×

Kitaifa

Global yawamwagia zawadi wasomaji Kibaha

Wanafunzi wa chuo cha uuguzi kilichopo eneo la Kibamba Dar wakisoma Gazeti la Uwazi kabla ya kujaza kuponi zao ili...

READ MORE

Mazishi ya Abel yawatoa machozi mamia waliohudhuria

Mwili wa kijana Mtanzania, Abel Machanga, mkazi wa Mombasa-Ukonga aliyefariki dunia akipatiwa matibabu nchini India ukiwa kanisani. Wazazi wa Abel...

READ MORE

Mazishi ya Dawood, kaka wa Meneja Mkuu Global huko Bukene

Wanafamilia, akiwemo baba mzazi (aliyevaa kanzu kushoto) wakiweka mchanga katika kaburi la mpendwa wao. Mwili ukipumzishwa kaburini. …Likipelekwa makaburini kwa...

READ MORE

Uchaguzi Marekani, Ted Cruz Ambuluza Trump

Seneta wa Texas Ted Cruz. IOWA, MAREKANI Seneta wa Texas Ted Cruz ameshinda mchujo wa mgombea wa uchaguzi kupitia Chama...

READ MORE

Tundu Lissu Asema Upinzani Hawatashiriki Kuteua Wenyeviti PAC, LAAC

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kutokana na Spika wa Bunge...

READ MORE

Jengo Ghorofa 16 Laanza Kuvunjwa Indra Gandhi, Dar

Jengo la Ghorofa 16 linaloandaliwa kwaajili ya kubomoa. Alama zinazotoa tahadhali kwa watumiaji wa barabara hii wakiwa wakiwa wamewekewa tahadhali...

READ MORE

Rais Magufuli Amhamisha Mlawi Kwenda Wizara ya Ofisi ya Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemhamisha Bi. Suzan Paul Mlawi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mazungumzo Na Mwenyekiti wa NEC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi...

READ MORE

Zitto Ataka Bunge Liachwe Huru

Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Zitto Kabwe ameiomba serikali kupitia Bunge lake la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Mwandishi Global Apata Pigo

  Waombolezaji wakisaidia kubeba mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko. Taswira ya msibani. Waandishi, Denis Mtima na Hamida Hassan...

READ MORE

Bunge Laanza Kujadili Mpango wa Serikali wa Maendeleo

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango Hatimaye leo Bunge limeanza kujadili mpango wa maendeleo ya mwaka 2016/2017, baada...

READ MORE

Bunge Latengua Kanuni Kujadili Mpango wa Serikali

Akitengua kanuni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu katika Serikali ya Awamu ya Tano, Jenista Mhagama amesema...

READ MORE

AU wamteua JK kuwa Mwakilishi katika mgogoro wa Libya

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma mara tu baada...

READ MORE

Picha: Bi. Samia Suluhu Akutana na Rais Uhuru Kenyatta

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya...

READ MORE

Wavamizi Wavunja Vibanda vya Biashara na Msikiti – Zanzibar

Hali ilivyokuwa baada ya vibanda hivyo kuvunjwa. Watu  wasiojulikana wamevamia katika makazi ya watu eneo la Msumbiji mjini Unguja na...

READ MORE

Sasa Mkoa wa Dar Kuwa na Wilaya Tano

Rais Dk. John Magufuli ameidhinisha kuwepo kwa wilaya tano katika jiji la Dar es Salaam, badala ya tatu zilizokuwepo awali,...

READ MORE

Hivi Ndivyo Majangili Walivyomuua Rubani Rodgers

Siku moja baada ya kifo cha rubani Rodgers Gower (37) aliyekuwa anaendesha helikopta inayomilikiwa na Mwiba Holdings, baadhi vyombo vya...

READ MORE

Mwili wa Mtanzania uliozuiliwa India kuwasili leo

Marehemu Abel Machanga enzi za uhai wake. Hatimaye mwili wa Mtanzania Abel Machanga aliyefia nchini India akipata matibabu unatarajiwa kuwasili...

