×

Kitaifa

Matokeo Mabaya Kidato cha 6 Jangwani, Jafo Afanya Maamuzi Magumu

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametaka uongozi wa shule ya Sekondari Jangwani kufanyiwa mabadiliko na kuwatoa walimu waliokaa zaidi ya...

READ MORE

MAKONDA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na mkewe wamefanikiwa kupata Mtoto wa kiume, ambaye wamempa jina la Keagan.  ...

READ MORE

Watu 40 Wamefariki kwa Mafuriko – Pichaz

TAKRIBANI watu 40 wamefariki dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua nyingi katika jimbo la Katsina, Kaskazini mwa Nigeria, mpakani na...

READ MORE

Kauli ya JPM kwa Machinga Mbezi: Biashara Haifanywi Porini – Video

RAIS Dkt. John Magufuli ametangaza neema kwa wafanyabiashara wadogo wadogo wa eneo la Mbezi Jijini Dar es Salaam kuendelea kufanya...

READ MORE

MTOTO MBARONI KIFO CHA MAMA YAKE!!

SHINYANGA: Kijana Ngassa Mathias (24), mkazi wa Kitongoji cha Kiloleli, Kijiji cha Ilebelebe, Kata ya Itilima, Wilaya ya Kishapu amekamatwa...

READ MORE

Mbunge Mabula Atembelea Ofisi za Global, Mwanza – Video

Mbunge wa Nyamagana, Stanislaus Mabula leo Jumatatu, Julai 16, 2018 amefanya ziara katika Ofisi za Kampuni ya Global Publishers zilizopo...

READ MORE

TICHA AMFANYIA KITU MBAYA DENTI WAKE

DAR ES SALAAM: Mwalimu mmoja aliyefahamika kwa jina la Rebeca wa Shule ya Sekondari ya Carmel iliyopo Mbezi jijini Dar...

READ MORE

MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAFUNGULIWA RASMI MJINI MOROGORO

    WAANDISHI wa Habari za Mahakama wametakiwa kufikisha habari fasaha kwa jamii inayowazunguka ipasavyo kwani wao ni nguzo muhimu...

READ MORE

Hatimaye Mahakama Kutoa Maamuzi Kesi ya Wema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu hadi siku...

READ MORE

Nape: Sina Mpango wa Kuhama CCM

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema hawezi kukihama chama hicho tawala kwa kuwa ana hisa nyingi. Nape ametoa kauli...

READ MORE

JPM: CCM Itatawala Milele, Wanaohangaika Watapata Tabu Sana – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amesema chama...

READ MORE

Shigongo: Nampenda Diamond, Aendelee Kuwekeza ‘Usiku Unakuja’ – Video

MKURUGENZI Mtendaji wa makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  amesema msanii Diamond Platinumz hatakuwa kinara wa Bongo Fleva milele hivyo zama...

READ MORE

WAZIRI WA MAMBO YA NJE CHINA AWASILI NCHINI

KOMREDI Song Tao Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti Cha China (CPC) amewasili nchini Tanzania na kupokelewa...

READ MORE

RAIS OBAMA ATUA BONGO – PICHAZ

Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi...

READ MORE

JPM ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA WILAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani...

READ MORE

WAZIRI MKUU: WANAUME PIMENI VIRUSI VYA UKIMWI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanaume wote wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wakapime afya zao ili kubaini kama wameambukizwa...

READ MORE

WAHITIMU SM ILALA BOMA 2000 WAKARABATI DARASA

      WANAFUNZI waliowahi kusoma Shule ya Msingi Boma Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam,  ambayo sasa inaitwa...

READ MORE

WAZIRI MKUU: SH. 43bn/- ZIMELIPA MADENI YA WATUMISHI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imelipa sh. bilioni 43 zikiwa ni madeni kwa watumishi wa umma na kati...

READ MORE

NMB YAPATA TUZO BORA  KUTOKA EUROMONEY NCHINI UINGEREZA

    JARIDA kongwe nchini Uingereza linalojihusisha na masuala ya utafiti wa kiuchumi na kibiashara la Euromoney, limeitangaza Benki ya...

