×

Kitaifa

CUF Kutoa tamko kuhusu kurudiwa uchaguzi Zanzibar

Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad. Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF), leo linatarajia kutangaza uamuzi mzito kutokana...

READ MORE

Kivuko cha Mto Kilombero chapinduka

WATU wapatao 30 wameokolewa mpaka sasa baada ya kivuko cha Mto Kilombero kushindwa kuhimili upepo mkali ulioambatana na mvua ya...

READ MORE

Jovago kutoa ofa ya Valentine kwa wapendanao

Mkurugenzi Mtendaji wa Jovago Afrika Mashariki, Estelle Verdier-Watine (aliyesimama) akiongea na wanahabari kuhusu faida za kutumia mitandao ya kijamii. Meneja...

READ MORE

Watuhumiwa 7 wa Makontena Waliotoroka Wakamatwa

Wafanyakazi saba kati ya wanane wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) waliotuhumiwa kuhusika kutorosha makontena 11,019 na magari 2,019...

READ MORE

Mvua Kubwa Yasababisha Foleni Dar

  Magari yakiwa katika foleni eneo la Bamaga-Mwenge.Foleni  katika makutano ya barabara za Shekilango na Ali Hassan Mwinyi. Taswira nyingine...

READ MORE

Kanumba Feki Adaiwa Kuwa Mhamiaji Haramu

Mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis ‘Kanumba Feki’. Mayasa Mariwata Mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis ‘Kanumba Feki’ anadaiwa kuishi...

READ MORE

Belle 9: Kolabo na Chris, Alsina inawezekana!

Staa wa Ngoma ya Shauri Zao, Abednego Damian ‘ Belle 9’ Suzan Kayogela Staa wa Ngoma ya Shauri Zao, Abednego...

READ MORE

Bunge kutorushwa live kwazua kizaazaa

Mwenyekiti wa kikao cha Bunge Andrew Chenge. Chenge amefikia uamuzi huo kutokana na kuibuka kwa mjadala mkali kutoka kwa Mbunge...

READ MORE

Yaliyojili Bungeni Dodoma Leo January 27

Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni mjini Dodoma Januari 27,...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Dar afungua semina ya mafuta na gesi

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, James P. Mataragio, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sadick Meck Said...

READ MORE

Modem ya “Airtel Wingle” Yenye WiFi‏ Yazinduliwa

Mwandishi wa habari wa EATV, Alex Lazaro akikabithiwa modemu yake ya Airtel Wingle mara ya kuibuka mshindi katika ofa iliyoendeshwa wakati...

READ MORE

Ukawa Sasa Kutoa Msimamo Wao Juu ya Suala la Zanzibar

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akihojiwa na wanahabari (picha na maktaba). UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)...

READ MORE

Amuua Mwenzake Baada ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari. Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20)...

READ MORE

Mc pilipili asaidia wenye njaa

MC Pilipili akiongea na mtoto mwenye ulemavu wa ngozi. Na Mwandishi Wetu MCHEKESHAJI maarufu, MC Pilipili ameamua kujitoa na kuwasaidia...

READ MORE

Kisa kutoalikwa, Wema asusia keki

Staaasiyeishiwa vituko Bongo, Wema Sepetu. NaMusa Mateja, Risasi Mchanganyiko STAA asiyeishiwa vituko Bongo, Wema Sepetu juzikati aligonga tena vichwa vya...

READ MORE

Nisha awekewa baunsa

Salma Jabu ‘Nisha. GLADNESS MALLYA Ili kuhakikisha hasalitiwi katika penzi lake jipya, mkali wa Bongo Fleva Baraka Da Prince, ameajiri...

READ MORE

Chenge: Escrow Ikirudi Bungeni, Nitakaa Pembeni

Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge. MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na...

READ MORE

Meya Dar Amkaribisha Bernald Membe Chadema

Waziri wa zamani wa Mamboya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Waziri wa zamani wa Mamboya Nje na Ushirikiano...