READ MORE

Homa ya Zika bado Haijaingia nchini – Ummy

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Kumekuwepo na taarifa kupitia vyombo vya habari vya kitaifa...

READ MORE

Ongezeko la bajeti katika sekta ya utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe. Katika mipango ya kukuza uchumi,  sekta ya utalii chini ya Prof Jumanne...

READ MORE

Vodacom yaja na simu mpya ya bei nafuu

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati...

READ MORE

Chopa Yatunguliwa Simiyu

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akitembelea eneo la tukio.Hali ilivyokuwa eneo la tukio. Watu wanaodaiwa kuwa ni...

READ MORE

Meneja Global Apata Pigo

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (wapili kulia) akimpa mkono wa pole Meneja wa Global, Abdallah Mrisho (mwenye shati...

READ MORE

Madiwani Bukoba, Wawasimamisha kazi Watendaji 6

Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera limewasimamisha kazi Watendaji sita wa Halmashauri kupisha uchunguzi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Mbio za Half Marathon

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za Wabunge za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mnadhimu JWTZ, Balozi na Makatibu Tawala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Dkt. Mahadhi Juma Maalim kuwa Balozi wa Tanzania  Ikulu jijini...

READ MORE

Nchi 12 Ulaya na Marekani Zalaani ZEC Kurudia Uchaguzi

Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salum Jecha Mabalozi wa nchi zinazounda Umoja wa Ulaya (EU) wameeleza kusikitishwa na kitendo cha Tume...

READ MORE

Stoo ya mfanyabiashara yateketea kwa moto usiku

Moto ulivyoonekana ndani ya stoo hiyo iliyoungua. Geti la kuingilia katika stoo hiyo lilivyoonekana. Kikosi cha Zimamoto kilivyoonekana kupambana na...

READ MORE

Rose Ndauka Azindua Jarida Lake

Msanii wa filamu hapa nchini, Rose Ndauka (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)katika hafla hiyo.Kulia kwake ni Meneja wake,Ramadhan Mwanana....

READ MORE

Rais Magufuli ateua Makatibu Tawala 2 wa Mikoa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

READ MORE

Shinda nyumba yatikisa wakazi wa Dar

Afisa Masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub pamoja na Venda wa Kampuni hiyo, Theresia Julian wakiwaelekeza wasomaji wa Magazeti Pendwa...

READ MORE

Samatta ajiunga na KRC Genk ya Ubelgiji

Mbwana Samatta akiwa kwenye ndege kuelekea nchini Ubelgiji kujiunga na KRC Genk. Sakata ya usajili wa nahodha wa timu ya...

READ MORE

Chadema Kumshtaki Nape kwa Wananchi Kuhusu TBC

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrosia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani)....

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Naibu Gavana wa Benki Kuu

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amemteua Ndugu Julian Banzi Raphael, kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Kabla...

READ MORE

RPC Mbeya afafanua kuhusu video ya NMB Tawi la Mbalizi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi ametoa ufafanuzi kuhusu kipande cha video kinachosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kikionyesha...

READ MORE

Jeshi la Polisi: Kesi 23 za Ufisadi Zipo kwa DPP

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Diwani Athumani, akisoma taarifa. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga (katikati) akitoa...

READ MORE

CUF Kutoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

Viongozi wa Balaza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi (CUF). AZIMIO LA BARAZA KUU LA UONGOZI LA...

READ MORE

Waziri Mkuu- Serikali Imeafiki Bunge Kutorushwa Live

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majiliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwamba matangazo ya bunge...

READ MORE

Wabunge wa upinzani watoka tena bungeni leo

Wabunge wa upinzani wakitoka nje. Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika vikao vya bunge vinavyoendelea mjini Dodoma baada ya wabunge wote...

READ MORE