×

Kitaifa

Waziri Mkenda Alipa Maelekezo Baraza Jipya La Chuo Cha DIT

Waziri Wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Baraza jipya la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na...

READ MORE

UVCCM Yavuna Wanachama Wapya 250 Sengerema

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi( UVCCM ) Wilaya ya Sengerema Mkoa Mwanza kimevuna Wanachama wapya 250 kwenye Kata...

READ MORE

NMB Yatoa Gawio la Kihistoria

Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Shilingi Bilioni 143.1 kwa mwaka 2022, sawa na shilingi 286 kwa kila...

READ MORE

Serikali Yakumbushwa Ahadi ya Ujenzi wa Wodi ya Wagonjwa Kituo cha Afya Nyamatongo

Kaimu Mganga Mkuu wa Kituo ya afya Nyamatongo kilichopo wilayani Sengerema Mkoa Mwanza, Stivin Godwin ameiomba serikali kutimiza ahadi ya...

READ MORE

Chongolo Aagiza Tume Ya Taifa ya Umwagiliaji Kusimamia Vizuri Ujenzi Skimu Mkombozi, Iringa

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametoa maagizo kwa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuhakikisha wanasimamia...

READ MORE

Chongolo Ashuhudia Wananchi wa Chamdindi Wakipata Maji Safi

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo  yupo Mkoani Iringa kwa ziara ya siku saba kukagua utekelezaji...

READ MORE

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango Atembelea Banda la NMB Arusha

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesikiliza Maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya...

READ MORE

Mabalozi, Wanachama CCM Wakumbushwa Umuhimu wa Kujitolea

Katibu Mkuu wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Oganaizesheni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) issa Ussi Gavu amewaomba wanachama na mabalozi...

READ MORE

Chongolo: Serikali ya Rais Samia Itaendelea Kutatua Changamoto Za Wananchi

Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM),  Daniel Chongolo amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia...

READ MORE

Madaktari bingwa 10 Waliokuwa India Warudi na Shuhuda Nzito Kuhusu Utalii Tiba

·      Wasema huduma walizoona India Tanzania zipo ·      Wampongeza Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa sekta ya...

READ MORE

Chongolo Afunguka “CCM Tunataka Katiba Iliyo Bora”

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema kwa sasa hakuna chama chochote cha Siasa au Mtu yeyote...

READ MORE

Waziri Wa Elimu”Wizara Itaendelea Kushirikiana na Wadau Kuhakikisha Mageuzi ya Elimu Yanafanikiwa

Kwa mara nyingine Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekutana na Wadau wa Maendeleo jijini Dar es Salaam kuwapitisha, kujadili...

READ MORE

Serikali Ya China Yapongezwa Kukuza Somo la Lugha ya Kichina Hapa Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Carolyne Nombo ameishukuru Serikali ya China kwa juhudi inazoonesha katika kuhakikisha...

READ MORE

Kamati Mpya ya Ushauri wa Kisekta ya ‘MUHAS’ Yatakiwa  Kutoa Maoni Ya Kuboresha  Mitaala Mipya

Kamati mpya ya Ushauri wa Kisekta ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) imetakiwa  kutoa maoni na ushauri...

READ MORE

NMB ya kwanza kuzindua Malipo kwa QR na UnionPay International

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na UnionPay International (UPI), wamezindua suluhisho la malipo ya kimtandao kupitia QR kwa wateja wao...

READ MORE

TASAC Yaendelea Kusimamia Vyema Udhibiti wa Huduma za Usafiri 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka 2022/23, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)limekamilisha hatua...

READ MORE

Wanafunzi Kidato Cha Sita St Anne Marie Academy Daraja la kwanza Kuzawadiwa Simu Janja ya iphone

  WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy watakaofiwa na wazazi wakiendelea na masomo hawatafukuzwa shule na badala yake...

READ MORE

Mbunge Shigongo Akutana na Waandishi Wa Habari Wa Mkoa wa Iringa Bungeni

Waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Iringa waliokuwa Bungeni kufuatilia hotuba ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tknolojia ya Habari,...

READ MORE

Jaji Mahakama Kuu Atoa Neno Usalama Wa Wafanyakazi na Miundombinu Ya Serikali

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Mhe. Paul Ngwembe, ametoa wito kwa viongozi wa Taasisi mbali mbali za...

READ MORE

Mbowe Atikisa Mkutano wa Hadhara Kasulu, Kigoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amekonga umati mkubwa wa wananchi wa Wilaya ya Kasulu Mkoani...

READ MORE

Muungano wa Viwanda vya Saruji Hautawezi Kutawala soko”Mdau Wa Maendeleo”

Wakati Serikali ikiwa imeweka sawa sakata la viwanda vya saruji bungeni, baadhi ya wadau wametoa maoni yao na kusema kuwa...

READ MORE

Chuo Kikuu Cha UDSM Kuadhimisha Wiki Ya Utafiti na Ubunifu

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeutaarifu umma wa watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki...

