×

Kimataifa

Julius Malema Aanzisha Maandamano Kumg’oa Zuma Afrika Kusini

PRETORIA: KIONGOZI Mkuu wa Chama pinzani cha Economic Freedom Fighters (EFC), Julius Malema leo Jumatano, Novemba 2, 2016 ameanzisha maandamano...

READ MORE

Milionea Anayelipa Bilioni 20 kwa Ajili ya Plate Number ya Gari

MILIONEA mmoja raia wa India, Balwinder Sahni huilipa Serikali ya Dubai dola milioni 9 sawa na Tsh. Bilioni 19.617 kila...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Makerere Chafungwa Kisa Mgomo

KAMPALA, UGANDA: Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda, wameanza kuondoka kutoka chuoni hapo baada ya Rais Yoweri Museveni...

READ MORE

Barua ya Aliyoiandika Tupac Akiwa Gerezani Yauzwa kwa Dola 172,75

IKIWA ni miaka 20 tangu kifo cha aliyekuwa rapa mkongwe, Tupac ambaye mpaka sasa bado yumo kwenye mioyo ya wapenzi...

READ MORE

China Yaonesha Hadharani Ndege Zake Mpya za Kivita

Ndege ya kusafirisha mizigo ya Y-20 pia imezinduliwa katika maonesho hayo ya Zhuhai China imeonesha hadharani ndege zake mpya za...

READ MORE

Video: Kiongozi wa Upinzani Uganda, Kizza Besigye Azichapa na Polisi

UGANDA: Aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya FDC, Dkt Kizza Besigye ameingia kwenye mtifuano mpya na Jeshi la Polisi la...

READ MORE

Idara ya Anga ya Etihad Kutoa Fursa za Ajira 425,000 Afrika

Pichani: Afisa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Anga ya Etihad, James Hogan. Idara ya anga ya Shirika la ndege la...

READ MORE

Rais Santos wa Angola ‘Kortini’ kwa Tuhuma za Upendeleo

Mahakama ya Kuu ya Angola imempa siku 8 Rais Jose Eduardo dos Santos kwenda mahakamani kujibu tuhuma za kumteua binti...

READ MORE

Video: Alichokisema Rais Magufuli Baada ya Kuwasili Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride, Ikulu Nairobi, Kenya. Akiendelea akikagua gwaride.  ...

READ MORE

Tetemeko Laipiga Tena Italia

  Tetemeko lingine baya la ardhi, limegonga maeneo ya katikati mwa Italia, mahali ambapo watu 300 waliuwawa mwezi Agosti mwaka...

READ MORE

Jeshi la Nigeria Lawaachilia Watoto 876

NIGERIA: Umoja wa Mataifa umefanikisha kuachiliwa kwa watoto 876 wanaozuiliwa na wanajeshi wa Nigeria na vikosi vya usalama baada ya...

READ MORE

Marekani Yaufunga Ubalozi Wake Nairobi

NAIROBI, KENYA: Nchi ya Marekani imeamua kuufunga kwa muda ubalozi wake uliyopo jijini Nairobi nchini Kenya leo Ijumaa, Oktoba 28,...

READ MORE

Mgombea Mwenza wa Trump Apata Ajali ya Ndege

Mr Pence (kati) azungumza na wazima moto LaGuardia MAREKANI: Mgombea mwenza wa Donald Trump kupitia Chama cha Republican kwenye kinyang’anyiro...

READ MORE

Watunguaaji Wawili wa Helikopta Pori la Akiba, Simiyu Wahukumiwa Miaka 10 Jela

SIMIYU: Mahakama ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu imewahukumu kwenda jela miaka kumi watuhumiwa wawili ambao ni miongoni mwa watuhumiwa...

READ MORE

Kenya: Wanaharakati Waandamana Kwenye Jengo la Bunge Kutaka Kutambuliwa kwa Watu wa Jinsia 3

NAIROBI, KENYA: Wanaharakati nchini Kenya wameandamana katika majengo ya Bunge kushinikiza kutambuliwa kwa jinsia ya tatu, watu ambao si wa...

READ MORE

Njemba Avalia Matawi ya Miti na Kuingia Mtaani, Adakwa

Mwanamume mmoja nchini Marekani, ambaye ameanza kufahamika kama “binadamu mti”, alikamatwa baada  kuvuka barabara akiwa amevalia majani na matawi ya...

READ MORE

Zuma na Usingizi Bungeni

AFRIKA KUSINI: Macho ya wengi nchini Afrika Kusini jana yalikuwa kwenye Waziri wa Fedha Pravin Gordhan ambaye alikuwa akihutubu bungeni....

READ MORE

Baharia Atoweka Akitaka Kuvunja Rekodi ya Dunia

Baharia mashuhuri kutoka China Guo Chuan ametoweka akijaribu kuvunja rekodi ya kuvuka bahari ya Pasifiki akiwa peke yake. Maafisa wa...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Kutumia  ‘Boeing 787’ Safari  za Tokyo

Boeing 787 Dreamliner inatoa huduma bora za daraja la kwanza na kawaida Boeing 787 ndiyo ndege ya kifahari katika Shirika...

READ MORE

Trump: Clinton Ataanzisha Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia Syria

MAREKANI: Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump amesema mpango wa mpinzani wake Hillary Clinton kuhusu kutatua mzozo Syria...

