×

Kitaifa

Mbunge Amlipua Mkuu wa Mkoa Hadharani – Video

MBUNGE wa Chadema wa Jimbo la Mlimba, Susan Kiwanga, ametoa hoja yake bungeni kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt...

READ MORE

Polisi Wakamata Watuhumiwa 368, SMG, Pistol, Shotgun na Risasi 145

  JESHI la Polisi nchini limefanikiwa kukamata Silaha mbalimbali na watuhumiwa 368 katika Oparesheni Maalum inayoendelea katika Ukanda wa Kusini...

READ MORE

WAZIRI WA BIASHARA ZANZIBAR AWASHAURI WAFANYABIASHARA KUWA WAMOJA

WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally amewashauri wafanyabiashara wa Zanzibar kuwa wabunifu katika biashara zao ili kuongeza...

READ MORE

WANANCHI WAKINUKISHA OFISI YA SERIKALI

WANANCHI waishio Mwananyamala Kata ya Mbuyuni jijini Dar, hivi karibuni walikinukisha katika ofisi za serikali ya mtaa wao kufuatia madai...

READ MORE

Mfanyabiashara Ateswa, Auawa!

MFANYABIASHARA mmoja aliyetambulika kwa jina la Godfley Charles ameteswa na kuuawa na watu wasiofahamika baada ya kukatwakatwa na mapanga wilayani...

READ MORE

Hussein Bashe Aicharukia Tamisemi Bungeni – Video

MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, ameishutumu Wizara ya Ofisi ya Rais – Tamisemi kwamba inashindwa kuwapa motisha walimu na...

READ MORE

RC Mrisho Gambo Apata Pigo

MAMA mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, Bi. Rehema Paulo Momburi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wawasili Polisi – Video

  Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na wenzanke wameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es salaam leo ikiwa...

READ MORE

WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...

READ MORE

LIVE: KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

IKIWA leo Aprili 13, 2018 ni Kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Kada wa CCM Adaiwa Kumywesha Sumu Mtoto wa Mchepuko!

SHINYANGA: Mtoto wa miezi 2 amenusurika kifo baada ya kunyeshwa sumu ya panya na baba yake, Edson Damian (37) aliyetaka...

READ MORE

MWENYEKITI APOTEA KIGOMA, ZITTO AUWASHA MOTO – VIDEO

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT -Wazalendo), Zitto Kabwe amemtaka Waziri wa Ofisi ya Rais -Tamisemi kulitafutia ufumbuzi suala la kutoweka...

READ MORE

Familia ya Shehe Yahaya Yagombea Maiti!

DAR ES SALAAM: Hali ya sintofahamu imeibuka katika familia ya marehemu Shehe Yahya Hussein na familia ya Idarusi, baada ya...

READ MORE

SAKATA LA KUTELEKEZA WATOTO, VIGOGO HAWA MATUMBO JOTO!

HII ni aibu ya karne! Mamia ya wanawake waliojitokeza juzi Jumatatu kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

ALIYEZAA NA MCHINA, PAPARAZI WAACHA GUMZO!

DAR ES SALAAM: Wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiendelea na zoezi la kuwasaidia wanawake waliotelekezewa...

READ MORE

CCBRT, TCCO WAENDESHA MAFUNZO YA MATIBABU YA NYAYO ZA KUPINDA

HOSPITALI ya  CCBT ya Jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na kutoa huduma na...

READ MORE

SAKATA LA WATOTO: MAKONDA AKANUSHA ORODHA YA VIGOGO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikiwa na orodha ya majina ya watu...

READ MORE

Mahawe: Serikali Inapiga Kazi Bana, Juhudi Hizi si za Kubezwa – Video

MBUNGE wa Mkoa wa Manyara (CCM), Ester Alexeander Mahawe, ameipongeza wizara ya Tamisemi iliyopo chini ya Waziri Jaffo kwa kazi...

READ MORE

Shabiby: Nondo Ana Umaarufu Gani, Mnachafua Serikali tu! – VIDEO

Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby, amesema hakuna umuhimu mamlaka za serikali kutumia vyombo vya abari kuwaita baadhi ya watu...

