×

Kimataifa

Hizi Ndizo Ajali 8 za Ndege Zilizowahi Kuzikumba Timu za Michezo

Kuanzia ajali ya ndege ya Munich ambayo iliangamiza mabingwa mara tano wa timu ya soka ya Italia, Torino na timu...

READ MORE

Mbunge Afukuzwa Kanisani kwa Kusema ana Virusi vya HIV

Princes Kasune (40) ni mmoja ya wanaharakati maarufu wa ugonjwa wa ukimwi nchini Zambia na alichaguliwa kuwa mbunge kupitia chama...

READ MORE

Sababu ya Ndege ya Brazil Kuanguka ni Baada ya Kuishiwa Mafuta, Aliyenusurika Aaanika Mazito!

Ndege iliyokuwa imewabeba wachezaji wa timu ya mpira kutoka nchini Brazil ambayo ilipata ajali nchini Colombia inasemekana kwa mujibu wa...

READ MORE

Masikitiko Tena! Kipa wa Brazil Aliyenusurika Ajali ya Ndege Naye Afariki Dunia

         MWANASOKA wa Brazil aliyejiondoa katika mabaki ya ndege iliyoanguka nchini  Colombia Jumatatu usiku, alimpigia simu ya mwisho mkewe muda...

READ MORE

Mfalme Charles Mumbere wa Uganda Afunguliwa Mashtaka kwa Mauaji ya watu 62

UGANDA: Charles Wesley Mumbere, ambaye ni mfalme kutoka magharibi mwa Uganda amefunguliwa mashtaka ya mauaji kufuatia mapigano ya mwishoni mwa...

READ MORE

Mtanzania Anyakuwa Tuzo ya TEHAMA Kenya

Kila mwisho wa mwaka kumekua kukitolewa tunzo za utambuzi wa michango mbali mbali ya wana TEHAMA maeneo mengi ambapo mwaka...

READ MORE

Wananchi wa Cuba Watoa Heshima za Mwisho Kwa Mwili wa Rais Fidel Castro

HAVANA, CUBA: Maelfu ya raia wa Cuba wanatoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi mwanamapinduzi Fidel Castro, aliyeaga dunia Ijumaa...

READ MORE

Daktari Feki Afanya Upasuaji Wagonjwa 9 na Kufariki Mmoja, Apewa Ofa ya Kujiendeleza Kielimu

KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki aliyekamatwa nchini humo aruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari...

READ MORE

Burundi Yiishutumu Rwanda kwa Jaribio la Kumuua Mshauri Mkuu wa Rais Nkurunzinza

Burundi imemlaumu jirani wake Rwanda kwa kupanga jaribio lililofeli la kutaka kumuua mshauri mkuu wa rais Pierre Nkurunziza. Msemaji wa...

READ MORE

Huyu Ndiye Miss Afrika 2016

Mrembo wa Angola, Neurite Mendes ameibuka mshindi wa mashindano ya Miss Afrika 2016 Jumamosi iliyopita, na hivyo kuwa Balozi wa...

READ MORE

Njama 638 za Mauaji Alizoepuka Rais Fidel Castro

Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637 dhidi ya maisha yake ni...

READ MORE

Malia Obama Agonga Miaka 17, Kujiunga Harvard Hivi Karibuni

FAMILIA ya Rais Obama ilikuwa na furaha kubwa wikiendi iliyopita wakati mtoto wao Malia Obama alikuwa akitimiza umri wa miaka...

READ MORE

Machafuko Yanayoendelea Kwenye Kasri ya Mfalme Uganda, Mwandishi wa KTN Akamatwa

Mwandishi wa habari wa runinga ya KTN ya nchini Kenya, Joy Doreen Biira amekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa usalama...

READ MORE

Wasichana 2 Wakutwa Wakipigana Busu Juu ya Paa, Wafikishwa Mahakamani

MARRAKESH, MOROCCO: Wasichana wawili waliokutwa wakipigana busu katika paa la nyumba wamefikishwa mahakamani katika Mji wa Marrakesh nchini Morocco wakishtakiwa...

READ MORE

Cuba Kuomboleza Kifo cha Fidel Castro kwa Siku 9

Nchi ya Cuba itaomboleza kwa siku tisa kifo cha Fidel Castro, anayejulikana kwa siasa zake za kimapinduzi, aliyetawala taifa hilo...

READ MORE

Watu 55 Wauawa Katika Mapigano ya Polisi na Mgambo wa Kikabila Uganda

WATU wasiopungua 55 wameuawa leo katika mapigano makali yaliyotokea magharibi mwa Uganda kati ya majeshi ya usalama na mgambo wa...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Cuba, Fidel Castro Afariki Dunia

HAVANA, CUBA: Rais wa zamani wa Cuba, na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha nchini humo, Fidel Alejandro Castro Ruz...

READ MORE

Baada ya Kumwacha Pasqualino, Perrie Amdaka Chamberlain wa Arsenal

Perrie katika pozi. MWIMBAJI wa kundi la Little Mix, mrembo Perrie Edwards, anamwinda mcheza soka wa timu ya England na...

READ MORE

Genge la ‘Walaji Rushwa’ Lajitangaza Gazetini

Wakenya wengi mtandaoni wameeleza kushangazwa kwao na tangazo lisilo la kawaida ambalo limechapishwa katika gazeti moja kuu nchini humo. Tangazo...

READ MORE

Demu Mpya wa Cristiano Ronaldo Awatoa Udenda Midume

MWANASOKA maarufu wa timu ya Real Madrid (31), ya Hispania, Cristiano Ronaldo, amepata kimwana mpya ‘mkali’  aitwaye Georgina Rodriguez ambaye...

