×

Kitaifa

Ripoti Mpya Mauaji Kibiti!

PWANI: Gazeti la UWAZI ambalo limekuwa likifuatilia matukio mbalimbali ya mauaji katika Wilaya za Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri limeibuka na...

READ MORE

Pedeshee Ndama Alipa Milioni 200 na Kuachiwa Huru kwa Dhamana

Baada ya kufanikiwa kulipa faini ya milioni 200 hatimae jana  mfanyabiashara , Ndama Shabani Hussein, maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto...

READ MORE

VIDEO: Azimio la Wabunge Kuwaadhibu Wahusika Wote wa Mikataba Mibovu ya Madini

Bunge limeitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya wote watakaothibitika kuhusika kuliingizia Taifa hasara na kuwakosesha Watanzania fursa ya kufaidika...

READ MORE

VIDEO: Povu la Hussein Bashe Bungeni Kuhusu Sakata la Madini, Msikie Hapa

Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega kwa tiketi ya CCM, amewataka Watanzania kuacha kumkatisha tamaa mheshimiwa rais, John Pombe Magufuli katika...

READ MORE

VIDEO: Meneja Aliyewataja Wasanii Ushirikina Akumbwa na Mazito, Ahaha Kumsaka Gwajima

Zimepita siku kadhaa tangu Meneja Maneno aliyekuwa meneja wa wasanii wakubwa maarufu Afrika kwa sasa wakiwemo Diamond Platnumz na Rich...

READ MORE

Shamba la Mbowe Lilivyong’olewa Mitambo, Mwenyewe Afunguka ya Moyoni

Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amethibitisha shamba lake kuvamiwa na viongozi wa serikali ya Wilaya na kuharibiwa miundombinu ya shamba hilo...

READ MORE

Orodha ya Majina Mapya Kidato cha Sita Waliochaguliwa Kujiunga na JKT

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi...

READ MORE

VIDEO: Mchungaji Msigwa Awatolea Uvivu Wabunge wa CCM Mikataba Mibovu ya Madini

DODOMA: Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amewashukia wabunge wa CCM kuhusu mikataba mibovu ya madini kwa madai...

READ MORE

ExclusiveNews: Mmiliki wa Acacia Akutana na Rais Magufuli (+VIDEO)

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold...

READ MORE

Spika Ndugai Aanika Taratibu Zitakazotumika Kumvua Chenge Uenyekiti wa Bunge

Katika ripoti ya pili ya Kamati ya kutathmini mchanga wa madini Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ametajwa na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Veta Na Airtel Watangaza Kozi 5 Mpya Za Ufundi Stadi Kupitia Simu Ya Mkononi

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dk. Bwire Ndazi akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kozi tano mpya...

READ MORE

Mbowe Apata Pigo Tena Kutoka Serikalini

Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amezidi kukumbwa na matukio mbalimbali baada ya jana Baraza la Taifa la...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano June 14, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 14, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Lowassa Ampa Tano JPM Sakata la Makinikia

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa amempongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa hatua anazozichukua kuhusu madini ya nchi...

READ MORE

Gymkhana Yasherekea Miaka 100 Ya Kuanzishwa Kwake Kwa Mtindo Wa Kipekee

Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es...

READ MORE

Spika Ndugai Awaonya Wabunge wa Upinzani Wanaotaka Marais Wastaafu Washitakiwe

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke...

READ MORE

Meya Ubungo Akarabati Soko La Shekilango

Dar es Salaam: Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, leo amefanya mkutano na wafanyabiashara wa Soko la Shekilango...

READ MORE

Waziri Mwigulu Awazuia Prof. Muhongo, Andrew Chenge na Wahusika Wengine Kutoka Nje ya Mipaka ya Tanzania

Serikali imeagiza, Mawaziri, Wanasheria Wakuu wa Serikali na Manaibu wao, Wakurugenzi wa idara za mikataba, na Makamishna wa madini, wanasheria...

READ MORE

Chenge na Ngeleja wafunguka baada ya kuhusishwa na mikataba mibovu ya madini

Vigogo waliotajwa katika ripoti ya pili ya kuchunguza makontena yenye mchanga wa madini (makinikia)  kuisababishia Serikali hasara ya matrilioni ya...

READ MORE

Bunge Lilivyopitisha Bajeti Itekelezwe Ilivyo

  Stori: Eric Shigongo| Uwazi | Napasua Jipu ALHAMISI ya wiki iliyopita serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha na Mipango,...

READ MORE

Watoto walemavu Arusha Wampa Mrisho Gambo Changamoto Zao

Hivi karibuni lilifanyika kongamano kubwa la watoto wenye ulemavu mkaoni Arusha ambalo lilihudhuriwa na watu mbalimbali na hivyo watoto hao...

READ MORE

Breaking News: Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo Vya Ufundi 2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha...

READ MORE

Ujatijiri wa Kutisha wa Ndesamburo Waanikwa

Stori:Waandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA Kilimanjaro: Ni wiki moja imekatika sasa tangu shujaa wa demokrasia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

FULL RIPOTI: Taarifa Yote ya Kamati ya Pili ya Kuchunguza Mchanga wa Madini

Leo June 12, 2017 Rais Magufuli amepokea Ripoti ya piti ya kamati aliyounda kuchunguza madini katika mchanga. ==> Ripoti yote...

READ MORE

Acacia Yatangaza Kupunguza Wafanyakazi 400

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imethibitisha kuwa ipo katika mpango wa kupunguza wafanyakazi wake hasa walinzi wa mgodi huo....

READ MORE

Prof. Muhongo Akutana Tena na Kitanzi cha JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt Magufuli ameagiza viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini, Manaibu wake, Wanasheria Wakuu wa...

READ MORE

ACACIA Wapinga Ripoti ya Kamati ya Pili ya Rais JPM Kuhusu Mchanga wa Madini

  12 Juni 2017 Mwitikio wa Acacia kwenye matokeo ya kamati ya pili ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Acacia...

READ MORE

Washindi wa Droo ya 4 ya Shinda Nyumba Wakabidhiwa Vyao

Na Richard Bukos DAR ES SALAAM: Washindi wa droo ndogo ya 4 wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

RIPOTI YA MCHANGA II: Alichokisema Rais Magufuli Baada ya Kukabidhiwa, INASIKITISHA!

IKULU, DAR: Ripoti ya pili ya mchanga wa madini, imewasilishwa mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mwenyekiti wa...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu June 12, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 12, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Video: Fainali ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran Tukufu Afrika 2017 Uwanja wa Taifa

Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akifuatilia mashindano hayo. Washiriki wakiendelea na mashindano ya kusoma Quran. Maelfu ya waumini wa...

READ MORE

Mauaji Kibiti: IGP Sirro Awataka Waandishi Kuwa Wazalendo

Wakati Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akisema matukio ya mauaji ya hivi karibuni mkoani Rufiji yana...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili June 11, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 11, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu EWURA Asimamishwa Kazi

Usiku wa kumkia leo (saa saba usiku) Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...

READ MORE

VIDEO: Mke wa Mwenyekiti wa Kijiji Aliyetekwa Kibiti Asimulia A-Z Mumewe Alivyotekwa

KUFUATIA tukio la kutisha la Bakari Mtoteke, Mwenyekiti wa Kijiji (CUF), kutekwa na watu wasiojulikana na kisha kutokomea naye kusikojulikana,...

READ MORE

Katavi: Jela Miaka 23 kwa Wizi wa Cheti cha Kidato cha Nne

Mahakama  ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kwenda jela miaka 23 mkazi wa Kijiji cha Kalovye, Osward Mpalasinge (26)...

READ MORE

Chid Benz Aibuka, Afunguka Mazito …Baada ya Kuacha Kutumia Madawa ya Kulevya

 STORI: BONIPHACE NGUMIJE, RISASI JUMAMOSI, HABARI DAR ES SALAAM: HUYU HAPA! BAADA ya Mwanamuziki Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kupotea kwa...

READ MORE

Ndama Ahukumiwa Jela Miaka 5 kwa Kutakatisha Zaidi ya Tsh. Bil. 1.2

DARR ES SALAAM: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh200 milioni mfanyabiashara,...

READ MORE