×

Kitaifa

BREAKING: Majaliwa Awasili Msibani kwa Mama wa Eric Shigongo – Video

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili nyumbani kwa Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global...

READ MORE

TASWIRA YA MSIBA NYUMBANI KWA MAMA WA ERIC SHIGONGO – PICHAZ

NDUGU, jamaa na marafiki wamefika kuungana na waombolezaji na wafiwa wote nyumbani kwa marehemu Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya...

READ MORE

MZEE YUSUF AANGUA KILIO HADHARANI – (PICHA NA VIDEO)

HUKU ni kujawa na imani iliyo thabiti! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kiongozi wa zamani wa Kundi la Jahazi Modern...

READ MORE

Eric Shigongo: Mungu Amefanya!

KUFUATIA kifo cha mama yake mzazi, Bi. Asteria Kapera aliyeaga dunia alfajiri ya leo katika Taasisi ya Jakaya Kikwete Muhimbili...

READ MORE

FATMA KARUME; MWANAMKE WA CHUMA

UNA msemo wa Wahenga kutoka Magharibi mwa Tanzania mkoani Kigoma unasema; Mungu anatoa, hana choyo, usipomuomba pia anakuwa ghali. Kesho...

READ MORE

Tanzia: Mama Mzazi wa Eric Shigongo Afariki Dunia

KWA masikitko makubwa, uongozi wa Makampuni ya Global Group unasikitika kutangaza kifo cha mama mzazi wa Mkurugenzi wao Eric James...

READ MORE

Zilivyokamatwa Mashine Feki za Kubeti za Wachina – Video

Jeshi la polisi Mkoani Arusha Limekamata Mashine feki za Wachina zinazotumika kuchezeshea kamari ambazo ziliingizwa nchini kinyume na Utaratibu na...

READ MORE

RAIS WA TBF AKABIDHI BENDERA TIMU YA KIKAPU

    Timu  ya Mpira wa Kikapu ya Wazalendo inatarajiwa kuondoka nchini kesho Ijumaa  kuelekea Madagascar kwa ajili ya kushiriki...

READ MORE

JPM Kadhamiria, Bomberdiar Mbili Kutua Novemba

Serikali imeahidi kuleta ndege nyingine mbili za C Series ifikapo Novemba mwaka huu na Boeing nyingine Januari 2020, ikiwa na...

READ MORE

Wahamiaji Mikononi mwa Kamanda Muroto, Watapata Tabu Sana! – Video

Jeshi la polis mkoani Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila vibali.  ...

READ MORE

STARTIMES WAZIDI KUNOGESHA BURUDANI YA SOKA

  Katika kipindi hiki cha tetesi za usajili na usajili wa wachezaji katika ligi kubwa za Ulaya, Kampuni ya Star...

READ MORE

Kagera: Moto Wateketeza Mabweni, Mwanafunzi Afariki Dunia

MWANAFUNZi  wa darasa la tano katika Shule ya Msingi St. Joseph Rutabo mkoani Kagera amefariki na mwingine kujeruhiwa vibaya baada...

READ MORE

WAFAHAMU VIUMBE WATATU WA KUTISHA WA BAHARINI

PAMOJA na kuwepo viumbe vikubwa na vya kutisha baharini leo hii, mnamo zama za kale palikuwa na viumbe wakubwa zaidi...

READ MORE

Lugola Amwagiza IGP Sirro Kumpelekea Ripoti ya Mauaji ya Bodaboda

SIKU chache baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, kumwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP...

READ MORE

HALI YA USAFI COCO BEACH HAIRIDHISHI – WAZIRI MKUU

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya usafi Coco Beach hairidhishi na amewataka viongozi wa Manispaa ya Kinondoni wajipange...

READ MORE

TANZIA: Mpiga Picha Nguli wa Uhuru na Mzalendo Afariki Dunia

Mpiga picha wa zamani wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo Mzee Mwalimu Omari amefariki dunia leo Jumatano, Julai 25, 2918....

READ MORE

Ally Hapi Aagiza Polisi Kumweka Ndani Mmiliki wa Kampuni

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amemuagiza Mkuu wa Polisi wa wilaya hiyo kumkamata na kumuweka ndani kwa saa...

READ MORE

Ally Hapi Aanza Ziara ya Siku 20 Kinondoni, Acharuka – Video

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi amezindua rasmi ziara yake ya siku 20 ambapo atatembelea na kukagua miradi mbalimbali katika...

READ MORE

Babu Miaka 71 Anaswa na Vyeti 240, Mihuri 159 – Pichaz

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mzee wa miaka 71 na watu wengine watatu baada ya kukutwa na Nyaraka ...

