×

Kitaifa

Fahamu Sifa za Chama Kupata Wabunge Viti Maalum

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa tayari imeshatoa fomu kwa vyama vya siasa ili kupendekeza majina ya wabunge watakaopata...

READ MORE

Mbaroni Akituhumiwa Kuua Harusini, Kisa Zawadi

KIJANA Changwa Sebeki (19) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kumuua Kegoka Mwikwabe (22) anayedaiwa kumuondoa...

READ MORE

Mambosasa: Wa Mikoani Warudi Walikotoka

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi,...

READ MORE

Mwinyi Aapishwa Rais wa Zanzibar – Video

  ALIYEKUWA rais mteule  wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, leo Novemba 2, 2020, ameapishwa  kuwa rais wa awamu...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Mbaroni Tuhuma Kupanga Maandamano

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi wanne wa...

READ MORE

Winga UD Songo Akubali Kutua Simba

WINGA matata wa UD Songo ya nchini Msumbiji, Pachoio Lau Ha King ‘Lau King’ amekubali kusaini mkataba wa kukipiga Simba...

READ MORE

NMB Yafunga Mwezi wa Huduma Kwa wateja kwa Kuwanoa watoto

Katika kuhitimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja, Benki ya NMB, imewakutanisha na kuwapa watoto zaidi ya 25 elimu kuhusu masuala...

READ MORE

Polisi Yatoa Onyo Wanaotaka Kuandamana

KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo, CP Liberatus Sabas, amesema kuwa jeshi la polisi halitamvumilia mtu yeyote awe kiongozi wa chama...

READ MORE

Polepole: JPM Kuapishwa Novemba 5 “Hakuna Sherehe” – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

NMB Yatoa Vifaa vya Afya Iringa, Kagera

Katika kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja, Benki ya NMB kupitia Mameneja wake wa huduma kwa wateja wa Kanda ya...

READ MORE

Breaking: Magufuli Ashinda Urais, Kura Mil. 12.5 – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dkt. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti...

READ MORE

Wanawake Wadai Kubakwa na Askari Bila Kinga

HAKIYANANI; dunia ina vioja vingi! Baadhi ya wanawake jijini Dar es Salaam wameibua madai mazito kwamba wanabakwa usiku wa manane...

READ MORE

‘Wanaopanga Kuandamana, Dar Sio Shamba la Bibi’

KAMANDA wa Polisi Kanda Maaalum ya dar es salaam, Lazaro Mambosasa, amewaonya wanasiasa walioshindwa chaguzi kwenye mikoa mingine na sasa...

READ MORE

Mwana FA Ashinda Ubunge Muheza

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, amemtangaza Mwana Fa wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Prof. Kitila Ashinda Ubunge Ubungo

MSIMAMIZI wa uchaguzi jimbo la Ubungo, Beatrice Dominic,  amemtangaza Profesa Kitila Mkumbo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika...

READ MORE

Wafahamu Wabunge Waliopita Bila Kupingwa

WAGOMBEA ubunge 28 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioingia katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi hizo walipita bila kupingwa baada ya...

READ MORE

Aliyemwangusha Hawa Ghasia Ubunge Atoboa Siri Nzito

MMOJA wa wabunge wawili wa upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa wakati mchakato wa majumuisho ya mwisho ukiendelea,  Shemsia Mtamba, wa...

READ MORE

Nyumba ya Mshindi Ubunge Yanusurika Kuchomwa Moto

  POLISI mkoa wa Shinyanga inafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la jaribio la kuchoma moto nyumba ya mbunge mteule wa...

READ MORE

Ally Keissy Chali, Chadema Yashinda Nkasi Kaskazini

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nkasi Kaskazini amemtangaza Aida Khenani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mshindi wa...

READ MORE

Askofu Gwajima Ambwaga Halima Mdee Kawe – Video

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa ndiye mshindi wa jimbo hilo kwa kupata...

READ MORE

Bulaya Chali Bunda Mjini, CCM Yanyakua Jimbo

Ester Bulaya amepoteza jimbo la Bunda Mjini baada ya kushindwa na Robert Maboto wa CCM aliyepata kura 31,129 huku Bulaya...

READ MORE

Nyalandu Aangushwa Ubunge Singida

Mgombea ubunge kupitia Chadema Lazaro Nyalandu ameshindwa ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini baada ya kushindwa na mgombea wa CCM,...

READ MORE

Abbas Tarimba Ashinda Ubunge Kinondoni – Video

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni na Kawe, Aron Kagurumjuli amemtangaza mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kinondoni Abass Tarimba...

READ MORE

Mrisho Gambo Amshinda Lema Ubunge Arusha Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amemtangaza Mrisho Gambo wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa...

READ MORE

Daraja la Jangwani Lafurika Mafuriko, Wananchi Washangaa!

Baadhi ya wananchi wakilazimisha kupita katikati ya mafuriko.  Baadhi ya wananchi wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Kariakoo na Posta...

READ MORE

Breaking News: Dkt. Mwinyi Ashinda Urais Zanzibar – Video

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk Hussein Mwinyi kuwa mshindi wa...

READ MORE

Zitto Kabwe Chali Ubunge Kigoma Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini amemtangaza Kirumbe Ng’enda wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Shigongo Ashinda Ubunge Buchosa – Video

MSIMAMIZI  wa uchaguzi Jimbo la Buchosa, Crispin Luanda,  leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa...

READ MORE

Prof. Jay Ashindwa Ubunge

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay,  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameshindwa kutetea...

READ MORE

Tabasamu Ashinda Ubunge Sengerema – Video

MSIMAMIZI  wa uchaguzi jimbo la Sengerema, Magesa Mafuru, leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Sengerema, Hamis...

READ MORE

Prof. Mkenda Amburuza Selasini Rombo – Video

MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Jimbo la Rombo, Godwin Chacha, amemtangaza Profes  Adolf Mkenda wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi...

READ MORE

Jesca Amsambaratisha Mch. Msigwa Iringa Mjini

MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Tundu Lissu Apinga Matokeo ya Uchaguzi

  MGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametangaza kutokubali matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa...

READ MORE

Live Updates: Matokeo ya Urais Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kupokea na kutangaza matokeo ya kura za urais zilizopigwa jana Oktoba 28, 2020....

READ MORE

Breaking: Waitara Ambwaga Heche Tarime Vijijini

MSIMAMIZI wa uchaguzi katika Jimbo la Tarime Vijijini amemtangaza Mwita Waitara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa ubunge...

READ MORE

Hawa Ghasia (CCM) Ashindwa Ubunge, CUF Yaibuka Kidedea

Shamsia Mtamba kupitia CUF, ametangazwa ameshinda jimbo la Mtwara Vijijini baada ya kuibuka kidedea kwa kura 26,262, dhidi ya mpinzani...

READ MORE

CCM Yashinda Ubunge Mtwara Mjini

HASSAN SELEMAN wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshinda ubunge Mtwara Mjini kwa kupata kura 22,411 akifuatiwa na mgombea wa Chama...

READ MORE

Katambi Ashinda Ubunge Shinyanga Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga amemtangaza Patrobas Katambi wa CCM kuwa Mshindi wa kiti cha Ubunge...

READ MORE

Mkuchika Ashinda Ubunge Newala Mjini

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Newala Mjini, Mkoani Mtwara,  amemtangaza Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Mwanyika Ashinda Ubunge Njombe Mjini – Video

MSIMAMIZI wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Philip Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa...

READ MORE