
READ MOREBUNGE la Uingereza jana (Ijumaa) lilimepiga kura kupitisha sehemu ya makubaliano kwa taifa hilo kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya...
READ MORENAJUA utakuwa unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni nafuu zaidi na pia ni ipi yenye...
READ MOREDUNIA haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mkasa uliomtokea Julius Wambua. Mwanaume huyu anatumikia kifungo cha maisha katika Gereza lenye...
READ MOREMFANYAKAZI mmoja nchini Australia amefungua mashtaka kwenye mahakama ya rufaa ya nchi hiyo akidai bosi wake alikuwa akimbughudhi ofisini...
READ MOREIDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na kimbunga Idai kilicholikumba eneo la kusini mwa Afrika zaidi ya juma moja...
READ MOREZAMANI tuliamini vijana wana mbio, wazee wanajua njia, tukawapa mamlaka ya kutuongoza tufike salama lakini wakatuingiza msituni, tukapoteana, tukaprove kumbe...
READ MORESERIKALI ya Rwanda imewataka wananchi wake walio karibu na mpaka kati ya nchi hiyo na nchi ya Burundi kusitisha...
READ MOREAKAUNTI za mitandao ya kijamii za Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, za Facebook, na Tweeter, zimefutwa kwenye mitandao hiyo...
READ MORE