×

Kimataifa

Ndugu wa Ivan Wamlipua Zari, Wamtaka Asizisogelee Mali za Ndugu Yao

STORI:  MWANDISHI WETU | GAZETI LA IJUMAA IVAN Ssemwanga amekwenda lakini huku nyuma ameacha kimbembe kufuatia baadhi ya ndugu zake...

READ MORE

Msanii Aliyeshika Kichwa cha Rais Trump Afukuzwa Kazi CNN

Msanii mchekeshaji raia wa Marekani, Cathy Griffin (57) aliyeonekana live kupitia kipindi cha runinga kinachorushwa na Kituo cha CNN akiwa...

READ MORE

Mwanajeshi wa Ghana Auawa na Wananchi Akidhaniwa Jambazi

KEPTENI Maxwell Mahama wa Jeshi la Ulinzi la Ghana, Jumatatu iliyiopita aliuawa na wananchi wa eneo la Denkyira-Obuasi kwa kupigwa...

READ MORE

LIVE: Rais Kenyatta Azindua Treni Ya Kisasa Mombasa

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, leo amezindua treni ya kwanza ya kusafirisha mizigo na abiria katika reli mpya ya kisasa...

READ MORE

Pichaz: Mabulungutu ya Noti Yamwagwa Kaburini mwa Ivan

Shughuli ya kuuzika mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan...

READ MORE

Mazishi ya Ivan: Matajiri Wamiminika na Magari ya Bei Mbaya

UGANDA: WAKATI watu wengi walikuwa wakiomboleza kifo cha Ivan Semwanga, matajiri wakubwa na watu maarufu katika jiji la Kampala, waliitumia...

READ MORE

Imefichuka… Daktari Aeleza Sumu Iliyomuua Mume wa Zari

  Stori: Waandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA KAMPALA: Imefichuka! Nyuma ya msiba ulioacha historia wa aliyekuwa mzazi mwenza wa staa...

READ MORE

Picha za Ibaada ya Kuaga Mwili wa Mume wa Zari, Ivan Ssemwaga

MWILI wa aliyekuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Semwanga ambao ulifika Kampala jana kutoka Afrika Kusini, leo umepelekwa katika Kanisa...

READ MORE

Rais Uhuru Kenyatta Akutana na Donald Trump Nchini Italia

Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump jana huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za...

READ MORE

Mwili wa Semwanga Wawasili Uganda kwa Mazishi

IVAN SEMWANGA, aliyekuwa mume wa Zarina Hassan ‘The Bosslady’ ambaye sasa ni mpenzi na mzazi mwenzake wa mwanamuziki wa Tanzania,...

READ MORE

Zari na King Lawrence ni Mtiti Kuhusu Kurithi Mali za Marehemu Ivan

UGANDA: Kufuati kifo cha mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na Afrika Kusini, Ivan Ssemwaga, familia na marafiki wa marehemu wamepinga vikali...

READ MORE

Umewahi Kusikia au Kuona Bomba la Kupitisha Pombe? Soma Hapa

Waandalizi wa Tamasha maarufu la muziki wa rock nchini Ujerumani wamewahakikishia wateja zaidi ya elfu 75 kwamba, katu! hawatokumbwa na...

READ MORE

TANZIA: Mume wa Zari, Ivan Semwanga Afariki Dunia

TANZIA: Aliyekuwa mume wa Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’, Ivan Semwanga amefariki dunia akiwa hospitali nchini Uganda alipokuwa amelazwa kutokana...

READ MORE

Rais wa Brazil Asambaza Jeshi Kuzuia Vurugu

Rais wa Brazil Michel Temer ameyasambaza majeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo Brasilia, baada ya waandamanaji kuanza kulichoma moto...

READ MORE

VIDEO: Kutana na Mchungaji Zimbabwe ‘Anayeongea na Mungu kwa Simu’ Madhabahuni

MAAJABU!  Mchungaji nchini Zimbabwe, Paul Sanyangore wa Kanisa la Victory World International amewashangaza waumini wake kanisani alivyopiga simu na kusema...

READ MORE

Watu 22 Wauawa Kwa Bomu Manchester, Uingereza

Watu 22 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa vibaya kwenye shambulio baya la bomu lililotokea kwenye ukumbi lilipokuwa...

READ MORE

PICHAZ: Rais Trump Awasili Saudi Arabia, ni Ziara Yake ya Kwanza ya Kimataifa

Rais wa Marekani, Donald Trump amewasili nchini Saudi Arabia ikiwa ni mwanzo wa ziara yake ya siku 9 Barani Asia...

READ MORE

#GlobalCelebNews: Jay Z na Beyoncé Wana Utajiri Zaidi ya Dola Bn. 1

WANANDOA wawili wakali wa wanamuziki wa familia ya Carters, ambao ni Jay Z na Beyoncé wana mkwanja unaovuka Dola bilioni...

READ MORE

PICHA: Wamarekani Wafanikisha Upasuaji Mkubwa wa Wanafunzi Lucky Vincent

     Watoto watatu wa shule ya msingi ya Lucky Vicent walionusurika katika ajali ya basi, wamefanyiwa upasuaji na sasa...