READ MORE

Airtel Yang’aa Maonesho Ya Wadau Wa Mawasiliano Viwanja Vya Bunge Dodoma

Kampuni ya Simu ya mkononi ya Airtel leo imeendelea na maonesho ya baadhi ya Huduma na bidhaa wanazotoa ambapo waheshimiwa...

READ MORE

Kamati ya watu 14 Kutoka Serikalini, Wafanyabiashara Yapewa Jukumu la Kumaliza Mzizi wa Fitna

IMEBAINIKA kuwa wafanyabiashara wakubwa wanaokwepa kodi za forodha za kuingiza makontena ya bidhaa kutoka China na baadhi ya wanasiasa ndiyo...

READ MORE

Madaktari Bingwa JKCI Wafanya Makubwaa Malawi 

MADAKTARI bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanikiwa kuwapatia matibabu ya kibingwa wagonjwa zaidi ya 724 wa...

READ MORE

Baada ya Kuibuka Kwa Sakata la Uuzwaji wa Hisa  za Tanga Cement kwa Twiga Cement,Wadau Wa Maendeleo Wahoji

UKWELI ni kwamba baada ya kuibuka kwa sakata la uuzwaji wa hisa  za Tanga Cement kwa Twiga Cement kumeendelea kuibua...

READ MORE

Hakielimu Yaishauri Serikali Kuongeza Bajeti Ya Elimu

TAASISI ya HakiElimu imeitaka Serikali kuongeza Bajeti ya Sekta ya Elimu ili kiwango cha fedha inayotengwa iwiane na viwango vilivyopendekezwa...

READ MORE

Wakaguzi wa Ndani Waanza Maadhimisho ya Mwezi wa Wakaguzi

TAASISI ya Ukaguzi wa ndani Tanzania (IIA) imeanza kuanzimisha mwezi wa wakaguzi wa ndani ulimwenguni ambao huadhimishwa kila ifikapo Mwezi...

READ MORE

NMB, ZIPA Zasaini Makubaliano ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar

KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, Benki ya NMB na Mamlaka...

READ MORE

Tantrade na TCCIA Zafungua Fursa za Soko Huru La Afrika (AfCFTA)

Leo tarehe leo 9 Mei, 2023  katika ofisi za TCCIA Kaimu Mkurugenzi Ukuzaji Biashara wa Mamlaka ya Maendeleo ya biashara...

READ MORE

NMB Yakarabati Wodi ya Uzazi Muhimbili

Benki ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya uzazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati...

READ MORE

Kampeni ya Upandaji Miti Yapamba Moto Kijiji cha Green Village Estate Bunju Mabwepande

  Naibu Kamishna na Mkurugenzi wa Uzalishaji Mbegu Bora za Miti na Vipando wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS),...

READ MORE

Mbunge Shigongo Awapa Ujumbe Wanachuo ‘MUHAS’ ‘Usipuuze Kipaji Mungu Alichokupa”

Mbunge wa Jimbo la Buchosa Wilayani Sengerema, Mhe. Eric Shigongoo  na Mhamasishaji Maarufu Afrika Mashariki na Kati, ambaye pia ni...

READ MORE

TanTrade Yapendekeza Mkataba wa Ruzuku za Uvuvi wa WTO Uzingatie Wafanyabiashara, Wavuvi Wadogowadogowadogo

 Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Biashara TanTrade Bw. Freddy Liundi akiambatana na Afisa Biashara Mwandamizi Bi. Magreth...

READ MORE

BoT Yaipongeza NMB Kwakuwa Kinara Miongoni mwa Mabenki 44, Yazindua Tawi Kwa Mrombo

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeipongeza Benki ya NMB kwa kuwa kinara miongoni mwa mabenki 44 nchini kwa ubunifu wa...

READ MORE

Waziri wa Elimu Awatakia Kheri ya Mitihani Watahiniwa Kidato Cha Sita

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa watahiniwa wanaonza mitihani leo Mei 02, 2023 kuzingatia...

READ MORE

Rais Samia Amerejesha Matumaini ya Watanzania- NGOs

MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili...

READ MORE

NMB ‘Yawapiga Msasa’ Wanawake wa TUICO – Morogoro

Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri Tanzania (TUICO), wametakiwa kuvutiwa na mafanikio...

READ MORE

NECTA Yafunga Vituo Viwili Vya Kufanyia Mitihani, Waliodanganya Mitihani Kidato Cha Nne Kurudia – Video

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo viwili vya mitihani ambavyo ni Shule Sekondari Thaqaaf iliyoko Mwanza na Twibhoki iliyoko...

READ MORE

Waziri Dk. Mabula Afafanua Upotoshaji Viwanja Vinavyomilikiwa na Kampuni ya Slipway Towers

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa ufafanuzi wa viwanja vinavyomilikiwa kampuni ya Slipway Towers Ltd...

READ MORE