READ MORE

Airtel Yatangaza Washindi wa Amsha Amsha

    KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na SportPesa imetangaza washindi wa wiki ya tatu ya...

READ MORE

Kamishna wa Magereza Aliyetimuliwa Kikaoni na Lugola Ang’atuka

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Naibu Kamishna wa Magereza, Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza akichukua nafasi...

READ MORE

KIGOGO ANASWA LIVE USIKU, ASEMA “NAOMBA NIPIGWE RISASI”

MOROGORO: “Jamani kwa hii aibu sitaweza kuendelea kuishi, naomba nipigwe tu risasi nife,” hayo ni maneno ya kuonesha kukata tamaa...

READ MORE

POLISI AMJARIBU LUGOLA KWA MENO YA TEMBO

DAR ES SALAAM: SIKU moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa waziri wa...

READ MORE

Dreamliner Mpya Kuanza Safari Zake ‘Soon’, Tiketi Zagombaniwa

SHIRIKA la la Tanzania (ATCL) linatarajia kuanza safari za ndege yake mpya iliyotua Jumapili iliyoipita, Dreamliner 787-8 mnamo Julai 29,...

READ MORE

MBUNGE WA ZANZIBAR MAHAKAMANI TUHUMA ZA UTAPELI

ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia  Amer na Athumani Rajabu leo Julai 11, 2018 wamepandishwa katika Mahakama...

READ MORE

ROMA, MAN FONGO ‘KUUMIZANA’ DAR LIVE JUMAPILI – PICHAZ

WASANII wa muziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki na mkali wa Singeli, Man Fongo,  leo wamethibitisha kushiriki katika Tamasha la...

READ MORE

Askari Polisi Ajiua kwa Risasi

ASKARI polisi wa kituo cha Polisi Natta,Wilayani Serengeti mkoani Mara, Nelson William,  amejiua kwa kujipiga risasi akiwa kazini jana Jumatano, saa...

READ MORE

Kifo cha Mke wa kibonde, Mtoto Asimulia A-Z – (Video)

Kufuatia Kifo cha mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephrahim Kibonde, Sarah Kibonde kilichotokea usiku wa kuamkia jana katika Hospital...

READ MORE

KISUTU: RCO, ILALA AULIZWA KAMA ANAPAFAHAMU ANAPOISHI RAIS MAGUFULI

MKUU wa Upelelezi Wilaya ya Ilala (RCO), Davis Msangi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hajawahi kumuhoji Rais Dkt....

READ MORE

Polisi Dar Yakamata Silaha Nzito, Matapeli wa Watalii na Benki – Video

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  KUPATIKANA...

READ MORE

Tusua Maisha: Meneja Global Aanika Washiriki Wanavyoshinda Pikipiki

  MENEJA Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers,  wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi na...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Mtangazaji Kibonde Afariki Dunia

#TANZIA: Mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephrahim Kibonde, Sara Kibonde amefariki dunia usiku huu wa Jumanne, Julai 10, 2018,...

READ MORE

TUSUA MAISHA NA GLOBAL: Washindi Droo ya Tatu Waanikwa – Video

KAMA kawaida kila Jumanne ya wiki, droo ya tatu ya Shindano la Tusua Maisha na Global imefanyika tena leo Julai...

READ MORE

CCM Yamteua Chiza Kuwania Ubunge Buyungu

Taarifa kwa Umma kuhusu kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

READ MORE

MASHINDANO YA ‘TULIA TRUST’ KUKUTANISHA MIKOA BARA, VISIWANI

    TULIA Trust waandaaji wa mashindano ya ngoma za jadi nchini yenye kauli-mbiu ya “Tuuenzi Utamaduni Wetu” wanatarajia kuanza...

READ MORE

Zacharia Aongezewa Kesi ya Uhujumu Uchumi, Kumiliki Bunduki Bila Kibali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Musoma hii leo Jumanne, Julai 10, 2018 imempa dhamana mfanyabiashara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria,...

READ MORE