READ MORE

BWANA HARUSI AFARIKI AKIENDA KUTOA MAHARI

MAISHA ya mwanadamu ni siri ya Mola wake na akiamua kuyakatisha, basi hakuna mwanadamu wa kubisha!   NDOTO ZAYEYUKA Ndivyo...

READ MORE

Mwandishi, Wahariri Waitwa Bungeni kwa Madai ya Kudhalilisha Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amemtaka mwandishi wa gazeti la Raia Mwema, Paschal Mayala na...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFUNGUKA ANAVYOIKUMBUKA SIKU YA MWISHO YA SOKOINE

  IKIWA leo ni Kumbukumbu ya Kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Moringe...

READ MORE

ATCL Yaondolewa International Air Transport Association kwa Madeni

  SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) limeondolewa katika Mfumo wa Malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (International...

READ MORE

MSIGWA: Prof. Kitila Kakazana Kujibu Maaskofu, Kasahau Kazi Yake! – Video

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema ili kujenga taifa lenye nguvu ni lazima kuwepo na hoja zinazokinzana...

READ MORE

Bobali: Mwenyekiti, Mfikishie Rais, Tatizo Analo Waziri Mpango – Video

Mbunge wa Mchinga kupitia CUF,  Hamidu Bobali, amedai kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, hapeleki fedha za...

READ MORE

RAIS MAGUFULI: MZEE KIKWETE WATANZANIA ‘TUNAKUMISI’

  RAIS Dk. John Magufuli amesema kwa kazi kubwa ambayo imefanywa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye uongozi wake kuna...

READ MORE

MMILIKI WA MABASI YA HBS NA SABENA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI

Mfanyabiashara Sultan Ahmed au maarufu Chapa ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya HBS na Sabena anadaiwa kujiua kwa...

READ MORE

JPM Ateua M/Kiti Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesbau- NBAA

Rais Magufuli atweua Mwenyekitu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesbau- NBAA

READ MORE

Uingereza: Mwili wa Leyla Kukaa Mochwari Zaidi ya Mwezi – Video

IKIWA leo ni siku ya 13 tangu mtanzania aliyeuawa na mumewe, Kema Salum, nchini Uingereza, Taarifa  zilizotufikia zinasema kuwa bado...

READ MORE

VIGOGO WALIOTELEKEZA WATOTO WAFIKIA 107, MSAKO KUANZA KESHO

      Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa kuanzia kesho Alhamis wanaume wote ambao...

READ MORE

SPIKA NDUGAI: Makonda Amenitikisa – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi linaloendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Jumanne, Aprili 10, amezindua chanjo ya...

READ MORE

MCHENGERWA: Waziri Mkuu Atueleze, Migogoro ya Kisiasa Inasababishwa na Nini?

Kikao cha Sita cha Mkutano wa 11 Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichofanyika jana Aprili 10,...

READ MORE

Tundu Lissu Apasuliwa Tena Mguu, Atoa Kauli

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kwa amara nyingine tena, leo Aprili 11, 2018 ataingia kwenye chumba cha...

READ MORE

NDONYA KWA WAMAKONDE ILIKUWA SILAHA YA KUJILINDA

WAMAKONDE na Wameto wa Msumbiji wanaishi katika Mkoa wa Cabo Delgado Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na Wamakonde wa Tanzania wanaishi...

READ MORE

Mama, Bintiye Wauawa, Watumbukizwa Chooni – Video

AKATI tukio la Mwandishi na Mhariri wa Gazeti la Kingereza la The Guardian, Finnigan Simbeye kuokotwa akiwa hajitambui huko Bunju...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe kwa Jembe

HALI ya sintofahamu imewakumba wananchi wa Kitongoji cha Magharibi na wananchi wa Kijiji cha Mwibagi katika Kata ya Kyanyari, wilayani...

READ MORE

WAWILI WAONDOKA NA BODABODA SHIKA NDINGA YA EFM

WAKAZI  wawili wa Dar es salaam, Ashura Ramadhan na Abbas Awadhi waliibuka kidedea baada ya kuwa  washindi katika shindano la shika...

READ MORE

Wanaume Dar Waliotelekezewa Watoto Wajitokeza Kwa Makonda – Video

  Baadhi ya wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam leo wamejitokeza kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE