×

Kitaifa

Zitto Kabwe Afunguka Sakata la Sukari ya Zanzibar – Video

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hakuna umuhimu wa serikali ya Tanzania Bara kuzuia bidhaa...

READ MORE

HATARI KUBWA: Jengo Hili Dar Kuporomoka Muda Wowote – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema serikali inafanya uchunguzi kuhusu mkandarasi aliyejenga jengo la ghorofa kumi...

READ MORE

Bungeni: Mtolea Amtaka Rais Asihudhurie Sherehe za Mapinduzi – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea amesema ni bora Rais wa Jamhuri ya Muungano asihudhurie Sherehe za Mapinduzi...

READ MORE

Mambosasa Athibitisha Kumkamata Diamond, Kupandishwa Kizimbani – Video

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amethibitisha kukamatwa kwa mwanamuziki, Diamond Platnumz na Nandy kufuatia...

READ MORE

Ushoga, Uchafu wa Diamond na Nandy, Mwakyembe Afunguka – Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani...

READ MORE

Spika Amjibu Mbowe Kunyimwa Gari, ‘Kufutwa Upinzani Bungeni’ – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametolea ufafanuzi hoja iliyotolewa na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, kuhusu iwapo kambi ya upinzani...

READ MORE

Shigongo Atoa somo la Ujasiriamali Chuo cha Tumaini – Video

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Group, Eric James Shigongo, mapema leo alipata fursa ya kutoa somo la ujasiriamali katika semina iliyokuwa...

READ MORE

THIS IS TOO MUCH… BUKU YAMTOA ROHO MUME WA MTU!

  THIS is too much! Matukio ya kinyama hasa mauaji yanazidi kushika kasi kwenye jamii ambapo tukio bichi ni la...

READ MORE

KUPATA MATUKIO YOTE PAPO KWA PAPO BOFYA HAPA

KUWA wa kwanza kupata habari zote za michezo wakati wowote zinapotokea, Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na...

READ MORE

UNYAMA! Baba Achinja Wanaye Mapacha, Mtoto Asimulia Alivyoshuhudia- Video

BWANA Respicius Diocress, mkazi wa Kijiji cha Butayaibega wilayani Bukoba mkoani Kagera anatuhumiwa kuchinja kwa panga na kuwatenganisha kichwa na...

READ MORE

NAFASI MPYA ZA KAZI JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi nchini latangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU.

READ MORE

YuMi: A robot capable of making shoes, food and bevarages

A FEW days ago, I was lucky to be one of the journalists who travelled to Johannesburg in South Africa...

READ MORE

Mvua Ilivyosababisha Maafa Dar

MVUA za masika zinazoendelea kunyesha zilisababisha maafa makubwa ikiwemo vifo vya watu wanne pamoja na watu kadhaa kujeruhiwa na ukuta...

READ MORE

MAFURIKO YASABABISHA VIFO VYA WATU TISA DAR – PICHA 15

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita zimesababisha mafuriko aktika maeneo mbalimbali ya jiji...

READ MORE

DUNIA KWISHA! BABU MBARONI KWA KUOA KATOTO MIAKA 12

AMA kweli dunia imekwisha! Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ na Serikali ya...

READ MORE

Wakimbizi wa Ethiopia Wakamatwa Dar, Mmoja Afariki Dunia

WAKIMBIZI kutoka Ethiopia wamekamatwa usiku wa kuamkia jana Jumapili, Aprili 15, 2018 majira ya saa 9.00 usiku wakiwa wamehifadhiwa katika...

READ MORE

Ikulu: Hatuna Taarifa na Tuzo ya Rais Magufuli Kutoka Ghana

MKURUGENZI wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa amesema Ikulu haina taarifa kuhusu tuzo aliyoshinda Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Kikwete, Nape, Profesa Jay Walivyotikisa Bungeni Leo – Video

Mkutano wa 11 wa Bunge la 11, Kikao cha 10, umeendelea leo Aprili 16, 2018 mjini Dodoma, ambapo asubuhi ya...

READ MORE

Musiba Kaibuka Tena, Selasini Atahamia CCM, Mbowe Miaka 200 Jela – Video

Mwanaharakati wa masuala ya siasa, Cyprian Musiba ameibuka na kujibu hoja ya Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (CHADEMA), aliyoiwasilisha bungeni...

