×

Kitaifa

SERIKALI YAWARUDISHA KAZINI WATUMISHI DARASA LA SABA – VIDEO

Serikali imeagiza watumishi wa umma 1,370 walioajiriwa kabla ya Mei 20, 2004 ambao hawakufaulu mtihani wa kidato cha nne (darasa la...

READ MORE

MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA MAKAMPUNI YA CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2018 amekutana na Rais wa Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC),...

READ MORE

DKT. AKWILAPO ATUNUKU MEDALI MDAHALO WA WANAFUNZI

  WANAFUNZI mbalimbali kutoka Shule za Sekondari za serikali na shule binafsi hapa nchini wamepambanishwa na wanafunzi wengine kutoka nchi...

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Kupata Degree Tanzania Atunukiwa Tuzo

KAMA ulikuwa hufahamu basi naomba hii uiweke kwenye ubongo wako, Dkt Maria Kamm ndiye  mwanamke wa kwanza wa Tanzania kupata Shahada ya...

READ MORE

Aeshi Hilaly: Itafika Mahali Tutashikana Mashati Humu Bungeni – VIDEO

Mbunge wa Sumbawanga Mjini kupitia tiketi ya CCM, Aeshi Hilaly amesema kwamba kitendo cha serikali kuzuia wakulima wa mahindi kuuza...

READ MORE

Mtulia: Nimeingia kwa Dirisha Dogo Bungeni – Video

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia ametoa ushari kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambacho ni Chama kikuu cha...

READ MORE

Mbunge: Hatukuungana Kugawana Umaskini, Zanzibar Iheshimike – Video

Mbunge wa Malindi, Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), amesema kwamba muungano kati ya Tanzania Bara na Zanzibar,...

READ MORE

Mama, Wasanii Wamkumbuka Kanumba Kaburini Kwake – Video

IKIWA ni mwaka wa sita tangu tasnia ya filamu nchini impoteze staa wa filamu, Steven Kanumba, ‘The Great’,  wanafamilia, ndugu, jamaa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI: POLISI MSICHOME MASHAMBA YA BANGI – VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka maofisa wa Jeshi la Polisi na Makamishna wake...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lilimpa Rais Magufuli Mke – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Maguli amesema jeshi la polisi ndilo lilimpa mke aliye naye ...

READ MORE

Bombadier Mpya Yatikisa Bunge, Povu la Mbunge Laacha Watu Hoi – Video

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Rukwa, Aida Joseph Kenan amehoji bungeni mjini Dodoma kuhusu ununuzi wa ndege mpya ya...

READ MORE

Magufuli Aagiza Nyumba Mpya Wapewe Polisi Walionguliwa – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,...

READ MORE

MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA POLISI CHA KIDIPLOMASIA NA UTALII -VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 7, 2018 anazindua Kituo cha Polisi cha...

READ MORE

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO MAALUM BAHARINI

  JESHI  la Zimamoto na Uokoaji nchini limefanikiwa kupata wataalamu wa maokozi ya majini waliopatiwa mafunzo na wataalamu wa maokozi...

READ MORE

MLINGA AHOJI ‘BIBI’ KUVAA WIGI KWENYE NEMBO YA TAIFA

MBUNGE wa Ulanga, mkoani Morogoro (CCM), Goodluck Mlinga ameiomba Serikali ipige marufuku matumizi ya Nembo ya Taifa yenye picha ya...

READ MORE

Musukuma Ataka Watumishi Darasa la 7 Warudishwe Kazini – Video

MBUNGE wa Geita vijijini, Joseph Kasheku (CCM), ‘Musukuma’, ameitaka serikali iwarudishe kazini watumishi wote wenye elimu ya darasa la saba...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Sh Milioni 100, Mgunduzi wa Madini ya Tanzanite

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kumpatia pesa kiasi cha Tsh. Milioni 100, Mgunduzi...

READ MORE

Cecilia Pareso: Futeni tu Vyama vya Upinzani Kama Mnataka – Video

Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Cecilia Pareso amesema kama serikali ina lengo la kuwabana na kuwanyima haki wapinzani, basi ni...

READ MORE

MUME AMPASUA KICHWA MKEWE KWA SHOKA!

