×

Kitaifa

Mambosasa Asema Miili Iliyokutwa Kwenye Viroba Hajui Ilikotoka

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema miili ya wanaume watatu iliyokutwa pembezoni mwa Bahari ya...

READ MORE

Askofu Niwemugizi Aamua Kukubali Kuitwa Mchochezi

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Ngara, Severin Niwemugizi amesema yuko tayari kuitwa mchochezi endapo kundi la watetezi wa haki za binadamu...

READ MORE

Kubenea Aitaka Serikali Kulifungulia MwanaHalisi Ndani ya Siku 2 – Video

WAHARIRI wa Gazeti la MwanaHalisi linalomilikiwa na Mbunge, Saed Kubenea lililofungiwa na serikali wamekanusha taarifa ya serikali kuwa gazeti hilo...

READ MORE

Shirika la Restless Lawataka Vijana Kuwa wabunifu wa Maendeleo

  Shirika la Restless Development Limewataka Vijana Kuwa wabunifu wa MaendeleoKongamano katika maeneo mbalimbali yanayowazunguka ili kuwawezesha katika fursa za...

READ MORE

Hukumu ya Yusuf Manji Oktoba 6

MAHAKAMA ya Hakimu ya Mkazi Kisutu, imepanga Oktoba 6, mwaka huu kutoa  hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili...

READ MORE

Sekretari wa Manji Amtetea Bosi Wake Mahakamani

  KESI ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeendelea leo wakati...

READ MORE

DROO KUBWA SHINDA NYUMBA… KESHO HAPATOSHI LAS VEGAS

DROO kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, sasa itachezeshwa kesho Jumatano katika Viwanja vya Las Vegas...

READ MORE

Wananchi Wamhoji Nape Maana ya Bombardier

WANANCHI wa jimbo la Mtama mkoani Lindi wamemhoji mbunge wao, Nape Nnauye kuhusu ndege aina ya Bombardier, wakitaka kujua inawasaidiaje....

READ MORE

Daktari Aanika Kuhusu Vyuma Vinne Kwenye Moyo wa Manji

DAKTARI Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Hospitali ya Aga Khan, Mustapha Bapumia (62) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Rais Magufuli Awazungumzia Lema na Nassari

RAIS Magufuli amewazungumzia wabunge wawili wa (CHADEMA) Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema pamoja na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe....

READ MORE

Mwakyembe Apiga Marufuku Tuzo za Muziki na Mashindano ya Miss Tanzania

WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepiga marufuku uandaaji na uendeshwaji wa mashindano ya urembo (Miss Tanzania)...

READ MORE

Jaji Mkuu Aliyefuta Uchaguzi wa Urais Kenya Atua Tanzania

JAJI Mkuu wa Kenya, David Maraga ametua nchini katika mkutano wa majaji na mahakimu akionekana kivutio kwa wengine. Jaji huyo...

READ MORE

MANJI AANIKA MAHAKAMANI DAWA ALIZOKUWA AKITUMIA

MFANYABIASHARA Yusuf Manji, leo Jumatatu, Septemba 25, 2017 amepanda kizimbani katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, kujitetea katika...

READ MORE

Iringa: Msigwa Kuishitaki Polisi kwa Kuzuia Mikutano Yake

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amewageuzia kibao polisi na kusema atalishitaki Jeshi la Polisi, kwa tuhuma za...

READ MORE

Dakika Chache Baada ya Kuachiwa, Msigwa Awatolea Povu Polisi

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema polisi hawawezi kumpangia nini cha kusema na wala sio majukumu yao....

READ MORE

DROO KUBWA SHINDA NYUMBA… KESHOPKUTWA MJENGO UNAMPATA MWENYEWE

ILE droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, sasa imebakiza saa 48 tu, kuweza kumpata mwenyewe...

READ MORE

Nassari Aanika Mazito Madiwani Chadema Waliopokelewa na JPM

MBUNGE wa Chadema wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameweka rehani ubunge wake  baada ya Rais John Magufuli kumpokea aliyekuwa diwani...

READ MORE

Polisi Wamwachia Peter Msigwa Usiku

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema) Msigwa ameachiwa huru jana usiku  kwa dhamana baada ya kukamatwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara....

READ MORE

Live: Shigongo Awapa Somo Wakongwe Waliosoma St. Joseph’s

MWALIMU na Mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric James Shigongo amewaasa...

READ MORE

Wanajeshi Wapewa Onyo Kali Kuhusu Matumizi ya Mitandao ya Kijamii

MKUU wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo ametoa onyo kali huku akiawaagiza wanajeshi kuacha kujihusisha na matumizi mabaya mitandao ya kijamii kwani...

READ MORE

Wakongwe Waliosoma Sekondari ya St Joseph Wakutana, Dar

SHULE ya Sekondari St. Joseph ya jijini Dar es Salaam leo Septemba 23, 2017 imewakutanisha wanafunzi waliowahi kuosoma na kuhitimu...

READ MORE

JPM Atangaza Ajira kwa Wanajeshi 3,000 JWTZ – (Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Magufuli ametangaza kutoa nafasi 3,000 kwa vijana...

READ MORE

Msemaji wa Serikali: Wamekufa Wangapi Kibiti Hatukuita Wazungu?

BAADA ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusikika wakidai vyombo vya usalama kutoka nje ya nchi vije...

READ MORE

Samaki wa Maajabu Azua Taharuki Mbezi Beach, Dar -(Video)

MAAJABU! Samaki mkubwa aina ya Chongoe ambaye ni jamii ya nyangumi, hivi karibuni alionekana kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi,...

READ MORE

LIVE: Rais Magufuli Atunuku Kamisheni kwa Wanajeshi Arusha

RAIS wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli leo anawatunuku kamisheni maofisa wa...

READ MORE

ACACIA Yatangaza Matokeo Mazuri Mgodi wa Buzwagi

KAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA yatangaza matokeo chanya kutoka katika mfumo mpya wa kuchakata makinikia Mgodi wa Buzwagi....

READ MORE

Ndugai Amjibu Mbowe Kuhusu Sh. 43M za Wabunge Kumtibu Lissu

OFISI ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeijibu kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye mapema leo...

READ MORE

Mbowe Amtuhumu Spika Ndugai Kugomea Mil. 43 za Wabunge Kumtibu Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki...

READ MORE

Sakata la Lissu, Mbowe Avishutumu Vyombo vya Dola

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema mtuhumiwa mkuu wa shambulio dhidi ya Mbunge wa Singida...

READ MORE

Mbowe Aipinga Serikali Sakata la Matibabu ya Lissu -Video

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu...

READ MORE

‘Mzungu wa Makonda’ Anayedaiwa Kujiuza Afikishwa Kisutu -Video

MWANAMKE Mzungu anayejulikana kwa jina la Monique Honsbeek anayedaiwa kufanya ukahaba katika Jiji la Dar es Salam leo amefikishwa katika mahakama...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Akutwa Akikodisha Bastola, Dar – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalumya Dar es Salaam linamshikilia Robson Isack Maji (22) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu...

READ MORE

Hoja 10 za Zitto Kwenye Kamati ya Bunge, Serikali Yajibu

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe jana amesisitiza msimamo wake kwa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuwa...

READ MORE

JWTZ Watii Agizo la JPM, Wawasili Mererani Kuweka Uzio Eneo la Tanzanite

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli aliyelitaka kujenga uzio kuzunguka kitalu...

READ MORE

Watangazaji wa Kike… Wakali wa Taarifa ya Habari TV / Redioni

UKITAMBUA na kuona ubora wa kazi anayoifanya mwenzako kisha kumwambia, basi atafanya zaidi ya ilivyotarajiwa. Tujifunze kukubali na kupongeza juhudi...

READ MORE

MAAMBUKIZI YA UKIMWI YANAPUNGUA – TACAIDS

  TUME ya kudhibiti ukimwi nchini (TACAIDS) imesema kiwango cha maambukizi ya virusi vya ukimwi kinaendelea kupungua kutoka aslimia 0.32...

READ MORE

Meya Dar aitumbua kampuni ya ushuru wa maegesho ya magari

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, leo amesitisha  mkataba na Kampuni ya Mwamkinga Auction Mart and...

READ MORE

KUELEKEA MKUTANO WA MAJAJI; JAJI MKUU AMGUSA LISSU -VIDEO

  JAJI MKUU wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, leo amesema shambulio la kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki na...

READ MORE

Kupigwa Risasi kwa Lissu, Wanasheria wa Uingereza Watuma Waraka Mzito kwa Rais JPM

KUFUATIA matukio ya kukamatwa mara kadhaa na baadaye kupigwa risasi na watu wasiojulikana kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

LIVE: Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Longido, Mkoani Arusha

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kikazi wilayani Longido, mkoani Arusha ambapo leo...

READ MORE