READ MORE

Kamishna Kasike Afanya Mabadiliko Jeshi la Magereza

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi  la Magereza nchini, Phaustine Martin Kasike (pichani)  amefanya mabadiliko madogo ya kiuongozi kwa Wakuu wa Magereza...

READ MORE

SAMIA SULUHU: Kuharibu Alichokileta Mungu ni Kumkufuru

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaonya Watanzania kutokufuru uumbaji wa Mwenyezi Mungu kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Akifanya Usafi Eneo la Coco Beach – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo ameungana na wakazi wa wilaya ya Kinondoni kufanya usafi katika eneo la ufukwe wa Coco...

READ MORE

Leseni za Madereva FEKI 878 Zakamatwa – Video

LESENI 878 kati ya 73,904 za magari mbalimbali madereva wake wamebainika kuzitumia daraja lisilostahiki zikiwemo zilizokaguliwa kuanzia Julai 4 hadi 15,...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Mkutano wa Watu wa Lindi Waishio Dar

Kwa wanajamii wa Lindi waishio Dar es Salaam, hii inawasuhu. Ni Bonge la mkutano kuelekea Tamasha kubwa la mwaka na...

READ MORE

WAZIRI MKUU KUONGOZA ZOEZI LA USAFI COCO BEACH

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa kesho (Jumatano, Julai 25, 2018) anatarajiwa kushiriki zoezi za usafi eneo la Coco Beach pamoja na wananchi na...

READ MORE

MAMBOSASA AANIKA ASKARI WALIOHUSISHWA MAUAJI YA AKWILINA – VIDEO

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema kwamba askari waliokuwa wanashikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma mauaji...

READ MORE

Ujerumani Yakana Tuhuma za Ubaguzi Dhidi ya Özil

Shirikisho la Soka la Ujerumani (DFB), limekana kuhusika na tuhuma za ubaguzi dhidi ya mwanasoka, Mesut Özil (29) na kusema kuwa...

READ MORE

Makamu wa Rais Atishia Kulivunja Baraza la Madiwani Tunduma

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Tunduma mkoani Songwe linastahili kuvunjwa kutokana na...

READ MORE

Kangi Lugola Amsweka lupango Askari Polisi – Video

ASKARI Polisi mmoja wa Kituo cha Utalii na Diplomasia Mjini Arusha, jana alijikuta akizindua mahabusu ya kituo hicho kwa kuwekwa...

READ MORE

NMB Bank Yazindua Klabu ya kibiashara Mkoani Songwe

BANK ya NMB imezindua rasmi Klabu ya kibiashara maalumu kwa wafanyabiashara wa Tunduma katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.  ...

READ MORE

Tanga: Mbunge wa CUF Avuliwa Udiwani kwa Kutofika Vikaoni

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imemuondoa kwenye nafasi yake, Diwani wa Kata ya Ngamiani Kusini, Mussa Mbarouk,  ambaye pia ni...

READ MORE

OFISA TRA ANAYETUHUMIWA KUMILIKI MAGARI 19, ALIANZA KAZI AKIWA NAYO

Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi ( wa pili mbele) anayetuhumiwa  kumiliki magari 19 yenye...

READ MORE

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA BIASHARA LA KOREA NA TANZANIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea,  Lee Nak- yon akihutubia  katika  Kongamano la Pili la Biashara  na Uwekezaji Kati ya...

READ MORE

Breaking: Wauaji wa Bilionea Msuya Wahukumiwa Kunyongwa Hadi kufa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha, imewahukumu kunyongwa hadi kufa washitakiwa watano baada ya kukutwa na hatia ya kumuua...

READ MORE

JALADA KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA MIKONONI MWA DPP

UPANDE wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili mke wa bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (41) na mfanyabishara, Revocatus Muyella ...

READ MORE

Nafasi za Kazi Global Publishers, Mkuu wa Idara ya Usambazaji

Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa magazeti, ina nafasi za kazi za Maofisa Usambazaji wa Magazeti...

READ MORE

Madiwani 30 wa CCM Wapita Bila Kupingwa – Video

TUME ya taifa ya uchaguzi, NEC wamesema wagombea wa udiwani 3O kutoka CCM wamepita bila kupingwa baada ya wagombea wa...

READ MORE

MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAFUNGWA RASMI

    Katika  mafunzo ya siku tano ambayo yalihitimishwa Julai 20 mwaka huu, Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Bakari Kimwanga...

READ MORE

Naibu Meya, Madiwani CHADEMA Wajiuzulu Mbeya

IKIWA ni saa chache baada ya uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Mbeya kupendekeza kuwavua uanachama madiwani...

READ MORE