READ MORE

Wasomaji Kisarawe Wachangamkia Droo Ya Pili Shinda Nyumba

Mkazi wa Kisalawe Mjini (kulia) akijaza kuponi ili kushiriki droo ya pili ya Shinda Nyumba.Msomaji wa Gazeti la Uwazi (katikati)...

READ MORE

Kampuni ya UDA yakanusha kufilisika

Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu...

READ MORE

Simbachawene Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. George Simbachawene. Waziri wa Nchi...

READ MORE

Rais Magufuli Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa NIDA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu uamuzi Rais wa...

READ MORE

Mkutano wa Pili wa Bunge la 11 umeanza leo

  Spika mpya wa Bunge la 11, Job Ndugai. MKUTANO wa Pili wa Bunge la 11 unaanza leo mjini Dodoma...

READ MORE

Hukumu Kuhusu Bomoabomoa Kutolewa Kesho

Wakili wa mlalamikaji anayesikiliza kesi hiyo, Abubakar Salim, akihojiwa na wanahabari baada ya kutoa taarifa kwa wakazi waliobomolewa nyumba zao...

READ MORE

Ester Bulaya aibuka mshindi mahakamani leo

Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya. Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa...

READ MORE

Ugaidi si mafundisho ya Uislamu

Sheikh Hemed Jalala akizungumza jambo (aliyekaa) ni mwenyekiti wa taasisi hiyo Sheikh Khalifa Khamis.Sehemu ya waumini wakifuatilia semina hiyo. Sehemu...

READ MORE

Shehe Maridhawa atua Dar kuwaombea watu

Shehe Maridhawa akiwaombea dua watu waliofika viwanja vya Nuru Yakin jana. Baadhi ya watu waliodhuria kwenye mkutano huo. Shehe Maridhawa...

READ MORE

Shilole live na kidume mpya

Staa mwenye makeke wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake mpya. Stori: Imelda Mtema,...

READ MORE

Hussein Bashe Amvaa Membe Kumkosoa Rais Magufuli

Mbunge  wa  Nzega Mjini kwa tiketi ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Mohammed  Bashe. MBUNGE  wa  Nzega Mjini kwa tiketi...

READ MORE

Waziri Mkuu akiwa Bungeni Dodoma leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo Januari 24, 2016. Kutoka...

READ MORE

Kamata wageni haitawagusa wenye vibali – Kitwanga

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga amesema zoezi linaloendelea sasa la kukamata raia wa kigeni wanaoishi...

READ MORE

Matengenezo ya bomba kubwa la maji yaendelea Kawe-Tegeta

Kazi ya Kuunganisha Bomba la Maji kutoka mtambo wa uzalishaji wa Ruvu Chini ukiendelea katika eneo la Wazo Tegeta.Matengenezo ya...

READ MORE

Makonda aongoza upimaji magonjwa ya moyo Dar

Makonda akihojiwa na wanahabari leo wakati wa zoezi la upimaji wa magonjwa ya moyo uliofanyika bure na madaktari kutoka Taasisi...

READ MORE

Wawili wafariki, 36 wajeruhiwa katika ajali Morogoro

Basi la BM lenye namba za usajili T619 BOX baada ya kugongana na lori leo eneo la Lubungo Mikese, barabara...

READ MORE

Dawasco kuzima mtambo wa maji wa ruvu chini kwa siku mbili

Afisa Uhusiano wa Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), Everlasting Lyaro, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)...

READ MORE

Rais Magufuli Afunga Zoezi la Onesha Uwezo Medani, Monduli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Monduli....

READ MORE

Umeya Jiji la Dar Wapigwa Kalenda

Mkuu wa Kitengo cha Itifaki na Uhusiano na Umma wa Jiji, Gaston Makwembe (kushoto). HALMASHAURI ya jiji la Dar es...

READ MORE