×

Kitaifa

Watabiri 650 ‘Wamebugi’ Matokeo Mechi ya Simba na Yanga

KATIKA mchezo wa kubashiri matokeo ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi Zanzibar kati ya watani wa jadi, Simba...

READ MORE

Nuh Mziwanda na Shilole Wadaiwa Kurudisha Penzi Lao

MSANII wa kizazi kipya aliyetambulika kupitia wimbo wake wa ‘Msondo Ngoma’ uliotolewa na studio za ‘Mazooh Record’ jijini Dar es...

READ MORE

Rosa Ree: Wasanii wa Hip Hop Wananitaka! (Video)

Mkali  wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree akifanya mahojiano na Global TV Online katika Ofisi ya Global Publishers, Bamaga...

READ MORE

Rorya: Polisi Yakamata Watu 10 kwa Kumcharaza Bakola Mwanamke Mbele ya Hadhara

RORYA: Video ya tukio la mwanamke akicharazwa bakora imesaidia kunaswa kwa watu waliokuwa wakimpiga mwanamama huyo. Habari zinasema idadi ya...

READ MORE

Askofu Mokiwa: Mimi ni Askofu Halali wa Jimbo la Dar (Video)

ASKOFU Mkuu wa Dayosisi ya Dar es Salaam Dkt. Valentine Mokiwa amesema kuwa yeye anatambua bado ni ndiye askofu wa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania leo Jumatano, Jan. 11, 2017

  Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumatano, Januari 7, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara...

READ MORE

Wanasayansi Wagundua Kemikali Inayounda Sehemu ya Ndani ya Dunia

JAPAN: Wanasayansi nchini Japan wanasema wamegundua kemikali ambayo inaunda sehemu ya ndani kabisa ya dunia (Inner Core). Kemikali hiyo imekuwa...

READ MORE

CUF Wakanusha Wizi wa Fedha, Wadai Taaifa Hizo ni Kelele

THE CIVIC UNITED FRONT CUF – Chama cha Wananchi CUF – Chama cha Wananchi hakina sababu ya kumjibu Mtatiro na...

READ MORE

Azam Fc Wametinga Fainali ya Michuano ya Mapinduzi Kwa Kuichapa Taifa Jang’ombe bao 1-0

Azam Fc wametinga fainali ya michuano ya Kombe la  Mapinduzi kwa kuichapa Taifa Jang’ombe bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Nigeria, Chato mkoani Geita

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akisalimiana na kumkaribisha Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni...

READ MORE

Meya Kinondoni: Tutaondoa makazi yote holela (Video)

Makala: Elvan Stambuli na Sifael Paul | Gazeti la Uwazi, Toleo la Jumanne Januari 10, 2017 Dar es Salaam: Meya...

READ MORE

Ndoa ya Masele Yampa Wakati Mgumu MC Pilipili

Mc Pilipili. Mchekeshaji na mshereheshaji  (MC) bora wa mwaka 2017 aliyeshinda tuzo ya Instagram Party, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’, ameshindwa...

READ MORE

Mwanamke Achapwa Viboko Hadharani Mbele ya Rundo la Wanaume

Kupitia mitandao ya kijamii imesambaa video ikionyesha kundi la wanaume wakishirikiana kumchapa viboko mwanamke mmoja ambaye hakufahamika mara moja alikosa...

READ MORE

Yanga Vs Simba Nusu Fainali Mapinduzi Cup, Bashiri Mshindi Uibuke na Zawadi

HISTORIA nyingine kwenye mchezo wa soka inatarajiwa kuandikwa leo kwenye mchezo wa nusu fainali inayosubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe...

READ MORE

Video: Usiku wa Masele cha Pombe na Specioza

Masele  na mkewe wakicheza muziki laini. Mke wa Masele akimlisha keki mumewe. Masele akimlisha mkewe. …wakigonga chears. Mchekeshaji Erick Kisauti...

READ MORE

Mwingine Kortini kwa Kudaiwa Kumtukana Rais Magufuli na Samia Suluhu

DAR ES SALAAM: Mtunza bustani Maganga Masele, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam kwa tuhuma...

READ MORE

Magazeti ya Leo Jumanne Januari 10, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumanne, Januari 10, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Pwani: Jamii ya Wafugaji na Wakulima Yakumbwa na Baa la Njaa

PWANI: Jamii ya wafugaji na wamkulima wa vijiji vya Gumba, Chaua na Gwata mkoani Pwani imekumbwa na baa la njaa...

READ MORE

Ronaldo Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA, Awagaragaza Messi na Griezmann

Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA Ronaldo, 31, amewafunika...

READ MORE

Watu Zaidi ya 20 Waaga Dunia kwa Baridi

Watu zaidi ya 20 wamefariki kutokana na baridi kali ambayo imeendelea kukumba maeneo mengi ya Bara la  Ulaya ambapo watu...

READ MORE

JPM Kujenga Vyumba 3 vya Madarasa Shule ya Msingi Chato Ambako Alisoma

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika benchi la kibanda cha kupigia kiwi...

READ MORE

Kesi Inayowakabili Wabunge wa Chadema Yashindwa Kusikilizwa

Kesi inayowakabili wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee wa Kawe, Mwita Waitara wa Segerea na Saed...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilionea Msuya Kalenda Tena

DAR ES SALAAM: Maombi ya kufutiwa mashtaka yaliyowasilishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini hapa na Miriam Msuya, mke...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi Awasili Nchini kwa Ziara ya Kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amewasili nchini leo na kupokelewa na Mwenyeji wake, Dk Augustine Mahiga,...

READ MORE

Mkwere Amwaga Machozi Harusi ya Masele Chapombe Siku ya Ndoa Yake

Msanii maarufu wa vichekesho anayetamba na Kundi la Vichekesho la Mizengwe, linalorusha kipindi chao kupitia runinga ya ITV, Hemed Maliyaga...

READ MORE

Askofu Mokiwa Atimuliwa Anglikana kwa Ufisadi, Agoma Kung’oka

Mashitaka  10 yaliyofunguliwa na walei 32 wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam yakiwemo ya ufisadi wa mali...

READ MORE

Mara: Polisi Wakamata Mangariba 11 kwa Tuhuma za Ukeketaji wa Watoto Zaidi ya 800

MARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara, limefanikiwa kuwakamata mangariba 11 wilayani Tarime kwa tuhuma...

READ MORE

Simba Uso Kwa Uso na Yanga Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi, Yaizamisha Jang’ombe Boys bao 2-0

Kikosi cha Jang’ombe Boys kilichoanza leo dhidi ya Simba katika Uwanja wa Amaan. Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Jang’ombe...

READ MORE

Mke wa Masele Ashauriwa Ajiande kwa Vicheko Kibao

Masele na mkewe, muda mfupi baada ya kufunga ndoa. BI Specioza Malick  Mke wa msanii wa vichekesho nchini aliyejipatia umaarufu...

READ MORE

Yanga Wapigwa 4G na Azam Kombe la Mapinduzi

Kikosi cha Yanga kilichoanza jana dhidi ya Azam FC kwenye Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambapo kilifungwa bao...

READ MORE

Diamond Kutumbuiza Kombe la Mataifa ya Afrika 2017

Staa wa Bongo Flava na Rais wa Wasafi,  Diamond Platnumz. Staa wa Bongo Flava na Rais wa Wasafi,  Diamond Platnumz, ...

READ MORE

Kikwete Aongoza Mamia Kumuaga Anna Senkoro

Rais Mstaafu, akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Senkoro. Rais Mstaafu, Kikwete aliongozana na mkewe, Mama Salma Kikwete. Pichani akiweka...

READ MORE

Masele Chapombe Afunga Ndoa

Masele na mkewe, muda mfupi baada ya kufunga ndoa. Masele na mkewe, wakiwa katika pozi          ...

READ MORE

Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza Afanya Mabadiliko ya Uongozi

Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Dkt. Juma Ally Malewa (pichani) amefanya Mabadiliko ya Uongozi kwa baadhi ya...

READ MORE

Kala Jeremiah: Sakata la Faru John Limeniogopesha

Rapa anayetamba na ngoma ya ‘Wana Ndoto’ Kala Jeremiah. Story: Ally Katalambula RAPA anayetamba na ngoma ya ‘Wana Ndoto’ Kala...

READ MORE

Ajali ya Basi la Mohammed Trans Yaua Watatu Manyoni, Singida

TAARIFA zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa basi la Kampuni ya Mohammed Trans limepata ajali mapema leo na kuua watu 3...

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Kayanga, Karagwe

KAGERA: Soko la Kayanga lililopo Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huku chanzo na...

READ MORE