READ MORE

Denti wa Kike ‘Aliyedeti ‘ Akutwa Amekufa

MWANAFUNZI wa kike Megan Bannister mwenye umri wa miaka 16 ambaye mwili wake ulikutwa katika gari dogo lililokuwa limeharibika katika...

READ MORE

Kenya: Upinzani Watishia Kususia Uchaguzi Mkuu

  KENYA: Mzozo mpya umeibuka kati ya tume huru ya uchaguzi nchini Kenya, na vinara wa mrengo wa upinzani wa...

READ MORE

Ikulu ya Nigeria Yakanusha Kifo cha Rais Muhammadu Buhari

SERIKALI ya Nigeria imewataka wananchi wa Nigeria kupuuza uvumi kwamba Rais Muhammadu Buhari hali yake ni mahututi na kwamba huenda...

READ MORE

Marekani: Wabunge Wamvaa Rais Trump

Wabunge wandamizi nchini Marekani wamemvaa Rais Donald Trump kwa kumtaka asalimishe kanda ya mazungumzo yoyote yaliorekodiwa kati yake na aliyekuwa...

READ MORE

TCRA Yawatahadharisha Watumiaji wa Kompyuta juu ya Kirusi Kiitwacho WANNACRY

Shambulizi la kihalifu mitandaoni lililotendeka kupitia vifaa vinavyoaminika kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri mashirika tofauti duniani....

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori la Mizigo Yaua Watu 19, Nakuru

NAKURU, KENYA: Watu 19 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi kugongana uso kwa uso na lori nchini...

READ MORE

Jambazi Sugu Mwanamke Auawa

NAIROBI: Mwanamke anayedaiwa kuwa jambazi sugu, Claire Mwaniki ambaye amekuwa akipakia mtandaoni picha zake akiwa amejipodoa na kujipamba, ameuawa na polisi...

READ MORE

Promosheni Ndogo za Shinda Nyumba Kufanyika Mtaa kwa Mtaa

WAKATI droo ndogo ya tatu ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili ikibakia kuwa historia, mhamasishaji mkuu wa...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-17

Mchungaji Johannes Veldhuizen, Mdachi aliyepania… ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI MWONGOZA watalii, Kornelius Kembaren aliyekuwa anawaongoza waandishi Paul Ruffael...

READ MORE

Wasichana 82 Waliotekwa na Boko Haram 2014 Waachiwa Huru

 Wasichana 84 waliotekwa nyara kutoka shule moja iliyopo katika Mji wa Chibok, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria mwaka 2014 na wanamgambo...

READ MORE

Tonto Nusura Aue Muendesha Baiskeli

MKONGWE wa filamu ambaye ameelekezea maisha yake kusaidia jamii, Tonto Dikeh amefanikiwa kuokoa maisha ya kijana mmoja ambaye jina lake...

READ MORE

Waziri Kijana Zaidi wa Somalia Auawa kwa Kupigwa Risasi

MOGADISHU, SOMALIA: Waziri mwenye umri mdogo zaidi nchini Somalia, ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu muda mchache baada ya kuzindua...

READ MORE

Shirika la Ndege Etihad Lamteua Gavin Halliday Kuwa Mkurugenzi Mtendaji

Shirika la Anga la Etihad (EAG) limetangaza uteuzi wa Gavin Halliday kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hala Group ikiwa...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-16

Wakati anatueleza hayo mara tukasikia sauti kali kutoka kwenye kichaka kilichokuwa karibu na pale tulipokuwa MAKALA: ELVAN STAMBULI NA MTANDAO...

READ MORE

Utajiri: Suti Zamtajirisha Bilionea Delano

MAKALA: NYEMO CHILONGANI NA MTANDAO | IJUMAA WIKIENDA BADO kuna watu wanaamini kwamba utajiri ni bahati. Kuwa, kuna wengine wameandikiwa...

READ MORE

Ubabe Wake wa Kijeshi, Korea Kaskazini Yafanya Magumashi ya Makombora

Pyongyang: Korea Kaskazini imelaumiwa kwa kuonyesha silaha bandia katika maonyesho ya hivi karibuni ya ubabe wake wa kijeshi. Afisa wa...

READ MORE

India Yafungia Mitandao ya Kijamii kwa Muda wa Mwezi Mmoja

Serikali nchini India yaizuia mitandao ya Twitter, Facebook na WhatsApp katika jimbo la Kashmir kwa muda wa mwezi 1 ili...

READ MORE

Burundi Yakataa Msaada wa Chakula Kutoka Rwanda

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza Serikali ya Burundi imesema, imezuia uingizwaji wa chakula cha msaada kutoka Rwanda kwa sababu za...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Lazindua Shindano la Masaa 48

Shirika la Ndege la Etihad limeamua kuwazawadia mamilioni ya wageni wanaosafiri kupitia makao makuu pamoja na wakazi wa nchi ya...

READ MORE

Mfahamu Zaidi Rais Mtarajiwa wa Ufaransa

EMMANUEL MARCON mwenye umri wa miaka 39 ndiye anayetarajiwa kuwa rais ajaye wa Ufaransa. Pamoja na hayo, Marcon ambaye ameoa...

READ MORE