READ MORE

Mwanamme Ampa Talaka Mkewe Saa 2 Baada ya Ndoa kwa Kusambaza Picha Snapchat

Mwanamme mmoja nchini Saudi Arabia ameweka historia kwa kudumu muda mfupi katika ndoa yake baada ya kumpa talaka mkewe saa...

READ MORE

Mchina Akamatwa kwa Kuuza Bendera za Taifa

Raia mmoja wa China amekuwa mtu wa kwanza kukamatwa na kutozwa kutozwa faini kwa kuuza bendera za Zimbabwe bila rukhusa...

READ MORE

Wafuasi wa Donald Trump Wakamatwa Uganda

Maofisa wa polisi nchini Uganda wamewakamata vijana wawili waliokuwa wakimfanyia kampeni mgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump katika ubalozi...

READ MORE

Kim Kardashian Aifuta Kesi ya Wizi

Nyota wa uigizaji katika televisheni Marekani Kim Kardashian West ameondoa mahakamani keshi dhidi ya tovuti ya habari za udaku ya...

READ MORE

Marekani: Kura Zaanza Kupigwa Jimbo la Florida

Upigaji kura wa mapema umeanza katika jimbo muhimu linaloshindaniwa la Florida, ambapo Hillary Clinton na Donald Trump wanaendelea kushindana. Bw...

READ MORE

Mtoto Mchanga ‘Azaliwa’ Mara Mbili

MTOTO mchanga wa kike kutoka Lewisville, Texas, ‘amezaliwa’ mara mbili baada ya kutolewa katika kizazi cha mama yake kwa dakika...

READ MORE

Watu 50 Wauawa Kwenye Shambulio Pakistan

   Washambuliaji wenye silaha wamevamia na kushambulia kituo kimoja cha mafunzo ya polisi katika Mji wa Quetta nchini Pakistan. Imearifiwa kuwa...

READ MORE

Watu 12 Wauawa Katika Shambulio Mandera, Kenya

Takribani watu 12 wanahofiwa kufariki baada ya watu wenye silaha kushambulia eneo moja la malazi mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya....

READ MORE

Ndege Iliyobeba Maofisa wa Umoja wa Ulaya (EU) Yawaka Moto, Yaua 5

Malta, Luqa: Ndege iliyokuwa imebeba Maofisa wa Umoja wa Ulaya (EU) yadondoka na kuwaka moto muda mchache baada ya kupaa...

READ MORE

The Oriental Restaurant Introduces “The Oriental Market” at Hyatt Regency Dar es Salaam

    The ever popular Oriental Restaurant at Hyatt Regency Dar Es Salaam introduces a new fun and energetic way to...

READ MORE

Washindi Wote Wa Tuzo Za MTV Africa Music Awards 2016

  Mshindi wa tuzo ya Best Female Yemi Alade (Nigeria) akifanya mahojiano na MTV katika red Carpet ya MTV Africa...

READ MORE

Umoja wa Ulaya, SADC Kuimarisha Ushirikiano na Afrika Mashariki

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustine Mahiga akizungumza. Baadhi ya washiriki kwenye mkutano huo....

READ MORE

Obama Asikitishwa na Malalamiko ya Trump

  Barack Obama na Donald Trump. Rais Barack Obama wa Marekani ameyaelezea malalamiko yaliyotolewa na mgombea kupitia chama cha Republican, Donald...

READ MORE

Tyga: Nilionywa Kutompenda Kylie, Nikapotezea

  Michael Ray Stevenson ‘Tyga’ na Kylie Jenner. Mwanamuziki Michael Ray Stevenson ‘Tyga’, amefunguka kuwa amewahi kuonywa kutoingia kwenye uhusiano wa...

READ MORE

Nicki Minaj Adaiwa Kuachana Rasmi na Meek

Madai ya Nicki Minaj kumwagana na Meek Mill yalianza kuvuma tangu Agosti, mwaka huu lakini juzikati yalitokea mazingira ya kudhihirisha...

READ MORE

Etihad Yatunukiwa Hadhi ya Nyota Tano

 Wafanyakazi wa ndani ya ndege za Etihad, wakiwa na Peter Baumgartner na Edward Plaisted. Edward Plaisted (wa tano toka kushoto)...

READ MORE

‘Door of No Return’: Mlango Uliopitisha Mamilioni ya Waafrika Kwenda Utumwani

‘Door of No Return’. Rais Barack Obama na mkewe wakiwa ‘Door of No Return’  walipotembelea kisiwa cha Gorée Juni 27, 2013....

READ MORE

Marekani: Mtangazaji Aliyemhoji Trump Afukuzwa Kazi

  Shirika la Utangazaji la NBC nchini Marekani limemfuta kazi mtangazaji Billy Bush (pichani juu) ambaye amekuwa akiendesha kipindi cha...

READ MORE

Mfalme wa Mwisho wa Rwanda, Kigeli V, Afariki Dunia

Mfalme wa zamani wa Rwanda, Kigeli wa tano, Ndahindurwa amefariki dunia akiwa uhamishoni nchini Marekani. Mfalme huyo alitawala Rwanda kwa...

READ MORE