READ MORE

ALIYEDAI NI MTOTO WA LOWASSA AOMBA RADHI -VIDEO

MWANAMKE Fatuma ambaye video yake ilisambaa katika mitandao ya kijamii ikimwonyesha akidai kwamba amekuwa akimtafuta baba yake tangu akiwa darasa...

READ MORE

KUPATA MATUKIO YOTE PAPO KWA PAPO BOFYA HAPA

KUWA wa kwanza kupata habari zote za michezo wakati wowote zinapotokea, Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na...

READ MORE

SHIGONGO AHUDHURIA NDOA YA MPWA WAKE MWANZA

  MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Global Group, Eric Shigongo amehudhuria hafla ya sherehe ya mpwa wake aitwaye, Emmanuel Aron....

READ MORE

Hivi Ndivyo Waethiopia 20 Walivyonaswa Uvunguni mwa Lori

LIVE! Dereva wa lori aina ya FAW Scania (semi trela), Mbaraka Kassim (40), mkazi wa Tabata jijini Dar anashikiliwa na...

READ MORE

BREAKING NEWS: FATMA KARUME ASHINDA URAIS WA TLS

WAKILI wa kujitegemea, Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Lawyers Society – TLS), akichukua mikoba...

READ MORE

MWANZA: MPWA WA SHIGONGO AUVUA UKAPELA

  MPWA Wa Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group Ltd aitwaye, Emmanuel Aron, wa Jijini Mwanza leo amefunga pingu za maisha...

READ MORE

Breaking: Polisi Wadaiwa Kupigana Risasi Tanga, Mmoja Afariki Dunia

ASKARI Polisi waliokuwa lindoni katika Benki ya CRDB Tawi la Tanga Mjini wanadaiwa kupigana risasi leo Jumamosi, Aprili 14, 2018...

READ MORE

WINNIE MANDELA AZIKWA SOWETO, AFRIKA KUSINI YASIMAMA – PICHAZ

MAZISHI ya aliyekuwa mpiganaji dhidi ya ubaguzi nchini Afrika Kusini, Winnie Mandela yamefanyika leo nyumbani kwake Soweto ambako aliagwa na...

READ MORE

TANZIA: MWANAMKE ALIYENYONYESHA TEMBO 230 AFARIKI DUNIA

Mhifadhi wa Tembo, Daphne Sheldrick kutoka nchini Kenya amefariki dunia kwa maradhi ya saratani akiwa na umri wa miaka 83,...

READ MORE

Mbunge Amlipua Mkuu wa Mkoa Hadharani – Video

MBUNGE wa Chadema wa Jimbo la Mlimba, Susan Kiwanga, ametoa hoja yake bungeni kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt...

READ MORE

Polisi Wakamata Watuhumiwa 368, SMG, Pistol, Shotgun na Risasi 145

  JESHI la Polisi nchini limefanikiwa kukamata Silaha mbalimbali na watuhumiwa 368 katika Oparesheni Maalum inayoendelea katika Ukanda wa Kusini...

READ MORE

WAZIRI WA BIASHARA ZANZIBAR AWASHAURI WAFANYABIASHARA KUWA WAMOJA

WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally amewashauri wafanyabiashara wa Zanzibar kuwa wabunifu katika biashara zao ili kuongeza...

READ MORE

WANANCHI WAKINUKISHA OFISI YA SERIKALI

WANANCHI waishio Mwananyamala Kata ya Mbuyuni jijini Dar, hivi karibuni walikinukisha katika ofisi za serikali ya mtaa wao kufuatia madai...

READ MORE

Mfanyabiashara Ateswa, Auawa!

MFANYABIASHARA mmoja aliyetambulika kwa jina la Godfley Charles ameteswa na kuuawa na watu wasiofahamika baada ya kukatwakatwa na mapanga wilayani...

READ MORE

Hussein Bashe Aicharukia Tamisemi Bungeni – Video

MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, ameishutumu Wizara ya Ofisi ya Rais – Tamisemi kwamba inashindwa kuwapa motisha walimu na...

READ MORE

RC Mrisho Gambo Apata Pigo

MAMA mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, Bi. Rehema Paulo Momburi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wawasili Polisi – Video

  Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na wenzanke wameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es salaam leo ikiwa...

READ MORE

WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...

READ MORE