×

Kitaifa

Bosi wa Gesti Matatani Kifo cha Mfanyabiashara

SAKATA la kuuawa kwa mfanyabiashara Charles Nyanga Magesa (31) kisha maiti yake kutupwa katika kisima chenye maji machafu karibu na...

READ MORE

Mke wa Mtu Adai Kuruhusiwa Kuzaa Nje ya Ndoa, Afanya Kweli

NI aibu nzito! Mwanamke mmoja, Esta Msomi (26) (pichani), mkazi wa Kijiji cha Mwibagi kilichopo katika Kata ya Kyanyari Wilaya...

READ MORE

Ndugai Arejea Nchini Akitokea India kwa Matibabu

Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini leo Aprili 3, 2018 akitokea India alikokuwa amekwenda kwa...

READ MORE

MBOWE BAADA YA KUACHIWA: Nimeyaona Mengi Gerezani – Video

MAHAKAMANI KISUTU: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na viongozi wenzake sita wa chama hicho wameachiwa kwa dhamana leo. Viongozi hao wanakabiliwa...

READ MORE

MANDOJO KUVUNJIWA NYUMBA YA MAMILIONI… KUNA KITU!

BAADA ya msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Joseph Francis Michael ‘Mandojo’ kuvunjiwa nyumba yake ya mamilioni iliyokuwa maeneo ya Mbweni...

READ MORE

Masogange Akwepa Jela Hukumu Kesi ya Madawa, Alipa Faini – VIDEO

MSANII wa muziki nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amekwepa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kulipa faini ya Sh. milioni...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Waachiwa kwa Dhamana, Mdee Auanganishwa – Video

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Chadema Wafurika Mahakamani Kusubiri Dhamana ya Mbowe – Pichaz

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo wamefurika katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar  wakiimba nyimbo...

READ MORE

KISUTU: Mbowe na Wenzake Wafikishwa Mahakamani kwa Dhamana

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzanke watano wa chama hicho wameshafikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakisubiri shughuli za kimahakama...

READ MORE

Rais Magufuli Akikagua Mtambo wa Kufua Umeme, Kinyerezi 2 (Video)

Rais Dkt. John Magufuli leo Aprili 3, anazindua mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini...

READ MORE

Pasaka; Lulu, Akina Mbowe Watikisa Segerea

Wakati Wakristo wote na wasio Wakristo duniani wakishere­hekea Sikukuu ya Pasaka juzi na jana, muigizaji wa sinema nchini, Elezabeth Michael...

READ MORE

Kisa Kudaiwa na kaka yake, Gari la Waziri Tizeba Kupigwa Mnada – Video

Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Geita, limetoa amri ya kukamata na kuuza gari lenye namba T 961 DEZ,...

READ MORE

Shuhudia Diamond Akiimba Mbele ya Magufuli – Video

Msanii nyota Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata fursa kuimba mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo jioni wakati...

READ MORE

Mtanzania Aliyedaiwa Kumuua Mkewe kwa Visu London, Full Story

  SIMULIZI ya Mbongo aliyetajwa kwa jina la Belly Kasambula (38), kudaiwa kumuua mkewe, Leyla Mtumwa almaarufu Ndaya (36), wote...

READ MORE

JPM: Nafahamu Zaka Zimepungua Makanisani, Zilikuwa za Mafisadi – Video

RAIS Dkt. John Pmbe Magufuli ‘ametupa jiwe gizani’ na kufunguka kuwa kwa sasa Zaka katika makanisa zimepungua kwa sababu fedha...

READ MORE

GLOBAL PUBLISHERS APP YAMWAGA ZAWADI ZA BEATS BY DRE, PASAKA

APPLICATION ya Global Publishers inayopatika kwenye smartphones zote za Android na iOS imezidi kutikisa mitandaoni huku ikiteka maelfu ya watu...

READ MORE

LIVE: PM MAJALIWA AZINDUA MBIO ZA MWENGE 2018 – GEITA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa mikoa ya Tabora, Geita, Mtwara na Shinyanga ambayo inaongoza kwa utoro wa...

READ MORE

Aamka, Akuta Jeneza Nje ya Nyumba!

MBEYA: NELSON Edson, mkazi wa Mtaa wa Nsalaga Kata ya Nsalaga jijini hapa amejikuta kwenye taharuki kubwa baada ya kuamka...

READ MORE

Halima Mdee Akamatwa na Polisi Akitokea Afrika Kusini

Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee. Mdee amekamatwa leo alfajiri...

READ MORE

TECNO KUJA NA KAMERA YA AINA YAKE

KUFUATIA matoleo ya simu mbalimbali yaliyotangulia, TECNO, imekua ikitajwa  ikihusishwa na ujio wa toleo jipya ikikisiwa kuwa ni muendelezo wa...

