×

Kitaifa

MJANE AMMWAGIA MACHOZI MAKONDA

    RUKIA Said ni mama mjane. Mapema leo alikusanya waandishi wa habari na kutoa kilio chenye kuumiza na kugusa...

READ MORE

Orodha ya Majina ya Watumishi wa Umma Wanaostahili Kulipwa Madai Yao

Baada ya kukamilisha kuhakiki majina ya watumishi wanaodai stahiki zao ikiwemo malimbiko ya mishahara na madeni mengine, serikali imeanika majina...

READ MORE

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CWT SINGIDA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) mkoa wa Singida Mwalimu Aron...

READ MORE

PICHAZ: RC MAKONDA AKITATUA KERO ZA WANANCHI DAR

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

READ MORE

LOWASSA AWAONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI  KUUAGA MWILI WA TAMBWE HIZA

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward  Lowassa  amewaongoza  mamia ya wakazi wa Dar es salaam kuuaga mwili wa mwanasiasa  wa...

READ MORE

Makonda: Mchungaji Aliyemzalisha Mwanafunzi na Kumtelekeza Akamatwe

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa...

READ MORE

RC MAKONDA ATUMBUA VIGOGO DAR, AFUTA MABARAZA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefanya maamuzi magumu baada ya kusimamisha shughuli zote za mabaraza ya...

READ MORE

JPM Amteua Mohamed Haji Kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amempandisha cheo na kumteua Bw. Mohamed Hassan Haji kuwa...

READ MORE

UTAPELI MPYA FEDHA KWENYE SIMU YAKO WATIKISA NCHINI!

  BADO wizi wa fedha za kwenye mitandao ya simu unaendelea kutikisa nchini ambapo kwa sasa njia mpya imeibuka ambayo...

READ MORE

SIKU MOJA BAADA YA KUOLEWA… BIBI HARUSI AIKIMBIA NDOA!

  Siku moja tu baada ya kuolewa kisha kwenda kuishi kwa mumewe kwa siku moja, bibi harusi, Shani Saidi ‘15’,...

READ MORE

Kichanga cha Gigy Money Hatarini Kufia Tumboni

BAADA ya staa wa muziki wa Bongo Fleva na muuza sura katika video mbalimbali za wasanii wa muziki ambaye kwa...

READ MORE

LIVE: RC MAKONDA ATATUA KERO ZA WANANCHI DAR

LIVE: RC MAKONDA AKISIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA DAR

READ MORE

Kenya Kujenga Mradi wa Gari Zipitazo Juu ya Nyaya

  Serikali ya Kenya imeingia mkataba wa dola $57.2 millioni ambazo ni Ksh5.8 billioni (sawa na TZS 128.7 bilioni) na Kampuni ya...

READ MORE

AIRTEL YAZAWADIA WATEJA 2,000 INTENETI BURE TENA

    KAMPUNI ya simu za mkokoni Airtel Tanzania leo imewazadia washindi 2,000 wa droo ya Pili wa promosheni ya...

READ MORE

TAMBWE HIZA KUZIKWA KESHO CHANG’OMBE

Kulia ni mtoto wa marehemu, Agnes Richard akifarijiwa.   MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard...

READ MORE

Kisutu: Wema Atinga Kortini na Wakili Mpya

KESI  ya mrembo Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo...

READ MORE

Diamond Kortini Sakata la Kumtunza Mtoto wa Mobeto – Pichaz

MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ leo amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Mtwara: Mtoto Auawa Kikatili kwa Kukatwa Panga

MTOTO mwenye umri wa miaka Mitano Jazaka Mussa, ameuawa kikatili kwa kukatwa na Panga kichwani na mtu asiyefahamika katika kijiji...

READ MORE

Mlinga: ‘Maprofesa wa Tanzania Wana Matatizo Gani’?

  MBUNGE wa Ulanga mkoani Morogoro, Goodluck Mlinga (CCM) amemvaa Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Prof. Joyce Ndalichako akidai...

READ MORE

WASHINDI 2,000 WAIBUKA KIDEDEA SMATIKA YA AIRTEL

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mbando,(katikati) akiwapigia simu washindi wa  Yatosha SMATIKA Internet  baada ya kuchezeshwa droo kwa kuwapatia bando...

READ MORE

GLOBAL HABARI: CHADEMA YALIA KUTEKWA MGOMBEA WAO WA UDIWANI

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani kitendo cha mwanachama wake, Athanas Makoti, ambaye ni mgombea udiwani katika kata...

READ MORE

Mwigulu Avamia Shamba la Bangi, Alichokifanya… Bofya Hapa – Video

WAZIRI wa mambo ya ndani nchini,Mwigulu Nchemba leo ameongoza oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari  sita za bangi zilizokuwa zimelimwa...

READ MORE

Chadema Yalaani Kutekwa Mgombea Udiwani Muleba

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani kitendo cha mwanachama wake, Athanas  Makoti, ambaye ni mgombea udiwani katika kata...

READ MORE

CHADEMA: PROF. JAY AMEKATALIWA KUMUONA SUGU GEREZANI

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa kimedai kuwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof. Jay na mkewe...

READ MORE

LIVE: MKUTANO WA KUMI WA BUNGE

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATANO, FEB 7, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Feb 7, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

Msukuma Amtolea Povu la Mwaka Waziri wa JPM

MBUNGE na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemshambulia kwa maneno Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina...

READ MORE

JPM Azindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi

RAIS Dkt. Magufuli leo  Februari6,  2018 amezindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi (Comprehensive Training Center – CTC) kilichopo Mapinga katika...

READ MORE

GLOBAL HABARI: SUMAYE AICHARUKIA TUME YA UCAGUZI

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa CHADWMA Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia...

READ MORE

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI WA LESOTHO ATEMBELEA MRADI WA DART

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (wa tatu kulia) akisisitiza jambo akiwa kwenye moja ya Mabasi yaendayo...

READ MORE

DC ILALA AZINDUA UTARATIBU KUWATAMBUA MACHINGA KARIAKOO

  MKUU  wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, leo amezindua utaratibu maalumu wa kuwatambua wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama Wamachinga  kwa...

READ MORE

WASTARA AANZA RASMI MATIBABU INDIA – PICHAZ

Msanii wa filamu za Bongo, Wastara Juma, tayari ameshawasili nchini India na kuanza rasmi matibabu ya mguu wake katika Hospitali...

READ MORE

Breaking News: Moto Wateketeza Maduka Mbagala – Video

Moto umelipuka na kuteketeza maduka zaidi ya 10 katika maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu, Raound About ya kuelekea Charambe, mchana...

READ MORE

Aliyekamatwa na Mabilioni Airtport Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru na kumrudishia fedha zake, Winfred Busige (33), raia wa Uganda aliyekamatwa akisafirisha fedha...

READ MORE

Nassari Kortini kwa Tuhuma za Kumpiga Diwani

Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Joshua Nassari leo Februari 6, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya...

READ MORE

Bilionea Aliyefunga Ndoa na Wake Wawili kwa Mpigo Aanika Alichofanyiwa na TRA

Ili kuisoma Exclusive hii…. ingia #GlobalPublishersApp. Kama huja-install tumekurahisishia sana, Install #GlobalPublishersApp sasa na uingie kwenye MENU ya MAGAZETI utasoma kila...

READ MORE

SHEHE MKUU AMVAA MANGE, AMPA MWAKA MMOJA – VIDEO

  SHEHE  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa amemuonya mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi kwa madai kuwa amemporomoshea...

READ MORE

JPM, JK, Lowassa Walivyomzika Mzee Kingunge – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya...

READ MORE