DAR ES SALAAM: Ukatili dhidi ya wanawake unaendelea! Siku chache baada ya Mtanzania Leyla Mtumwa kudaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu...

READ MORE

MSEMAJI ZIMAMOTO AFANYA ZIARA GLOBAL GROUP

    MSEMAJI wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Inspekta Joseph Mwasabeja akiambatana na ofisa habari wa jeshi hilo, Sajenti...

READ MORE

Mwigulu Aagiza Watu Hawa Wakamatwe, Wasiachiwe! – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba ameliagiza Jeshi la Polisi kuwatoza faini, kuwaweka ndani madereva wanaovunja...

READ MORE

JPM Awalilia 12 Waliokufa Ajalini Tabora, Ataka Polisi Kujitathmini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 12 vilivyotokea...

READ MORE

Waliokamatwa kwa Kuhamasisha Maandamano Wafikishwa Kortini – Video

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema watuhumiwa waliokamatwa kwa kuhamasisha maandamano mitandaoni amefikishwa mahakamani leo Alhamisi, Aprili 5,...

READ MORE

Riziki Lulida: Maaskofu Mnacheza Mchezo Katika Dini – Video

Mbunge Viti Maalum kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Mhe. Riziki Rulida amewataka Maaskofu nchini wasijingize katika masuala ya siasa kwa...

READ MORE

Roma akubali Kibamia kufungiwa, asajiliwa rasmi Basata 

  RAPA Roma Mkatoliki, leo Alhamisi amekabidhiwa cheti cha usajili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) baada ya kupewa...

READ MORE

Kheri: Wapinzani Wasahau Kuing’oa CCM Madarakani

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James amesema haitatokea chama hicho kikatolewa madarakani...

READ MORE

JOHN HECHE AUNGANISHWA KESI YA AKINA MBOWE

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CHADEMA), John Heche amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Aprili 5, 2018 kisha kusomewa...

READ MORE

Aveva Afika Mahakamani Huku Hali Yake Ikiwa Tete – Video

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva ambaye alikuwa akiugua kwa muda mrefu, leo Aprili 5, amefika katika Mahakama ya...

READ MORE

Majambazi Yavamia Kanisa Katoliki Mbezi, Yapora Sadaka za Pasaka

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia na kuvunja Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu, Mbezi Mwisho jijini...

READ MORE

Ndugai: Bashe Apeleke Hoja Yake Kwenye Chama Kabla ya Bungeni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai amesema suala la Mbunge wa Nzega Mjini (CCM),...

READ MORE

Zitto Kumsindikiza Nondo Uhamiaji, Awaita Wazee wa Ujiji Kumaliza Mambo

KIONGOZI WA Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema atamsindikiza Mwenyekiti Mtandao wa Wanafunzi Tanzania...

READ MORE

HOJA YA BABA NA DNA ZA WATOTO WAO YAIBUKA BUNGENI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile amesema watu wanaoenda kupima vinasaba (DNA) kwa mkemia, wanakuwa tayari wana wasiwasi....

READ MORE

HATIMA YA WEMA KESI YA MADAWA YAWADIA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kutoa maamuzi kuhusu kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili Muigizaji Wema Sepetu,...

READ MORE

MBOWE ATANGAZA MGOMO MPYA BUNGENI – VIDEO

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ametangaza mgomo mpya kwa wabunge wa upinzani akisema hawatasoma maoni yao...

READ MORE

MAJALIWA: SERIKALI YAAJIRI WAKAGUZI WA MAZINGIRA 450

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeongeza idadi ya Wakaguzi wa Mazingira kutoka 62 hadi kufikia 512 ili kuimarisha ukaguzi wa...

READ MORE

Airtel Money Yatangaza kugawa gawio la bilioni 1.8 leo kwa robo Ya Mwaka

Airtel Tanzania imetoa gawio linalofikia shilingi bilioni 14.8 hadi sasa kwa wateja wake na mawakala nchi nzima ikiwa ni  sehemu...

READ MORE

Ripoti Inatisha: Waume Kuua Wake, Wapenzi Wao!

Tukio la mauaji ya mke, Leyla Mtumwa almaarufu Ndaya (36) (pichani), linalodaiwa kufanywa na mumewe, Kema Salum Kasam­bula ‘Belly’ (38),...

READ MORE