READ MORE

NABII ELISHA, OLIVIA WASIMIKWA RASMI UTUMISHI WA MUNGU

MANABII wawili wa Kanisa la Repohim lililopo Sinza-Meeda jijini Dar es Salaam wamesimikwa rasmi kuwa manabii halali baada ya kupakwa...

READ MORE

EXCLUSIVE: DR SHIKA Karudi Tena kwa Kishindo, Mabilioni Yake Je? – VIDEO

Miongoni mwa watu waliotikisa mwishoni mwa mwaka jana 2017, huwezi kumuacha Dkt Luis Shika, ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kufuatia mnada...

READ MORE

Mwanamke wa Kitanzania Auwawa Kinyama Uingereza

MWANAMAMA Leyla Mtumwa (36) mkazi wa Arusha ameuawa jijini London nchini Uingereza kwa kuchomwa visu na mwanaume mwenye umri wa...

READ MORE

Meneja Kampeni wa Lema Ahamia CCM – Video

Katibu Mwenezi wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia alikuwa Meneja Kampeni wa Mbunge wa Ausha Mjini, Godbless...

READ MORE

WADAU WATARAJIA KITU TOFAUTI KUTOKA TECNO

KAMPUNI ya simu ya TECNO kufuatia ongezeko la matumizi ya simu za mkononi, makampuni mbalimbali yamekua yakija na matoleo tofauti...

READ MORE

Askofu Chengula: Ujumbe wa Maaskofu Unalenga Wanafiki Wanaojidai Wakristo

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya, Evarist Chengula amefungukia kuhusu ujumbe uliotolewa hivi karibuni na maaskofu huku akiwataka Watanzinia...

READ MORE

Musiba Adai Kikundi Kinachofanya Mauaji Kinatoka Chadema, Ataja Majina – Video

MWANASIASA aliyekuwa ACT Wazalendo na hivi karibuni kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Cyprian Musiba amesema kuwa, matukio yote ya uhalifu...

READ MORE

Musiba Awashambulia Viongozi wa Dini Wanaomdiss JPM – Video

  MWANASIASA aliyekuwa ACT Wazalendo na hivi karibuni kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Cyprian Musiba amewajibu baadhi ya viongozi wa...

READ MORE

Kuelekea Pasaka; Mambosasa Atoa Onyo – Video

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejipanga vyema kuimarisha ulinzi katika kipindi cha sikukuu ya...

READ MORE

MAKAMU RAIS ZAMBIA ATUPWA JELA KWA KUVAMIA KITUO CHA UTANGAZAJI

KIONGOZI wa chama wa Chama cha Movement for Multiparty Democracy (MMD) cha Zambia, Dr Nevers Mumba, ametiwa hatiani na kuhukumiwa...

READ MORE

MAMBOSASA AFUNGUKA ASKARI ANAYEDAIWA KUMUUA AKWILINA -VIDEO

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema askari aliyefyatua risasi iliyomuua Akwelina Akwelini, bado hajatambulika...

READ MORE

Bombardier Iliyozuiliwa Canada Yaachiwa, Ipo Njiani Kutua Tanzania

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewathibitishia wananchi kuwa ndege yake aina Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada imeruhusiwa...

READ MORE

POLISI WAUA MTUHUMIWA WA UJAMBAZI DAR – VIDEO

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuua kwa risasi mtu mmoja anayedaiwa kuwa jambazi maeneo ya Buza...

READ MORE

Muasisi wa Chadema, Mzee Kimesera Azikwa Makaburi ya Kinondoni -Pichaz

MWANASIASA mkongwe nchini ambaye alikuwa muiongoni mwa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Victor Kimesera ameibua simanzi,...

READ MORE

FAMILIA YA WATU 6 KUFARIKI AJALINI, NI ZAIDI YA MSIBA

DAR ES SALAAM: unaweza kusema huu ni zaidi ya msiba kufuatia ile habari ya watu sita wa familia moja wakazi...

READ MORE

Ndoa ya Denti Shule ya Salma Kikwete Aibu!

  DAR ES SALAAM: Aibu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya ndoa ya denti wa kidato cha pili wa Shule ya...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Kizungumkuti, Kula Pasaka Segerea

DHAMANA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADENMA), Freeman Mbowe na viongozui wenzake watano imeshindikana kutolewa kutokana na madai...

READ MORE

CAG Aomba Radhi Kuhusu Deni la Taifa -Video

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Musa Assad Ameomba radhi kwa usumbufu ulijitokeza baada ya kutoa taarifa za...

READ MORE