READ MORE

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege Kenyan Airways Ajiuzulu

KENYA: Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege Kenyan Airways la nchini Kenya, Mbuvi Ngunze amejiuzulu baada ya kufanya kazi na...

READ MORE

Nyota wa Filamu India Abeba Nguruwe na Kwenda Nayo Benki

Nyota wa filamu nchini India amezua hisia baada ya kupigwa picha akiwa amesimama katika foleni nje ya benki akiwa amebeba...

READ MORE

Kura za Jimbo la Wisconsin Huenda Zikahesabiwa Upya

Aliyekuwa mgombea wa urais katika uchaguzi wa Marekani huenda akafaulu katika harakati zake za kutaka kura kuhesabiwa upya. Donald Trump...

READ MORE

Clinton Anaongoza kwa Zaidi ya Kura 2m Dhidi ya Trump

Uongozi wa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton dhidi ya Donald Trump wa Republican katika kura za...

READ MORE

Hii Ndiyo Foleni Kubwa ya Magari Kuwahi Kutokea Duniani

Video ya foleni ndefu ya magari Kusini mwa Jimbo la California nchini Marekani imevuma sana mtandaoni, wengi wakisema huenda ndiyo...

READ MORE

Mahakama Yataka Neymar Afungwe Jela Miaka 2

WAENDESHA mashtaka nchini Hispania wamemtaka mshambuliaji wa Barcelona Neymar kufungwa jela miaka miwili kufuatia kuhusika kwake katika kesi ya ufisadi...

READ MORE

Uhaba Mkubwa wa Wafungwa Waikumba Uholanzi

Mfungwa wa Uholanzi katika gereza la Esserheem Huku maeneo mengi ya dunia yakihangaika na magereza yaliyojaa wafungwa kupita kiasi, Uholanzi...

READ MORE

Mchungaji Atoa Pepo Kwa Kuwapulizia Waumini Dawa ya Mbu Usoni

Mchungani mmoja nchini Afrika Kusini amekuwa akiwapulizia usoni waumini wake dawa ya kuua wadudu inayoitwa Doom kwa imani kuwa anawaondolea...

READ MORE

Pichaz: Manchester United Wajiwinda Dhidi ya Feyenoord Kesho

Kikosi cha kwanza cha Manchester United chini ya bosi wao Jose Mourinho leo kimefanya mazoezi katika Uwanja wa mazoezi wa...

READ MORE

Justin Bieber Amchapa Konde Shabiki Wake, Ampasua Mdomo

Mwanamuziki asiyeishiwa matukio, Justin Bieber amezua sintofahamu baada ya kumchapa konde na kumpasua mdomo shabiki wake aliyekuwa akimlaki wakati akiwasili...

READ MORE

Instagram Yazindua Video ya Matangazo ya Moja kwa Moja (Live Streaming)

   MTANDAO maarufu wa kijamii wa Instagram ndio mtandao wa huduma ya kijamii wa hivi karibuni kuzindua video za matangazo...

READ MORE

Rais Mugabe: Kuna Watu Ndani ya ZANU PF Wanakwenda kwa Wachawi Kuniroga Nife

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, mwenye umri wa mika 92, anazungumzia kuhusu kustaafu , lakini swali ambalo bado watu wanahoji...

READ MORE

Obama: Sitanyamaza Wakati wa Utawala wa Trump

Rais wa Marekani anayeondoka madarakani Barack Obama amesema huenda akazungumza, kinyume na utamaduni wa siasa Marekani, iwapo mrithi wake Donald...

READ MORE

Watu 96 Wafariki Baada ya Treni Kuacha Njia India

  WATU zaidi ya 96 wamefariki dunia leo baada ya mabehewa 14 ya treni kuacha njia kaskazini mwa Jimbo la...

READ MORE

Trump Alipa Dola Milioni 25 Kumaliza Kesi

MAREKANI: WAKILI wa rais mteule wa Marekani, Donald Trump ametatua kesi ya mamilioni ya madola iliyokuwa inamkabili mteja wake ili...

READ MORE

Wapwa wa Rais Watiwa Mbaroni kwa Kuingiza Kilo 800 za Cocaine, Marekani

MAREKANI: WAPWA wawili wa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro wamepatikana na hatia ya kujaribu kuingiza takribani Kilogramu 800 za Mihadarati...

READ MORE

Anyongwa Hadi Kufa kwa Kukutwa na Misokoto 14 ya Bangi!

Singapore: Mwanamme mmoja raia wa Nigeria amenyongwa hadi kufa nchini Singapore kwa kuhusika kwenye ulanguzi wa Madawa ya Kulevya baada...

READ MORE

RwandAir Yanunua Ndege Kali Afrika, Duniani ya Pili

MOJA ya vitu ambavyo vina ‘kiki’ sana kwenye Mataifa ya Afrika Mashariki kwa sasa ni pamoja na huduma za usafiri...

READ MORE

‘Fisi’ Mwenye HIV Akili Mahakamani Kuwa Alifanya Mapenzi na Wajane na Mabinti Wadogo 104

Uamuzi wa kesi ya mwanamme anayejulikana kwa jina la Eric Aniva nchini Malawi unatarajiwa kutolewa wiki hii, baada ya kukutwa...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Lapanua Huduma Zake Ulaya          

Ndege ya mizigo ya  Shirika la Ndege la Etihad, Boeing 777 kupitia kitengo chake cha Etihad Cargo. Idara ya Usafirishaji...

READ MORE